Shemeji ananitaka

Shemeji ananitaka

Kuna kosa la kiufundi unalolitenda bila kukusudia.

Mapenzi yapo kwenye kundi la sanaa na utamaduni, kwa hiyo hakuna kosa la kisheria wala kinidhamu kutongozana.

Kwanini umlaumu shemeji yako kukutongoza badala ya kumwelimisha tu na maisha yenu ya kila siku yakasonga?

Yaani mtu anayekutamani kwa urembo wako unamwingiza kwenye jinai ya uhalifu, basi utachukia wengi wenye kusorolea huo msura!


Hapo marafiki zako umewafanya maadaui zako bila sababu zenye mashiko.

Kumbe mbinu zangu za kubaka saikolojia za wanawake kimahusiano ni nzuri zunanisaidia, ukiingiza siasa nd'okama hivi, unazuliwa majungu tu!

Wanawake wangapi wasiotongozwa wanashinda kwa waganga kuogeshwa 'nsamba' ili wapendwe watongozwe!

Na swali la kuuliza: ... 'Kwani hakuna wanawake wengine barabarani kaniona mimi tu'... usije kurudia tena kuliuliza kwa sababu halina mantiki katika tasnia ya mapenzi.
Shemeji wa heshima na siyo shemeji wa kibaiolojia, utamtengenezeaje zengwe kubwa namna hiyo?

Ningelikutokea mimi, huenda ishu hii ingelifika Serikali za mitaa baraza la usuluhishi kwa namna nilivyoipima thread hii, lazima kulikuwa na nyodo za kufa mtu jinsi ulivyomtolea nje huyo jamaa.

Sasa kwangu majibu mabaya hunipa chansi ya ushindi na ningelikupata hata kwa jasho na lawama.

Mimi hutumia njia zote, halali na haramu kumpata mwanamke ninayempenda.

Sasa niulize ni mbinu gani huzitumia kunasa mitego yangu?

Labda nikwambie kifupi bila ufafanuzi wa kina kuwa huzitumia njia nne na moja wapo huwa ni lazima inase:
Ya kwanza ni hiyo ya kubembeleza kama aloyotumia huyo jamaa ingawa alijizungusha sana kukutongoza hadi ukapata akili za kumkwepa.

Pili hutumia kuhonga hela kubwa kama mtego.

Mbinu ya tatu ni kukuutengeneza zengwe la kesi ya madai ya kunidhalilisha.

Na mbinu ya nne ni ndumba kabisa.

Sasa zote hizo huna udole wa kuzikwepa ukachomoa, hata ungelikuwa na maadili vipi, lazima moja ingelikunasa tu na sasa tungelikuwa ni wapezi wa wazi wazi ama wa siri, sijawahi kushindwa.
Mh! Ila wewe kumbe ndiyo upo hivyo, ila mimi usingenipata aisee
 
Hayo malalamiko ni dalili kwamba soon atakuvua kyupi,umejiweka mbali nao wote wawili ila ndo dalili ya kujiweka karibu kwa huyo mwanaume maana we na huyo rafiki yako urafiki ushaanza kukata urafiki ili uingie vizuri kwa jamaa
 
Back
Top Bottom