Kifo cha sheikh yahya ni pigo kubwa kwa Jk, lazima habari zimfikie. Pole sana Jk. RIP SHEIKH.kumbe kila kitu kinamfikia sio?ingekuwa taarifa ya umeme kukatika au watu kukpigika hataki kujibi anajifanya hajasikia kumbe anapata taarifa zote wajameni
Kifo cha sheikh yahya ni pigo kubwa kwa Jk, lazima habari zimfikie. Pole sana Jk. RIP SHEIKH.
Karibu Jamvini William's naona post yako hii ya kwanza imeanzia kwenye msiba MH!umeona eeh cha kusikitisha ni kuwa alishindwa kukitabiri kifo chake kama anavyofanya kwa wengine
Tunaomba source ya chombo cha habari kilichotangaza hayo unayoyashuudia, mimi binafsi nimesikia salamu za rambi rambi za kwenda kwa huyu mchawi tu sheikh ubwabwa.Jamani ameshatuma pia salamu za rambirambi kwa wafiwa wa Marehemu Mwankenja huko Mbeya na kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya pia. Anawajali watu wake wote Mwankenja pamoja na Sheikh Yahya bila ubaguzi.
jmani kabla hamjabwabwaja ifikirieni familia yake ambayo iko katika wakati mgumu kwa sasa.......
Jamani ni binadamu/Mtanzania mwenzetu, so kipindi ka hichi huwa tunasahau mabaya yote ya Marehemu.
R.I.P Shekhe Hussein Yahya
Kweli nimeamini huyu alikuwa mlinzi wake wa nguvu za giza.
Sasa tutegemee frequence za kuanguka hadharani kuongezeka.
Lakini JK mbona sijasikia ukituma salamu za rambirambi kwa wale watanzania walokufa Tarime? Au kwa kuwa wao si waganga wa kienyeji?
asante ndugu yangupeople's pawaaaaaaaaaaaaaa, sauti ya slaa ni sauti ya watu, na sauti ya watu ni sauti ya mungu, hivyo basi, sauti ya slaa ni sauti ya mungu. Ole wake anaepingana na sauti ya mungu kwani hayatampata mema. Shekhe huyu alipingana na sauti ya mungu kwa kusema yeyote atakayesimama kumpinga kikwete atakufa. Sasa hatima yake kama mpinga sauti ya watu (which = sauti ya mungu) imefika. Tutoeni tu salam za rambirambi
People's pawaaaaaaaaaaaaaa, Sauti ya Slaa ni sauti ya watu, na sauti ya watu ni sauti ya Mungu, hivyo basi, Sauti ya Slaa ni sauti ya Mungu. Ole wake anaepingana na sauti ya Mungu kwani hayatampata mema. Shekhe huyu alipingana na sauti ya Mungu kwa kusema yeyote atakayesimama kumpinga Kikwete atakufa. Sasa hatima yake kama mpinga sauti ya watu (which = sauti ya Mungu) imefika. Tutoeni tu salam za rambirambi
Eeh, hivyoo eeh!People's pawaaaaaaaaaaaaaa, Sauti ya Slaa ni sauti ya watu, na sauti ya watu ni sauti ya Mungu, hivyo basi, Sauti ya Slaa ni sauti ya Mungu. Ole wake anaepingana na sauti ya Mungu kwani hayatampata mema. Shekhe huyu alipingana na sauti ya Mungu kwa kusema yeyote atakayesimama kumpinga Kikwete atakufa. Sasa hatima yake kama mpinga sauti ya watu (which = sauti ya Mungu) imefika. Tutoeni tu salam za rambirambi
People's pawaaaaaaaaaaaaaa, Sauti ya Slaa ni sauti ya watu, na sauti ya watu ni sauti ya Mungu, hivyo basi, Sauti ya Slaa ni sauti ya Mungu. Ole wake anaepingana na sauti ya Mungu kwani hayatampata mema. Shekhe huyu alipingana na sauti ya Mungu kwa kusema yeyote atakayesimama kumpinga Kikwete atakufa. Sasa hatima yake kama mpinga sauti ya watu (which = sauti ya Mungu) imefika. Tutoeni tu salam za rambirambi
<br />asante ndugu yangu
This really is an adolescent reasoning. Wewe ni mtu wa aina gani unayefurahia kifo cha binadamu mwenzio? Mbona una tabia za kigaidi? Lakini nikukumbushe kwamba waliomping Slaa kwenye ucahguzi uliopita walikuwa zaidi ya watano. Hakuna popote ambapo mnajimu huyu alisema Slaa atakufa. Ushabiki wa kitoto tuuu!