Sheikh wa Dar: Rais Magufuli ni sawa na Omar bin Khattab(RA)

Sheikh wa Dar: Rais Magufuli ni sawa na Omar bin Khattab(RA)

Naam elimu inapatikana kwa wanazuoni ustadhi lakin siyo kila ambacho kipo kwenye mtandao sio sahihi elimu hutafutwa kwa njia nyingi mkuu haswa wakati huu wa teknolojia.lengo siyo kubishana maalimu tunawekana sawa tu aksante kwa ukumbusho
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa juu ya dini yako pia akuzidishie GB za ubongo ili uje kuwa sheikh au imamu!! I accept you brother!!
 
Kumbe haya mambo ni ya tangu enzi! Kuuwana, kuuwana, kuuwana, tena msikitini ... toka enzi na enzi imekuwa ndio mtindo wa maisha huko Uarabuni na Uajemi. Hivi vita ngumu sana kuisha ... Sheikh kanifumbua macho leo.
Kama ulivyo utamaduni wa kiyahudi kusulubishana
 
Subhannallah! Leo hii Swahaba wa Mwenyezi anafananishwa na mnaswara!? Uko wapi uadilifu wa masheikh wetu wa enzi zile za akina Harun Ibn Rashid? Mbona tamaa ya matumbo yetu kuliko dini ya Allah?
Nasikia anayewajengea ofisi anajiandaa kutoa msaada wa madawati ya kukalia kwenye masjid. Nadhani shehe wetu naye atapokea tu.
 
Ni kweli nimeegemea zaidi kwa wajumbe kuliko mshhreshaji kwa vile wao ndio walikuwa wanachambua mada.
2. Nachukizwa na mtindo wa masheikh wa bara kutumia hadithi za uislamu kwa kujikomba na hawazimalizi mpka mwisho wa hadith yajiuulikane maudhui na matokeo yake.
Lakini matendo ya binaadami si huwa yanafanana shehe wangu? Kwanini asifananishwe? Mungu mwenyewe si alimuumba mwanadam kwa mfano wake? Dhambi ipo wapi hapo?
 
ALIYEMUUA UMAR IBNU LI-KHATWAB ( RADHWIYA LLAHU ANNUH) HAKUWA MUISLAMU BALI YEYE ALIKUWA MMAJUSI (WATU WANAOABUDIA MOTO) NA ALIMUUA KUTOKANA NA CHUKI ZA WASIOKUWA WAISLAM DHIDI YA UISLAMU KAMA HIVI SASA WANAVYOFANYA ISRAEL NA MAREKANI WANAANDAA VIKUNDI VYA KIGAIDI KTK NCHI ZA KIISLAMU KISHA WANAENDA KUUA WAISLAMU KWA KISINGIZIO CHA UGAIDI

Ni nani aliyekudanganya kuwa harakati za Israel ni dhidi ya uislam?
 
Inna lillahi!!!daah[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Msiunganishe uislam na matendo ya mwislam mmoja mmoja!hii dini inatosha na ina kila kitu kuhusu maisha na miongozo ya kila kitu!sio katiba ambayo leo au kesho baadhi ya vifungu vinarekebishwa au kuongezwa
Ni jambo la istihizai mwislam tena sheikh mzima unakaa kufananisha maswahaba au mitume na vitu ambavyo havifananii hata nusu ya theluthi.ni unafki wa kiwango cha vumbi!
Uislam au Ukristo faida zake si zinapimwa kwa matokeo? au hupimwa kwa namna ilivyoandikwa bila kuangalia matokeo?
Maana Siku hizi nimetokea kushuhudia uhamishaji magoli wa kiwango cha juu hasa pale mambo yanaposanuka na kuwa ndivyo sivyo, utasikia hayo yasihusishwe na uislam au ukristo. Hata kama mambo hayo yanafanywa na watu ndani ya Jamii inayoongozwa na utamaduni na sheria Kali za dini husika.
 
Huyu Sheikh ni mwendelezo wa tabia zile zile za Mwanzilishi wa Bakwata Adam Nasibu aliyeivunja EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY iliyokuwa na vision na kukubali kutumika kuwabambikizia waislamu Bakwata isiyo na vision!
Ni tabia yetu kuamini na kuwasifia marehemu, ndiyo maana bado tunaipa mizimu nafasi kubwa ya kutawala imani zetu. Hiyo East African Muslim Welfare Society ilikua inaongozwa na waislam na hata Bakwata iliwekwa chini waislam na ndiyo wanaoiongoza hata leo. Kama mnadhani Bakwata haina vision basi hill ni tatizo lenu, ni jukumu lenu kuiunga mkono Bakwata muingie huko mkaungane katika kutengeneza hizo visions.
Hiyo East Africa Muslim Society mlitaka iendelee tu kuwepo hata kama haikidhi viwango vya nchi husika? Acheni kuitenga Bakwata, ingieni huko mkaboreshe chombo chenu. Leo hii jata mkirudishiwa hiyo EAMS halafu mkashangilia na kuacha vilaza waiongoze mtaanza kulia tena na kudai afadhali ya Bakwata.
 
kaongea haq gani? historia ya dini anagoogle wikipedia alafu bado anatetea!! dini haisomwi kwenye mitandao brothers if you want to know it just kunja goti kwa sheikh msome vitabu vya sira mtajua historia ya kweli ya uislamu lkn si kusoma vitu vilivyoandikwa na john au peter nawe ukasadiki kuwa ndo historia ya dini yako!! Allahu musta'an (Allah awaongoze)
Kwani Ikiandikwa na Paul kuna shida gani? Mbona Paul huyo huyo leo ndiyo anatujengea ofisi zetu wakati tulikua na akina Mrisho, Yusuf Makamba na Sadiki lakini walipita kimya kama vile hawatuoni lakini akina John Pombe na Paul leo ndiyo wametutoa kimasomaso...!!
Na miaka yotw hiyo tukiwa hatuna of is I yenye hadhi waislam wenzetu walijua lakini msaada waliotupatia ilikua in tende na haluwa kipindi cha Ramadhan pamoja na makontena ya nyama za kondoo.
 
Mimi sijui lakini wanachaguana kinafiki hata yule kadhi sijui jongo aliye jifanya mwehu bungeni kumlilia nyerere nadhani hata mama yake hajawahi kumlilia. Hawa watu wanahitaji nguvu ya waislamu kuwatoa. Allah awalaani duniani na akhera mbwa hawa wasiokuwa hata na chembe ya aibu. Ogopa mtu mnafiki.
Usitukane matusi, utapata dhambi Mbinguni au ban JF.
 
ALIYEMUUA UMAR IBNU LI-KHATWAB ( RADHWIYA LLAHU ANNUH) HAKUWA MUISLAMU BALI YEYE ALIKUWA MMAJUSI (WATU WANAOABUDIA MOTO) NA ALIMUUA KUTOKANA NA CHUKI ZA WASIOKUWA WAISLAM DHIDI YA UISLAMU KAMA HIVI SASA WANAVYOFANYA ISRAEL NA MAREKANI WANAANDAA VIKUNDI VYA KIGAIDI KTK NCHI ZA KIISLAMU KISHA WANAENDA KUUA WAISLAMU KWA KISINGIZIO CHA UGAIDI


Khaaaa kuuumbeeee vile vikundi vimeandaliwa na wao halafu wanasema wana vilaani?

Ila mbona sijawahi kuona watu wakiandamana na kuvipinga hivi vikundi?
 
Ni tabia yetu kuamini na kuwasifia marehemu, ndiyo maana bado tunaipa mizimu nafasi kubwa ya kutawala imani zetu. Hiyo East African Muslim Welfare Society ilikua inaongozwa na waislam na hata Bakwata iliwekwa chini waislam na ndiyo wanaoiongoza hata leo. Kama mnadhani Bakwata haina vision basi hill ni tatizo lenu, ni jukumu lenu kuiunga mkono Bakwata muingie huko mkaungane katika kutengeneza hizo visions.
Hiyo East Africa Muslim Society mlitaka iendelee tu kuwepo hata kama haikidhi viwango vya nchi husika? Acheni kuitenga Bakwata, ingieni huko mkaboreshe chombo chenu. Leo hii jata mkirudishiwa hiyo EAMS halafu mkashangilia na kuacha ****** waiongoze mtaanza kulia tena na kudai afadhali ya Bakwata.

Katika hao wanaoitwa waislamu kuna Wanafiq
Waanzilishi wa Bakwata walikubali kutumika kwa mtindo wa Wagawe uwatawale.
Sasa hivi Bakwata kimekuwa chombo cha " kwakeep incheck Waislamu" badala ya kuwa na vision za maendeleo.
 
Back
Top Bottom