Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 131
Mkuu PJ.Unajua hata watunga utani/jokes huwa wanaangalia vitu ambavyo at least vinawezekana na vinaendana!..
This is dead-impossible!
nothing impossible
Nimelazimika kuiweka habari hii kwenye jokes kwa sababu haijathibitishwa, tusubiri magazeti.
Habari zisizothibitishwa zinasema kwamba yule mnajimu maarufu nchini sheikh Yahya Hussein ameokoka jana katika kanisa la ufufuo lililopo Ubungo maji Dar es salaam.
Tutaendelea kupashana kadiri habari zitakavyokuwa zinapatikana.
Tuendelee kusubiri habari hizi najua kwa wengi haiingiii akilini lakini nothing is impossible.Mkuu
Umeamua kuchekesha umati, sio mbaya-wengine tulikuwa na stress angalau zimepungua baada ya kusoma post yako.
It's creative joke-however!.
Mmh sijui kama inawezekana.nilimuona j3 kwenye kipindi chake Channel 10 akisema kama mtu haamini utabiri wake achukue fomu.leo unatuambia kaokako sijui tusubiri magazeti.
kwa tuliokuwepo
ANYWAY HUU NI MOJA YA MIUJIZA ITAKAYOTOKEA 2010
WANANDUGU NI HIVI
KUNA SHEHE ANAITWA SHEIKH ALI BIN SULEIMAN
WA KUTOKA TANGA AKIONGOZANA NA WENZAKE 3
WAMEMKIRI BWANA YESU JUMAPILI KAMA MWOKOZI WA MAISHA YAO
KILICHOSHANGAZA WATU WALIKIRI WAMEKUWA NA VITA SAANA NA BABA
KATIKA ULIMWENGU WAROHO WAMECHHUKUA MISUKULE 5000 NA BAADHI
YAO IMEREJESHWA NA ASKOFU GWAJIMA NA KUKIRI WAMEPIGANA NAE SANA
WAKATI AKIWARUDISHA.....MENGINE ZAIDI KARIBU
UFUFUO NA UZIMA
KIINGILIO
BURE
Nimelazimika kuiweka habari hii kwenye jokes kwa sababu haijathibitishwa, tusubiri magazeti.
Habari zisizothibitishwa zinasema kwamba yule mnajimu maarufu nchini sheikh Yahya Hussein ameokoka jana katika kanisa la ufufuo lililopo Ubungo maji Dar es salaam.
Tutaendelea kupashana kadiri habari zitakavyokuwa zinapatikana.
Kwa maana hiyo kijiji kizima walikimaliza! Kama wapo 20 kama hawa inamaana 100,000 na hapo ni karibia wilaya nzima kama Pangani vile! Mhh, ama kweli!
Na hao waliorejeshwa, mbona hawasikiki? Kati ya 5000, watakuwa wamerejea basi hata 50, wawapi? Sasa si washirikiane na askofu kuwarejesha wote 5000. makubwa haya
ZionTZ naamini hata nawe huangalia vipindi vyake, bila hivyo ungemjuaje?kumbe huwa unaangalia kipindi chake??? duh.....