Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,682
- 40,286
Huyo wa mwanza si illunga kweli
uwe unaacha kuuliza majibu.. wakati unalo..
hili GAIDI ilunga sijui kwanini wanamwendekeza???
Huyo wa mwanza si illunga kweli
Ngongo,
Kusema kweli habari hii naisoma tu ktk magazeti na hata wewe umeshindwa kutufahamisha vizuri kilichotokea.
Ni hivi,
1. Sijui una uhakika gani Sheikh anafanya mihadhara ya kutukuza Jihad kwa maana ipi? na ndio sababu ya kumwagiwa tindikali.
2. Unaposema tembo wanauawa na Sheikh kumwagiwa tindikali sii una maana hawa ni victims sasa inakuwaje sheikh huyo ndiye analaumiwa kumwagiwa tinfikali na mtu ambaye hajulikani.
3. Ikiwa kuna uhakika wa sheikh kuhimiza Jihad dhidi ya Ukristu, huoni kama ni kosa vile vie mkwa mkristu kwenda msikitini kumwagia Sheikh tindikali badala ya ku report uhasama huo kwa vyombo vinavyohusika?
Kifupi mkuu wangu mijadala ya dini ndio iloniondoa humu JF kwa muda mrefu maana kila mtu humu anazungumza kwa imani yake. Na bahati mbaya sana imani yang ya Uislaam ni kwamba hakuna dini ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Islaam (total submmission to God)ila sisi binadamu ndio tumeamua kutunga dini zetu za madhehebu kwa kufuata watu walozianzisha. Ukiweza kunielewa ktk hilo basi hi mijadala ya dini wala usinihusishe maana siamini kwamba Yesu ni Mungu wala Muhammad ni zaidi ya Rasul (mtume) kwa jins wanavyotukuzwa. Mungu ni mmoja hana mfano na ndiye pekee anayetakiwa kuabudiwa.
alqaeda,alshabab,boko haram,hakika hii ni dini ya shetani!
je ugaidi wa ilunga ni sahihi!?
Ni ngumu sana kuwakuta wakristo wakiwa na mambo ya kijinga kama hayo
bwana wee mashaka!!!Kabla ya kusoma mi naweza sema huu ni uzushi .jihad kwa kitabu gani???
JIHAD inautofauti gani na UGAIDI!!?? Hawa jamaa wanamatatizo sana
Sera za kiliberali hizo. Acha gapambane genyewe kwa genyewe!
Kuanzia sasa nitakuwa nawawekea clips za kuvunja mbavu. Hizi ukiangalia ni hakika utacheka hadi unenepe na kusahau kero za siku.
Naanza na hii: Iangalie, haitakaa sana hewani nitakuwa naweka moja kila baada ya siku 3. Nakushauri kama unapenda download it. Ni safe (I assure)
Siku njema
na picha
![]()
We muhutu kagenda katafute ka bwana kaku himbere kunako himbero yako!
Akili za waliberali na dini yao hivyo hivyo: kuwaza kufanya machafuko na matendo mengine laanifu kama uliyoandika hapo. Kamtafute ustaadhi akukarabati kama 0713 yako inatekenya. Nyambafu!
Hawa wakristo walikuwa kanisani wanasali wakateketezwa na waislamu waitwao Boko Kharamu huko Nigeria. Uislamu ndiyo dini ya kweli na Muhamadi ndiye katuagiza tufanye hivyo!Nyie walokole kwa mipasho hatuwawezi!
Manake watoto wa kiume siku hizi mnavishwa shanga na rangi za kucha mnapaka!
We unasubiri kutolewa pepo!
Wale wavuta ganja za kiyahudi wanakwenda wamwagia tindi kali waislamu!
Na wale waliokuleteeni huo ugalatia wameamua kuoa mbwa na mbuzi!
Huko ulaya! Yaani ugalatia ni janga kubwa mno!
Hawa wakristo walikuwa kanisani wanasali wakateketezwa na waislamu waitwao Boko Kharamu huko Nigeria. Uislamu ndiyo dini ya kweli na Muhamadi ndiye katuagiza tufanye hivyo!