Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon
"Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo[/B]"
Watanzania mna roho mbaya sana, mabaya ya wenzenu ndio mnayaona yenu hamyaoni, "wacheni mwenyezi mungu ahukumu kiumbe chake, sisi wote bainadamu hatujui hukumu yetu vipi tuanza kumuhukumu shehe Yahya.?
Kifo chake kimeacha pengo kubwa sana katika medani ya siasa za Tanzania hasa hasa kipindi hiki ambacho Nchi yetu inapita katika mitihani migumu sana kisiasa.
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Sheikh yahya Hussein, kazi aliyotumwa imekwisha
duh! mali zitatosha kweli kugawana? au kuna wengine watafunikwa hapo bila shaka
nani atapewa ule mbenzi?