kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #261
Si kweliUmeeleweka kijana
Si kweliUmeeleweka kijana
Mh! Mawazo yako tu hayo mkuu lakini hakuna kitu kama hikoFor my own experience mwanamke akiwa anakataa jambo fulani huwa ni kinyume chake tu.
Shemeji umeamua kuleta swala huku wakati tungeweza kumalizana kule mtaani. Hii thread imefanya nimekosa unyumba kwa Anastasia21 leo na kamvua haka ka Daslaam.Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Anastasia21 mpe shemeji aache kunisumbuaShemeji umeamua kuleta swala huku wakati tungeweza kumalizana kule mtaani. Hii thread imefanya nimekosa unyumba kwa Anastasia21 leo na kamvua haka ka Daslaam.
Ila wakati unapokea bundles na vizawadi zawadi hukujua kama nitaomba uhifadhi wa muda kwako.
Wembe ni ule ule tu shemeji mpaka unipe
Na nikitoka mishe napitia hapo leoAnastasia21 mpe shemeji aache kunisumbua
Wapi tena shemeji kwa Anastasia21 Au😁😁Na nikitoka mishe napitia hapo leo
Nina mtu, japo sijui kama atanioa au lah! Ila ningekuwa sina .tungeweza kufanya jamboAcha uchoyo dada, mkubalie huyu mwenye nia ya dhati akuwowe.
Nyakati zinakuja utahitaji hata anayepumua tu 😂😂😂 lakini hutampata.
Kumbuka;Majuto ni mjukuu😭
Namba yenyewe siitumii tenaHebu weka hiyo namba yako ambayo anakusumbua Ili tukupigie kwa ushauri zaidi
Asante sana mkuu, nimeshamuepuka sana hivi sasa wala siwasiliani naye hata ofisini hajagiJiepushe nae, utalishinda jaribu, ewe binti sayuni
Utathibitisha vingapi sasa mkuuSawa Mkuu, Japo ningethibitisha kwa macho.
Huyu alikuwa na tamaa zake tu hakuna upendo hapa mkuu"Love defies reason" suggests that love is a powerful, often inexplicable emotion that transcends logic and rational thought, meaning it's felt deeply and unconditionally, not just based on observable qualities or reasons". samahani sina lugha rahisi ya kujibu uzi wako lakini angalao unaweza pata jibu kwa hiyo para ya ngeli, wengi inatutokea mpaka romantically unampenda rafiki/shoga wa beloved wife kuliko wife mwenyewe😀
Asante sana, nipo makini mno ndiyo maana nimeacha mazoea naye kabisaAbsolutely 100%. Sio heshima hata kidogo lakini pia itamfanya akudharau, anavyokuchukulia sasa na hapo baadae ukimpa itakuwa tofauti and likely akakuuzia kesi kwa rafiki yake kuwa ulikuwa unamtaka kimapenzi muda mrefu.
Kuwa makini my dear
Wala haiko hivyo mkuu, sikumuanza ni yeye alinianza, na huyo rafiki nimekata mazoea maana yupo mbali na ana lifestyle yake ambayo ipo tofauti na mimi na vile vile mimi sihitaji mambo ya marafiki kwasasaUkute hata wewe ndio ulimuanza na kumuomba namba, kwahiyo umekata mawasialiano na rafiki ili iwe rahisi kuwa na mwanaume wa mwenzio sio! Hizi mambo za kuchukuliana mabwana mnazo sana mabinti wa siku na wala hujakasirika
Jambo jemaa maana angechafua uokovu wako, mda mwingine shetani anatumia watu kama hao kuwaangusha walio katika imaniAsante sana mkuu, nimeshamuepuka sana hivi sasa wala siwasiliani naye hata ofisini hajagi
Ukijilegeza unaliwa kimasihara!Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Nilikuambia nipm umekaza shingo,ona Sasa!Shemeji mpumbavu sana huyu nilimuona anajitambua ila baada ya hii ishu simuheshimu tena
Hakika mkuu najitahidi kuwaepuka wahuni kama hawaJambo jemaa maana angechafua uokovu wako, mda mwingine shetani anatumia watu kama hao kuwaangusha walio katika imani
Sitaki kuharibu mahusiano yaoMwambie rafiki yako.....