Shekhe Ponda aachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Polisi washamtia kilema cha mkono! Kumpiga risasi haikuwa sawa,kumpeleka mahakamani kama hivi ndio haki.
 
Halafu chakushangaza iweje Ponda aachiwe asibebwe lakini wewe ndio ukabebwa kulikoni na furaha kwa Ponda kachiwa? Hii picha inanipa wasiwasi sana Nguvu!

usijitoe ufaham
huyo ni mmoja wa walioshitakiwa.
 
tz hakuna kinachoshindikana, mmeshasahau ya sitti mtemvu kuchakachua umri mnaona kama tukio la mwaka 90 kumbe juzi tu sasa mnaanza kupandishiwa cd nyingine

Sitti ashaachia ngazi tumkumbuke wa nn tena
 

Hahahaa haaaa uwiii nimecheka
 
Kwa hivyo wanaendelea kusamehe watu huku wakiongozwa naroho mtakatifu wakati huohuo wanaiba huku wakiongozwa na shetani???

Askofu hana mamlaka wala uwezo wa kusamehe dhambi ya mtu, only God/lord
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…