Uungwana: Alhad Musa Salum akabidhi Ofisi kwa Uongozi Mpya wa Bakwata DSM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,423
Leo Jumanne, aliyekuwa Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Musa Salum amekabidhi ofisi kwa mteule mpya anayekaimu nafasi hiyo.

Akiwa amevalia nadhifu , kanzu nyeupe , kizibao cha kuwakawaka , huku akiwa amepiga miwani ya giza (zamani tukiita Sun gogos), huku akitembea kwa kujiamini, bwana Salum ameingia kwenye ofisi za Bakwata na kukabidhi Mafaili, nyaraka na mipango ya Taasisi kwa Mteule Mpya.

Tunamtakia kila la heri katika maisha yake mapya.

Bakwata.jpg

Aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (kulia) akisalimiana na Sheikh Walid Omar aliyekaimu nafasi hiyo, wakati wa makabiziano ya ofisi jijini Dar es Salaam leo Februari 7, 2023. Picha na Michael Matemanga
 
Leo Jumanne, aliyekuwa Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Musa Salum amekabidhi ofisi kwa mteule mpya anayekaimu nafasi hiyo.

Akiwa amevalia nadhifu huku akiwa amepiga miwani ya giza (zamani tukiita Sun gogos), huku akitembea kwa kujiamini, bwana Salum ameingia kwenye ofisi za Bakwata na kukabidhi Mafaili, nyaraka na mipango ya Taasisi kwa Mteule Mpya.

Tunamtakia kila la heri katika maisha yake mapya.
Mama makinda huvutiwa Sana na Al had
 
magufuli ni zaidi ya yesu na mohamed ...kwa kauli yake mwenyewe1
 
Leo Jumanne, aliyekuwa Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Musa Salum amekabidhi ofisi kwa mteule mpya anayekaimu nafasi hiyo.

Akiwa amevalia nadhifu huku akiwa amepiga miwani ya giza (zamani tukiita Sun gogos), huku akitembea kwa kujiamini, bwana Salum ameingia kwenye ofisi za Bakwata na kukabidhi Mafaili, nyaraka na mipango ya Taasisi kwa Mteule Mpya.

Tunamtakia kila la heri katika maisha yake mapya.

View attachment 2509424
Aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (kulia) akisalimiana na Sheikh Walid Omar aliyekaimu nafasi hiyo, wakati wa makabiziano ya ofisi jijini Dar es Salaam leo Februari 7, 2023. Picha na Michael Matemanga
Shock imeisha
 
Back
Top Bottom