Sheikh wa Mkoa wa Dar: Makonda kalikoroga mwenyewe, nisihusishwe

Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P
P.
Ni Waislam wachache sana tunayo iunga mkono Bakwata.
Hivyo kujenga jengo la Bakwata sio kigezo cha Waislam kumkubali.
 
Hata Makonda arudi tena Dar eS Salaam hatamfanya kitu chochote huyo Sheikh. Hii siyo nchi ya visasi kama anavyofanya Magufuli...Haya mambo yake ya ujinga ujinga yatamgharimu siku moja. Ninyi mnamtetea huyo mtekaji Makonda...Basi mkakae nae.....Kila mahali anachukiwa huyo.
Simtetei bali nilichangia tu, kwasababu hawa masheikh inaonekana wanategemea vijisenti vya hawa watawala, sioni mapadri wakiweweseka hivyo. Au viongozi wa dini ni waislamu tu.
 
P.
Ni Waislam wachache sana tunayo iunga mkono Bakwata.
Hivyo kujenga jengo la Bakwata sio kigezo cha Waislam kumkubali.
Mkuu Kitoabu, hoja sio kukubalika, bali kuwa na shukrani kwa wema aliowatendea, Kafiri akuufaaye ni bora kuliko Islam asiyekufaa!.

Huyu Sheikh amekosa shukrani kumbeza PCM kwa maneno ya hovyo hovyo. Angeishia tuu kukanusha, hayo ya kulikoroga hayahusu!.
P
 
Na huo ndio ukweli mchungu bwashee!
Wanadamu ninawajua sana.
Hii iliwahi kunipata sitasahau kamwe, watu waliokula vyangu vyakutosha...mamilioni ya pesa lakini siku moja wakagundua kazi yangu ya maana imekoma, niliwapigia simu siku moja eti naylizwa wewe nani?
Sikuamini masikio yangu
Mkuu Kitoabu, hoja sio kukubalika, bali kuwa na shukrani kwa wema aliowatendea, Kafiri akuufaaye ni bora kuliko Islam asiyekufaa!.

Huyu Sheikh amekosa shukrani kumbeza PCM kwa maneno ya hovyo hovyo. Angeishia tuu kukanusha, hayo ya kulikoroga hayahusu!.
P
 
Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P
Ukiwa na njaa huwezijua kama mboga haina chumvi au hujatengewa pilipili mezani. Ukianza kushiba ndipo unaanza kujua mboga haina chumvi. Mkuu pesa ya kuwajengea waislamu makao makuu ya Bakwata ya hadhi mkuu wa mkoa alipata wapi? Acha kuhalalisha haramuuuu! Nafikiri ulipaswa kuwakumbusha waislamu kwanini walikubali pesa chafu na sio wema waliotendewa, dhambi haitoki kwa kutoa sadaka bali kutubu na kuacha kutenda.
 
Mkuu Lukoma, fedha hata iwe chafu vipi, ikiisha change hands, inageuka ni fedha safi.

Ukiiba pesa au ukikwepa kodi au hata ukiuza unga, halafu ukaitoa sadaka kwa yatima, kusaidia masikini na kujengea misikiti au makanisa, kwa vile recipients wana shida na walimuomba Mungu awasaidie, then hizo fedha utakazo wasaidia ndio mpango wa Mungu, zinakuwa zimesafishika na kutakasika na sio fedha chafu tena, kwasababu wao waliomba msaada na umewasaidia, hata wewe pia utabarikiwa, kwa kupunguziwa adhabu ya karma ya uovu wako!.

Hata ukitenda dhambi vipi ikiwemo kuua, halafu ukatenda wema mkubwa zaidi ya ile dhambi, huo wema unakusafisha na unatakasika na hata ukifa ni peponi straight.

Huko mbinguni unaweza kushangaa kuwakuta Osama, Gaddafi na Saddam Hussein peponi, halafu Bush, Blair na Obama wakaenda motoni!.

Jielimishe zaidi
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

P
 
Pascal na wengine mnaomshambulia shehe hasa ni kwa nini mbona amejibu vizuri tu? Amekanusha vema kabisa na aliposema Makonda kaligoroga ni kweli mtupu! Kukoroga siyo neno la kutukana ni tendo tu alilifanya mtu. Na ukitazama matendo mengi ya Makonda yana mkorogo mwingi. Haijalishi kuwa kesho atakuwa nani lakini matokeo ya sasa ni muhimu yamfundishe mwana mpwendwa kuwa ukiwa juu waheshimu watu wote na uache Kufanya mambo kwa mihemko na kwa dharao nyingi kwa watu.
Nadhani shehe amemweleza ukweli tu. Kama Ana masikio asikie!!
Wewe Paskali njaa kali nini siku hizi mbona umeacha kuwa objective siku hizi?
 
Paskali hiyo ya hela ya Wizi kusafishika ni kweli ila la kusema kuwa Mungu anakusamehe makosa ya fedha chafu bila wewe kutubu na kuacha makosa hayo yanayokuletea fedha chafu siyo sahihi hata kidogo. Sikulaumu kwani wengi wanaamini hivyo. Ndiyo maana wafanyi biashara wengi ni wachangiaji wazuri kanisani wakidhani kuwa labda nikitumia fedha isiyo halali kwa kujenga kanisa nitasamehewa na Mungu hata kama nitaendelea na mtindo huo huo. Huo ni uwongo. Unasamehewa tu kama umetubu na kuacha tendo chafu.
 
Pascal na wengine mnaomshambulia shehe hasa ni kwa nini mbona amejibu vizuri tu? Amekanusha vema kabisa na aliposema Makonda kaligoroga ni kweli mtupu! Kukoroga siyo neno la kutukana ni tendo tu alilifanya mtu. Na ukitazama matendo mengi ya Makonda yana mkorogo mwingi. Haijalishi kuwa kesho atakuwa nani lakini matokeo ya sasa ni muhimu yamfundishe mwana mpwendwa kuwa ukiwa juu waheshimu watu wote na uache Kufanya mambo kwa mihemko na kwa dharao nyingi kwa watu.
Nadhani shehe amemweleza ukweli tu. Kama Ana masikio asikie!!
Wewe Paskali njaa kali nini siku hizi mbona umeacha kuwa objective siku hizi?
🤔
 
Hizi sio lugha za kiongozi wa Dini!.
Sheikh alipaswa kuishia kwenye kukanusha tuu, hakupaswa kumbeza na kumnanga Paul Makonda kwa maneno ya hovyo ya vijiweni na mipasho kwa kitendo cha Paul Makonda kuamua kuuacha ukuu wa mkoa na kwenda kugombea Ubunge wa Kigamboni, sio kulikoroga!.

Inaonyesha huyu Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam haijui CCM!. Yaani mema yote Paul Makonda aliowatendea Waislamu wa Dar es Salaam kwa kuwajengea makao makuu ya Bakwata yenye hadhi, leo amekuwa mtu wa kubezwa kwa maneno haya ya vichochoroni na vijiweni?.

Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi, huyu Sheikh atatafuta pa kujificha na kuficha uso wake pale Makonda atakapoteuliwa kugombea Kigamboni, kisha kupewa Wizara ya Mambo ya Ndani na kugeuka ndio bosi wa taasisi zote za dini!.

Tunawategemea viongozi na haswa wa dini kuongea kwa unyenyekevu, humility na kutumia lugha ya staha wakati wote!.
Hii sio lugha ya kiongozi wa dini!.

P

Lugha ya kiongozi wa kidini ni kweli ni dhaifu, lakini ukweli utabaki kashindwa. Mayala umekuwa mtu wa kuonyesha mapenzi makubwa Sana Kwa Makonda , ni haki yako lakini wewe kama mwandishi nguli kalamu yako isiegemee upande mmoja. Hutaki kusikia wala kuelewa Negative za Makonda. Tunajua unapoandika jamii inaelimika na weledi wako kwenye mambo mbalimbali .
 
Hivi umepata kuwajua vema wanadamu?
Je huoni kwamba unapalia mkaa kwenye nyumba inayoteketea?
"Ati achaguliwe kuwa waziri wa mambo ya ndani... kisha alipe kisasi!!?"
Je Mkuu huoni bandiko lako ni angamizo na unampotezea kuaminika kwa watu PCM? JE Akiteuliwa kweli kuwa uWMN halafu katika utekelezaji halali wa kazi zake akasigana na Waislamu wakirejea bandiko lako hili atachomokea wapi? Au unamjengea "woga" asikabiliane nao?
Ni kweli walikula na kufurahi pamoja na si huyo Shehe tu bali Makasisi na Wachungaji alipong'atuliwa wako "wanafiki" walifanya sherehe kimyakimya!! Waswahili wana methali "MLA NAWE SI MFA NAWE..." au Labda mimi ndio sijakuelewa vema...
Pasco anatajwatajwa sana kuchongea watu, muulize kabendera atakwambia
 
Makonda kajenga makao makuu ya BAKWATA wapi na hizo pesa kapata wapi? yani warabu watoe pesa zao yeye kwenda kukagua na kupiga picha tu ajenge msikiti? kuwa serious mkuu. wala hii haikuondolei vumbi ulilotoka nalo kwenye mweleka kule KAWE
Tanzania iko chini ya Kanisa - by Makonda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom