Inashangaza sanaUlivyochangamka wewe mpk vibabu unapita navyo ndo umkatae shemeji yako? 😹😹
Sijui kama ninafaa au sifai kuwa mke, kama unahitaji mwanamke humu kwanini usianzishe uzi uandike na vigezo vyako unavyohitaji atayevutiwa aje PM myajengeKwa hiyo unataka kutuaminisha humu ndani kuwa wewe ni wife material na wanaume wanakupenda sana.
anyway, hebu fanya utaratibu na mimi unifanyie connection ya kupata mwanamke wenye uhitaji wa mume ili tujenge familia.
Sifa za huyo mwanamke nimeweka hapa chini kwenye signature yangu
Mpe bwanaa Unajua anashida nayeyeNdiyo siwezi kumpenda shemeji
Mapepo yangeripuka hapa pasingetosha 😹😹Uzi ungekuwa ni kinyume chakee yani bidada amtake rafiki wa mume wake tungekuwa page ya 10+kashfa za kila namna kwa mwanamke
SawaAttention seeker
Siwezi kumpa aiseeMpe bwanaa Unajua anashida nayeye
Ya zamani siyo ya sasa, mambo yamebadilikaaaaUlivyochangamka wewe mpk vibabu unapita navyo ndo umkatae shemeji yako? 😹😹
Pole sana kwa kusumbuliwa na huyo shemeji yako mwenye tabia za malaya malaya.Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Jasiri haachi asili 😹Ya zamani siyo ya sasa, mambo yamebadilikaaaa
Hapana uzinzi siyo jambo la kumpendeza MunguUnaogopa dada atajua
Tunaishi kulingana na mazingira 😁Jasiri haachi hasili 😹
Wewe umeolewa ? AuNimeleta ili kuwaambia mashemeji wenye tabia kama hizi muache mara moja
Asante sana mkuu, barikiwa kwa moyo wako wa kutaka kuniungisha, samahani sitaweza kukupa location sihitaji kujulikana na yeyote.Pole sana kwa kusumbuliwa na huyo shemeji yako mwenye tabia za malaya malaya.
Samahani naomba niende nje ya mada kwa muda. Je, unauza bidhaa gani hapo ofisini kwako? Naweza kuwa mteja wako mtarajiwa. Kama upo tayari naomba unipe location ya biashara yako nije nikuungishe siku moja.
Sitanii niko serious.
Bado mkuuWewe umeolewa ? Au
LiesAnazo hizo za ziada lakini nadhani ana bajeti zake mwenyewe
Sijasema kwa ubaya ila inawezekana katika pita pita yako na pia marafiki au ndugu na jamaa ulionao katika cycle ukaona mmoja au wawili wana uhitaji wa kweli wa kuwa na mume na wapo ready na ukaona huyu hata ningekuwa na kaka yangu ningemshauri aoe huyu mwanamke, naamini sometimes katika jamii yapo haya mambo.Sijui kama ninafaa au sifai kuwa mke, kama unahitaji mwanamke humu kwanini usianzishe uzi uandike na vigezo vyako unavyohitaji atayevutiwa aje PM myajenge