Sheikh wa Mkoa wa Dar: Makonda kalikoroga mwenyewe, nisihusishwe

Mbulu

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
5,577
2,000
Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P
Mlamba viatu,kaza nafasi bado zipo
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,991
2,000
Tumemsikia Sheikh Wetu Al Had Mussa Salum.....

Video Inajieleza....

Tuache KUOKOTEZA maneno kwa ALIYOYASEMA.....

Tukichukua CONTENT ya ufafanuzi WAKE na kuliacha neno "KALIKOROGA" tutakuwa TUMEEPUSHA kuwagombanisha watu kwa VITU VYEPESI....

Sheikh Al Had Mussa Salum ni Kiongozi Wetu Sisi Wafuasi Wa BAKWATA....

Sheikh Al Had Mussa Salum ni RAFIKI wa mh.Makonda TOKA akiwa ni mkuu wa MKOA na sidhani kutakuwa na sababu ya KUUTIA msambweni URAFIKI WAO.
Natumai Uhusiano wao Kama wanadamu na Kama marafiki HAUTOKATIKA kwa sababu ya sintofahamu hii.

Binafsi Nadiclear INTERESTS kumuunga mkono mh.Makonda katika NDOTO ZAKE ZA KISIASA.....

Simung'unyi Maneno...Nilikuwa Ni mmoja wa WALIOMUOMBEA DUA na kumtakia HERI usiku wa kuamkia UCHAGUZI ULE wa KIGAMBONI.
Nilizodolewa na mahasimu wake hapa JF lakini nikabaki na msimamo wangu.

Ninamuita mheshimiwa kwa sababu ya mazuri mengi aliyotufanyia wana Dar Es salaam.Makonda AMEKUWA NEMBO ya CCM yetu kwa VIJANA HUKU MITAANI.

Makonda anajua KUKIBRAND Chama chetu kwa MVUTO mkubwa NADIRIKI kusema ni zaidi ya VIJANA WOTE WA CCM.

Kama kijana mwenzake,Kama kijana ambaye nimekuwa katika harakati za Chama kwa zaidi ya miaka 15 sasa ninajipa UJASIRI wa kusema ninawafahamu VYEMA VIJANA WENZANGU WENGI WALIO UMRI WANGU NA AMBAO WAKO VOCAL ndani ya CCM ambao kwa KIPINDI CHETU tulikuwa pamoja ama muda usiopishana NDANI ya TAHLISO,ndani ya Serikali za wanafunzi vyuo vikuu na haswa SHIRIKISHO LETU LA CCM VYUO VIKUU lakini NIMEMVULIA KOFIA mh.Paul Christian Makonda...

NIMEMVULIA KOFIA kwa kule kuwa na CHARISMA na kipawa cha NYOTA NJEMA ya KISIASA aliyotunukiwa na mola muumba.

All and all huwezi ukabeza NDOTO ZA MWINGINE.....
Kila mtu ana HURIA juu ya NDOTO ZAKE.....
Na NDOTO huendana na MUDA,NYAKATI na pia TIMINGS.

Sikumshangaa Paul Makonda kuwa na UJASIRI wa kutia NIA YA UBUNGE KIGAMBONI kipindi HIKI.....
Na sitomshangaa AKIWA na subira ya kujaribu Tena na tena moments ZIJAZO.

I wish him the best aaamen,naamini AMEKOMAA KISIASA na ana HAZINA ya MIFANO TELE katika HARAKATI ZETU ZA SIASA KAMA VIJANA NDANI YA CHAMA CHETU PENDWA.

Kila Mtu Ana NDOTO
Usikubali kuziacha zako NDOTO.

Dr. Jumbe Brown,
Dar es Salaam.

Siempre Siempre CCM
Hasta la Victoria CCM
Aluta Continua CCM.
Eti tukiacha neno "KARIKOROGA" kwanini tuliache sasa?
 
SIERA

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,329
2,000
Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P

Acha ujinga wewe makao makuu kayajenga makonda!? Nakubaliana na wewe kwajambo la Shehe kukosea maneno ya kuzungumza ya kistaarabu
 
SIERA

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,329
2,000
Hilo jengo la Bakwata kamjengea huyo Shehe? Na hata kama kawajengea ndio ilikuwa kifunga mdomo? Halafu hilo jengo limeshakamilika? Hata kama Makonda atapewa nafasi zote hizo, bado huyo shehe kaongea ukweli.

Jengo limejengwa na ufalme wa Morocco Makondo wp na wp !? Huyo mayalla kavurugwa na matokeo ya kura za maoni za Kawe
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,128
2,000
Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P
Umechelewa sana kuzitambua lugha zisizo za KIONGOZI WA DINI, maana umesubiri hadi alipostrike CallMeJ. Lakini nikukumbushe ndugu Kada wa CCM, huyu mhishimiwa wa imani sio wa mchezo mchezo kiasi cha wewe kumkoromea, huyu sio wa kuwaambia omba omba waende kuhiji halafu wamgomee..., huyu akiamua kumtoa pepo anamtoa kweli. We ushamsikia Sistaetu akiporomosha vijembe siku za karibuni?

Pashikaliiiiiiiii, asante kwa dokezo la mrithi wa Yangachawene, lakini hujatwambia homeboy mwingine atatua wapi. Namzungumzia Bwana Amfifiro. Mi ningeshauri (ushauri tu lkn, msinitoe nje ya mji mkanipiga mawe) kwamba kwa kuwa Amfifiro ashazoea kuchunga kondoo, basi apewe tigwa, pundamiraba, simba na kutro-mwitu awachunge, halafu yule wa Nzige arudi kutibu watu Sokoture
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,599
2,000
Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P
Jicho lako linauangalia uchocho kanakwamba ni sehemu mbaya, ya hovyo na haifai kuwepo.
Anyway wahuni na wakaa vichochoroni hukuijua lugha yao UKAAMBULIA KURA 2 (sema "MBILI")😁😂
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,599
2,000
Yanayomtokea Makonda inabidi Magufuli ayatafakari kwa kina sana. Inabidi amtumie Makonda kama case study yake ili aweze kuona atakuja ishi namna gani pale atakapostaafu au kuacha madaraka.

Tabia za Makonda na za Magufuli zinatofautiana kidogo sana na Magufuli anatakiwa kujua kuwakuwafanyia watu vibaya na mabaya kuna malipo mabaya sana huko mbeleni
100%
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,462
2,000
Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P
Huna lolote wewe mataga sheikh kazungumza vizuri sana na kwenda straight to the point. Nasikia ilichukua form ya ubunge, vipi ulipita au umekula spana ya kukazia injini ya meli?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom