Sheikh wa Dar: Rais Magufuli ni sawa na Omar bin Khattab(RA)

Sheikh wa Dar: Rais Magufuli ni sawa na Omar bin Khattab(RA)

Hata kama mtu una mapenzi nae kwa kiasi gani haitakiwi kuvuka mipaka!! hukmu yake kisheria hapo inatakiwa (Atarajji) asimame pale pale alipoongea ujinga wake abainishe makosa yake ktk hilo tamko na atubie...., viongozi wa taasisi washannuliwa tayar!! waislam jiwekeni mbali na mambo yakiHIZBI yaani taasisi na siasa

Na Nyerere atakuwa kama Muhammad SAW! Naona hakumaliza
 
" kul-haq walaukana murrah" Sema kweli ijapokuwa inauma. Aliweza kuingiaje msikitini tena wakati wa sala ya alfajir akapata nafasi kuyafanya hayo aluoyafaya. Huyu alikuwa mtumwa na nyakati zile mtumwa hufuata dini ya bwana wake au kichwa chake halali yake!Mimi si Bakwata, sipindishi mambo kwa kujifurahisha

bakwata ni dini kwani?
 
Ni kweli nimeegemea zaidi kwa wajumbe kuliko mshhreshaji kwa vile wao ndio walikuwa wanachambua mada.
2. Nachukizwa na mtindo wa masheikh wa bara kutumia hadithi za uislamu kwa kujikomba na hawazimalizi mpka mwisho wa hadith yajiuulikane maudhui na matokeo yake.
Mheshimu sana kiongozi wako.
Na log off.
 
Hii mambo ya kufananishafananisha watu hainaga hata maana. Kazi ya kusifia bila kutoa na kasoro ili mtu ajirekebishe kiutendaji kwangu haina mvuto. Kiongozi wa dini shurti uwe na maono ya mbali la utabadili badili kauli kilaleo.
 
e42729b1-0754-48a7-9e3b-5a5c8e9c3666.jpg


Kuna kitu hapa kinanitia Mashaka, je hawa watu wanakwenda saloon moja?
 
Kuna siku huyu sheikh wa Dar atatulazimisha MAGU ni muislamu unajuwa anakaugonjwa ka kupenda MAGARI ya kifahari kama ya Lusekelo na Gwajima hilo ndo tatizo
 
Rais yuko sawa punguzeni kelele tuone anakotupeleka,maana tulihitaji rais mwenye maamuzi,mwenue kusimama hadaharani na kukemea vitendo viovu vya kifisadi na ubadhilifu wa mali za umma,ndo anachokifanya leo,kelele za nini tulieni tumpe mda,haya aliyoyafanya kwa kipindi hiki kifupi hata mwaka haujaisha hastahili kupimwa na kubezwa,...
 
Huyu Sheikh ni mwendelezo wa tabia zile zile za Mwanzilishi wa Bakwata Adam Nasibu aliyeivunja EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY iliyokuwa na vision na kukubali kutumika kuwabambikizia waislamu Bakwata isiyo na vision!
 
Uhuru wa kutoa maoni ila hawa viongozi wa dini ni vyema wafanye yao na waachane na siasa.
 
Huyu shekhee au shehena saydinah umar hawez fanana na ------ni mashariki na magharibi
 
" kul-haq walaukana murrah" Sema kweli ijapokuwa inauma. Aliweza kuingiaje msikitini tena wakati wa sala ya alfajir akapata nafasi kuyafanya hayo aluoyafaya. Huyu alikuwa mtumwa na nyakati zile mtumwa hufuata dini ya bwana wake au kichwa chake halali yake!Mimi si Bakwata, sipindishi mambo kwa kujifurahisha
Umeongea haakih ila hapo kwenye bkwata tu umeharibu.tuache makundi wakuu
 
Hadi mashehe sasa wamekuwa walopokaji.mtu anaongea kisha ndo anafikiria
 
Dah Omar kweli? sasa haya matumbo yamezidi njaa
 
Subhannallah! Leo hii Swahaba wa Mwenyezi anafananishwa na mnaswara!? Uko wapi uadilifu wa masheikh wetu wa enzi zile za akina Harun Ibn Rashid? Mbona tamaa ya matumbo yetu kuliko dini ya Allah?
sema astaghafirullah
ila usihuzunishwe na kauli za munafikuna mana AL HAD nikizazi cha ABDALAH BIN SALUN huyu ni uchafu ktk taswira ya uislam wa tanzania anaidhalilisha dini ya ALLAH kila apitapo kesha ingiza misa chunguzima katika makanisa meng tu hapo mjini waislamu tusimame kupambana na shekh huyu bandia anayeutukanisha uisilam midomon mwa makaf ziko taarifa zisizo rasmi kuwa AL HAAD ni mfanyakazi wa TISS kitengo cha kiislamu hivyo tumwombeni atekeleze majukumu yake bila kuidhalilisha din ya ALLAH la sivyo mungu mwenyewe atapambana naye
 
Back
Top Bottom