PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Shehe ubwabwa go and check the archives jinsi Mkapa na Magufuli walivyosemwa ilhali hawakuwa wauaji kiwango cha Samia, hawakuiba kama Samia, hawakunufaisha familia zao kama Samia na hawakuwahi kutuma polisi kufanya massacre live kama anavyofanya Samia.
Yaani aachiwe aue tu kwa kuwa ni Muislamu? How did this fool become a religious leader?
Mkapa alisemwa wapi muongo wewe,na aliua msikitini,funga wahadhiri wa kiislam,piga sana maandamano Yao,ua wapemba hadi wakaenda ukimbizini, *** gani mwenye joho na govi alitoa waraka?
 
Sheikh Rusaganya amehoji kwa nini kila mara Rais anapokuwa Muislamu, maneno na matamko mengi huibuka.
Huyo shekhe atakuwa hana kumbukumbu.

Kipindi cha JPM kulikuwa na matamko mengi hadi baadhi ya maaskofu wakaambiwa siyo raia wa Tanzania, mfano: Kakobe, Severin Niwemugizi, nk.

Askofu Gwajima akasukumwa ndani na kupimwa mkojo.

Na kuna Askofu mwingine alihama nchi sababu ya msako kwa maagizo ya JPM.

TAL ambaye ni mkatoliki mwenzake alinusurika kifo kwa kupigwa risasi kibao.

Utekaji na mauaji yalifanywa kwa wote ingawa siyo kwa kiwango kikubwa sana kama hiyo kufuru ya Sa100.
 
Mkapa alisemwa wapi muongo wewe,na aliua msikitini,funga wahadhiri wa kiislam,piga sana maandamano Yao,ua wapemba hadi wakaenda ukimbizini, *** gani mwenye joho na govi alitoa waraka?
Kama ni mtoto wa juzi huwezi kujua lolote, kiongozi ambaye hakupata kashkash nyingi za makanisa(ukitoka awamu mbili za kwanza) ni Kikwete.
 
Watanganyika mkubali kwamba nyie ni washamba. Wazanzibari ndio waliokufundisheni ustaarabu.
Mlimfundisha nani ustaarabu nyie wabumunda mabichwa hahaha yaani hayo ma chogo yenu mbinjuko mje mtufundishe ustaarabu Wahehe na Wachaga acha kunywa urojo wenye pilipili unaharibu akili!
😁😁
 
hivi kuna raisi aliyewahi kusemwa, kutukanwa, kudhhalilishwa na mwishowe kufanyiwa umafia hapa tanzagiza kama Magufuli? je Magufuli likuwa muslim? ...
 
1762940146710.png
 
Kama ni mtoto wa juzi huwezi kujua lolote, kiongozi ambaye hakupata kashkash nyingi za makanisa(ukitoka awamu mbili za kwanza) ni Kikwete.
Yaani kikwete hakupata kashkash za kanisa, halafu unaniita mimi mtoto wa juzi,we kweli mbuzi!!.. kikwete anawajua vizuri hao wala Bure wadini,aliwafanyia jeuri hadi leo hawampendi, ndiyo unasikia wakibweka madhabahuni eti mtu kama umestaafu basi ukae mbali na mambo ya serikali
 
Lete hayo matamko/nyaraka za kichungaji/askofu za TEC


View: https://www.youtube.com/watch?v=R76EVJWY4f4

KITIMA hajawahi kubadilika...
 
Anajua kuwa rais ana kipindi maalum cha kuongoza, ndiyo maana kasema kila rais akiwa muislam maaskofu hugeuka wanasiasa

Hujui maiti zilikotupwa lakini bado unaamini na kutuaminisha zinatupwa

Alishika mkapa,akaua waislam msikitini mwembechai baada ya kanisa kulalama yesu anatukanwa,akaua pemba 2001 na kutengeneza wakimbizi mara ya kwanza,hapakua na tamko toka kanisani

Jaribuni kutembelea masheikh tuone


Ungekuwa na uwezo wa kufanya jambo ungeanza na waliomuua shehe sharifu majini.

Polisi wamemtembezea shaba na wewe hujafanya chochote mpka sasa.
 
Huyu poyoyo hafahamu nyaraka kali za TEC na KKKT wakati wa jiwe kukemea utawala wa jiwe?
Hajui kuna maaskofu hadi walinyang'anywa passport na jiwe?
 


View: https://www.youtube.com/watch?v=R76EVJWY4f4

KITIMA hajawahi kubadilika...

Lete la TEC,tena siyo moja,Lete matatu
 
Huyu poyoyo hafahamu nyaraka kali za TEC na KKKT wakati wa jiwe kukemea utawala wa jiwe?
Hajui kuna maaskofu hadi walinyang'anywa passport na jiwe?
Weka hapa hizo nyaraka Kali tuzione
 
Huyo sidhani kama ni shekhe halisia, atakuwa na mwrndawazimu fulani anayemtumimia shetani, lakini ameamua kujipachila ushekhe.

Tawala ambazo Kanisa halikuwahi kutoa waraka kushauri mambo yalipokuwa yanaenda vibaya ni utawala wa Nyerere na Mwinyi. Utawala wa Mwinyi ulifikia hatua ya hata kyiingiza Tanzania kwenye jumuia ya nchi za kiislam, OIC, lakini makanisa hayakutoa tamko dhidi ya hatua hiyo.

Tawala nyingine zote, bila ya kujali ziliendeshwa na mtu wa dini gani, mambo yalipoenda vibaya, makanisa yalitoa nyaraka za ushauri dhihi ya hayo mambo mabaya, lakini hawa wehu waraka ukitolewa wakati serikali inaongozwa na mkristo, wanakaa kimya ila akiwa muislam hata afanye uovu wa kiwango gani, hawataki aguswe!! Unafiki mkubwa.

Wanataka kugeuza uovu wa mtawala ni suala la kidini. Huyu bibi alipomwua Kibao, alipoua maelfuya watanzania, alifanya hivyo kama hitaji la uislam? Huyu ameua watu wa dini zote na makabila yote, lakini huyu ibilisi anataka amlinde kwa mwavuli wa udini.

Kila mtu mwema, awe muislam, mkristo au hana dini, ameumizwa sana na uharamia wa huyu bibi.
 
Back
Top Bottom