Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,310
- 4,206
Hadi lissu mkatoliki akalamba risasi za kutosha. Ben saa 8 mgalatia. Lema akaswekwa ndani.Sheikh ubwabwa inaonekana hana kumbukumbu. Jpm si mkatoliki mzuri lakin alikoselewa sana so does mkapa
akatafute facts kwanza