Wajameni niko maeneo ya kinondoni, karibu na msikiti wa mtabani ambapo mwili wa yule aliyekuwa mnajimu maarufu unatarajiwa kuoshwa ikiwa ni maandalizi ya maziko hapo baadae mchana ktk makaburi ya tambaza. Fununu nilizozipata ni kuwa kuna idadi kubwa ya waosha imejitokeza kuuosha mwili huo. Nje ya msikiti watu wanadhani kuwa kujitokeza kwa idadi hii ni kutaka kuondoka japo napete moja kati ya yale mapete yavaliwayo ns sheikh. Wana jf, hizi fununu zaweza kuwa na ukweli?.
samora10,
Acha kudanganya watu habari za kumuosha ni uchimvi mtupu.Semeni wazi Sheikh Yahaya anakamuliwa kinyesi kwamujibu wa taratibu za ~~~**&&&& ili mabikira 80 wampokee vyema.
samora10,
Acha kudanganya watu habari za kumuosha ni uchimvi mtupu.Semeni wazi Sheikh Yahaya anakamuliwa kinyesi kwamujibu wa taratibu za ~~~**&&&& ili mabikira 80 wampokee vyema.
Crap!TETESI GUYS LETS BE SERIOUS WE HAVE ALOT TO DISCUSS
pumzika kwa amani mzee Sheikh yahya, u will be remembered by many people.
hivi kwa nini mnapenda kutukaniana dini ambazo hata hazikuja kwa ajili yenu na wala hamna uhakika kama ni za kweli
Sijasikia salamu rambirambi za JK kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe (CCM) Ndugu John Mwankenja. Taarifa ni kwamba huyu Mwankenja ameuliwa jina usiku wakati Sheikh kafariki leo asubuhi. Ni formula gani inatumika kutoa salamu za rambirambi? walio karibu na JK waangalie hili, not a good impression kwa rais. Hata akitoa salamu hizo sasa hivi ukweli ni kwamba inakuwaje amerukia msiba wa asubuhi akaacha wa jana usiku, huku marehemu wote walikuwa kwenye group moja i.e ccm?
That is your own naive assessment of events. Kama unadhani opposition ni CDM pekee, huo ni ubutu wa mawazo ambao wengi wenu mnao. Kwa hiyo jinsi mlivyo superstitious, mkaamini maneno ya kinajimu?
je tbc itaonyesha mazishi ya sheikh haya?
ndio nani ktk taifa hili?
Thread yako inapotosha mkuu......Mtu akisoma anaweza akafikiri TBC tayari wanaonesha live kitu ambacho sicho,ni vema hata ungeandika: Mazishi ya Sheikh Yahya; TBC kuonesha live?....
Kama hutojali badilisha heading ama omba mods waiondoe kabisa thread,maana haina MASHIKO mkuu
acha upupu wewe, nani alikuambia huyo sheikh ataoshwa Mtambani? Hakika vitu vingine huwa vinakera sana. ataoshwa msikiti wa tambaza na kuzikwa makaburi ya muhimbili sasa wewe unapoandika hizi habari unataka nini?
Haswa ulijuwaje wewe? Ni hodari kwelikweli! Ulitaka akazikwe na m.a.v.i tumboni kama nyinyi (suti kubwa kwa maiti huku mavi yanachafuwa mazingira)! Si uliona nanihii pale uwanja wa taifa man nzi yalivyo mzunguka? Au umesahau? Maiti ya kiislaam hupelekwa kuzikwa sharti inanukia ma-al'udi na manukato ya misk na ambar. Huko aendako atajuana yeye na muumba wake, sisi twampeleka msaaafi, ananukia.