Sheikh Yahya Hussein alikuwa mtu wa usalama!?

Usibishe kwa kuwa hukuwahi kuwa Mjini!

Ukiacha Mwalimu Nyerere huyu Sheikh Yahya 1978 alikuwa na TV na ndie aliekuwa akiruhusiwa kuonesha Wakati huo hata Mawaziri hawakuruhusiwa!

Ndie alieshiriki kuwabaini na kuwanasisha kwny Mitego Wale waliokuwa wakimpinga Nyerere

Kundi la Waumini waliojipanga kuiangusha Bakwata 1993 Waliingia Mkenge wakamshirikisha Huyu Jamaa nae haraka haraka akawaingiza Mkenge Waanzishe Balukta kuidoa Bakwata Kumbe ndo wakaongia kwny Kilengeo na UKAWA Mwisho wao!
 
Halafu jambazi unamaono!
Mimi hiyo nilishaigundua muda mrefu na nikastuka.
Muungamie Mungu wako pekee kwa kujuta dhambi na si binadamu mwenzako.
Yah kweli aisee nahisi walianzisha warumi ili watu wawe wanajishtaki wenyewe wakidhani wanaenda kuungama ..
 
Back
Top Bottom