kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #321
Nini hiyo?Lisije likatupunguzia wapiga kura wetu
Nini hiyo?Lisije likatupunguzia wapiga kura wetu
Sitaki tuMpe tu, au hana hela ndo maana unambania.
😂Chunguza pia usikute mwanaume wako naye anamuomba tunda huyo shoga yako.
Vichungu pia huliwa na vitamu pia huachwaIla nyie wanaume kwanini hamna adabu sasa jamani, rafiki yangu ni kamodo flani hivi anampikiaga misosi mitamu anaenjoy tamaa za nini tena huku nje
Sasa siyo hadi kwa marafiki wa wanawake zenu muwe na nidhamu basiVichungu pia huliwa na vitamu pia huachwa
Mh! Huo umalaya sasaWanawake mna mambo mengi badala hatuwez kuwa na mmoja
Sio kwelMh! Huo umalaya sasa
Nyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengiSio kwel
Tatizo la mwanamke ni mdomo yan mwanaume hapendi kelele na ushwahilMh! Huo umalaya sasa
We utakubali kuliwa na wanaume wengiNyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi
Kama unaona mtu hakufai si unaachana naye unatafuta mwingineTatizo la mwanamke ni mdomo yan mwanaume hapendi kelele na ushwahil
Mnatakaga kushindana ndo shida inapoanzia apo kuleta mashindano mnajisahauNyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi
Hapana sikubali ndiyo maana sitaki pia mwanaume wangu awe anakula wanawake wengiWe utakubali kuliwa na wanaume wengi
Mashindano yapi unayaongelea?Mnatakaga kushindana ndo shida inapoanzia apo kuleta mashindano mnajisahau
Sas akila we utajuaje apoHapana sikubali ndiyo maana sitaki pia mwanaume wangu awe anakula wanawake wengi
Kama ivo unavosema na nyie mkiliwa na wanaume wengi kama sis tunavyokula madem wengiMashindano yapi unayaongelea?
Akiniletea magonjwa ntajuaSas akila we utajuaje apo
picha mkuuWewe amini tu hakuna namna