Najua vizuri tu hakuna upendo that's why nikamkataa my dearNimekumbuka Kuna x Wangu ambae alikua anataka kunioa kabisa lakin haikuwezekana lakin hatukuwah kugombana,..Sasa miaka 3 mbele akawa anawasiliana na bff wng, walitongozania messenger wnywe ,na nilikua naona bff anavofurahi kupigiwa na x wng ,yaan km aliingoja nafac hiyo kwel..kumbe alikua anamtaman kitambo kaka wa watu,..sas mim nikawapotezeaga ..km miaka 5 hivi cku hiyo bff ananipigia anafoka et amechoka kuchangishwa bill ,Kila wakitoka out na x wng lazima achangishwe km bill ni lak atachangishwa 40 ..ye maisha hayo hayawez na nna mjua bff wng ni mchungu wa hela yake hatari ..Sasa alikomeshwa. Atakua alilalwa na kukopwa ila aliogopa kunambia tu..Mungu alinitendea nilikua naumia sana mtu unajua huyu mtu ni x wa bff wako ,alafu unahang nae out bila waswas na kumpa taarifa bff wako(ambae ni mim)khs out hizo ukidhan mi nna moyo wa chuma. Sasa enz Niko nae huyo x ckuwah kulipishwa Chochote,zaid ya kuspoiliwa tu na ndo maana alitakq kunioa na bff alilijua hilo , ,ila mim ndo nilizingua nakiri hivyo ila ni maisha ...mpaka Leo yule bff ,cnaga upendo nae ule wa zaman akipiga napokea lakin hayuko moyon kabisa. nilimchukia sana,wakat yy ma x wake wananitaftaga sana lakin Huwa nafunga vioo coz I value our friendship,bt she doesn't. She is so jealous with me, that's what I discovered..manake Sio x mmoja Kuna x wng mwngne walikutana ngorongoro nae akaanza kusema anatakwa cjui nin,yule kaka alinambia tu pretta huna rafik ,bali mbwa mwitu ana e envy maisha Yako,kaa mbali na huyo bff ,bff aliyasema mengi khs huyo kaka (x wa pili)cjui kaninanga hiv na vile,bas tu yule dada is so toxic (that's what we call toxic friends)..Kwa hiyo ww muandish acha ngebe wala hupendw hata ungekubal,ungeliwa na kutemwa kama big g na kuspoiliwa ungekuskia Kwa bomba hahaha
Na mimi nimemkoki kuwa wewe sio rafiki mzuri kwake, ili niwe salama usije kunisemea. Nimekusingizia tu, na yeye nitamuacha tu, haifiki mwezi wa sita, nataka tu biashara yake ikikaa sawa, ndio nimkimbie. Halafu atataka kurudi kwa jamaa yake yule ambae hana hela, na yeye atamkataa 😀 .NABASHIRINimefanya maamuzi ya kuwa mbali nao kabisa mkuu
Yaaan ni ombaombaa haswaaa...wanatiaa sana aibu haswa waume za watuu wasichotulia na wake zao..Alikuwa anakujaribu tu...
Wanaume ni ombaomba wasiojijua linapokuja suala la chini.
Si unaona 😅😅😅😅njaa tu na misuruali yao ya vitambaaAlivyoanza kuniapproach nikawa namuomba vipesa vidogo kama elf30k hivi eti akaniambia ningemwambia mapema hiyo laki5 si ndo angeniblock kila mahali😁😁🙌
Heee hii Sasa Kali aisee🥺Kuna kosa la kiufundi unalolitenda bila kukusudia.
Mapenzi yapo kwenye kundi la sanaa na utamaduni, kwa hiyo hakuna kosa la kisheria wala kinidhamu kutongozana.
Kwanini umlaumu shemeji yako kukutongoza badala ya kumwelimisha tu na maisha yenu ya kila siku yakasonga?
Yaani mtu anayekutamani kwa urembo wako unamwingiza kwenye jinai ya uhalifu, basi utachukia wengi wenye kusorolea huo msura!
Hapo marafiki zako umewafanya maadaui zako bila sababu zenye mashiko.
Kumbe mbinu zangu za kubaka saikolojia za wanawake kimahusiano ni nzuri zunanisaidia, ukiingiza siasa nd'okama hivi, unazuliwa majungu tu!
Wanawake wangapi wasiotongozwa wanashinda kwa waganga kuogeshwa 'nsamba' ili wapendwe watongozwe!
Na swali la kuuliza: ... 'Kwani hakuna wanawake wengine barabarani kaniona mimi tu'... usije kurudia tena kuliuliza kwa sababu halina mantiki katika tasnia ya mapenzi.
Shemeji wa heshima na siyo shemeji wa kibaiolojia, utamtengenezeaje zengwe kubwa namna hiyo?
Ningelikutokea mimi, huenda ishu hii ingelifika Serikali za mitaa baraza la usuluhishi kwa namna nilivyoipima thread hii, lazima kulikuwa na nyodo za kufa mtu jinsi ulivyomtolea nje huyo jamaa.
Sasa kwangu majibu mabaya hunipa chansi ya ushindi na ningelikupata hata kwa jasho na lawama.
Mimi hutumia njia zote, halali na haramu kumpata mwanamke ninayempenda.
Sasa niulize ni mbinu gani huzitumia kunasa mitego yangu?
Labda nikwambie kifupi bila ufafanuzi wa kina kuwa huzitumia njia nne na moja wapo huwa ni lazima inase:
Ya kwanza ni hiyo ya kubembeleza kama aloyotumia huyo jamaa ingawa alijizungusha sana kukutongoza hadi ukapata akili za kumkwepa.
Pili hutumia kuhonga hela kubwa kama mtego.
Mbinu ya tatu ni kukuutengeneza zengwe la kesi ya madai ya kunidhalilisha.
Na mbinu ya nne ni ndumba kabisa.
Sasa zote hizo huna udole wa kuzikwepa ukachomoa, hata ungelikuwa na maadili vipi, lazima moja ingelikunasa tu na sasa tungelikuwa ni wapezi wa wazi wazi ama wa siri, sijawahi kushindwa.
Elf30 ameninyima hayo majukumu angeyaweza, ndiyo hawa washenzi wanaotaka kula bure tu, akikuona una kakibarua kako umepanga anakuja kabisa kama kwake apikiwe aleSi unaona 😅😅😅😅njaa tu na misuruali yao ya vitambaa
Pole mkuu wala usiwaze.😁😁😜Heee hii Sasa Kali aisee🥺
Ulivyompa namba bila mwenyeji wako ulitegemea nini? Usikaze fuvu 😀😀😀😀Hapana siwezi kufanya hivyo
Nilijua hana nia mbayaUlivyompa namba bila mwenyeji wako ulitegemea nini? Usikaze fuvu 😀😀😀😀
Hakuna mlima kitonga wala nini, kawaida tuTupia picha tuone kama yaliyomo yamo,maana una visa vingi vya kutoa k, hadi shemeji anakutaka! mmh! najua una mlima kitonga huko nyuma.
Ongeza na vitafunwa
Kwamba wewe ndo shemeji auNa mimi nimemkoki kuwa wewe sio rafiki mzuri kwake, ili niwe salama usije kunisemea. Nimekusingizia tu, na yeye nitamuacha tu, haifiki mwezi wa sita, nataka tu biashara yake ikikaa sawa, ndio nimkimbie. Halafu atataka kurudi kwa jamaa yake yule ambae hana hela, na yeye atamkataa 😀 .NABASHIRI
Kwenye nini?Hili nalo mkaliangalie
Nitaamini vipi bila evidence?Hakuna mlima kitonga wala nini, kawaida tu
Wewe amini tu hakuna namnaNitaamini vipi bila evidence?
Lisije likatupunguzia wapiga kura wetuKwenye nini?