Sheikh Ponda yuko sahihi

waisilamu ni tatizo... wakiwa peke yao tatizo... wakiwa na wengine tatizo... yaani basi tu!
 
Si kweli kwamba Marekani kwenye sensa wanahesabu ufuasi wa dini. Hicho kifungu kinachotaja dini ya mtu sijawahi kukiona.

Jasusi, wewe ni raia wa Marekani? Umeishaukana uraia wa Tanzania?
 

ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.
 
Ukinieleza Wasukuma wa Shinyanga ningekuelewa kidogo. Na hata wao siku hizi wanajiunga na madhehebu mapya ya Kikiristo kwa kasi sana.
ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.
 
Huyu Ponda anafanya waislam kuwa mazuzu
 
ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.

Excellent observation. Kwa tabia zinazooneshwa na waislamu (japo mnajidai ni "wakorofi" wachache) ni heri wasio na dini. Asiye kinyume chetu yu upande wetu. Sasa hebu piga hiyo hesabu, tafuta jumla kuu halafu uniambie waTazania wasio waislamu ni asilimia ngapi? Halafu ndio mnataka kututawala kwa sharia mkijidai eti mko majority? Hebu mshindwe mchana kweupe.
 

Hapo Shehe Ponda atasema Mfumo Kristu[SUP]2[/SUP]
 
Ama kweli

Kuishi ni kujifunza.

Hivi hii sensa ni ya kujua idadi ya watanzania kwa misingi ya kupanga mikakati ya maendeleo au kujua dini (sio imani) za watu ?
Kama kuna viongozi wa dini yeyote wanataka kujua idadi ya wafuasi (sio waumini) wao sii wafanye sensa yao wenyewe kwa gharama zao ?
Kwa nini kudandia basi la watu wakati hujalipa nauli ?

Kwa hali iliyopo sasa na dalili ninazoziona sii busara kuweka hiki kipengele kwenye sensa ya sasa.
Je kikiwekwa na ikithibitisha wafuasi wa dini za kikristu ni zaidi ya 70% unadhani wakristu sii watapata rungu ? Hili suala tusiliangalie kwa macho ya kina ponda tuu, wapo kina kibwetere pia.

Hii imenikumbusha suala la ukabila, hapo nyuma kidogo nilikwenda kupata matibabu hospitali ya Aga khan, morogoro. Katika fomu ya kumuona daktari kulikuwa na kipengele cha kabila lako.
Iliniudhi sana, nikawaambia hii sii sawa, wakajitete eti ni fomu za zamani. Nikawaambia basi toeni fomu mpya, niko tayari kugharamia, hatimaye walibadili zile fomu.

Kwa ujumla haya masuala ya kibaguzi (hili suala la kulilia na kulialia kutaka kujua ufuasi wa dini ya mtu ni ubaguzi mbaya sana)ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu. Tuyapinge kwa kila hali.

Tumejifunza katika historia, na wapo walioshuudia yaliyotokea Zanzibar mara baadaya ya mapinduzi, 1964,
Hawa wote walikuwa wafuasi wa dini moja (almost). Jee, hizi dini tunazozipigania saana iliwasaidia vipi kuwaweka pamoja na kuepusha mauaji ? Tafakari !

Respect!
 
Kipengele cha ukabila ni muhimu, tuhakikishe kama ni kweli Wasukuma ni 20%, ili serikali iongeze huduma za uzazi wa mpango Usukumani.
 
Ukinieleza Wasukuma wa Shinyanga ningekuelewa kidogo. Na hata wao siku hizi wanajiunga na madhehebu mapya ya Kikiristo kwa kasi sana.

Wasukuma wakiamia mijini ndio wanafuata dini, Uslam au Ukiristo, nimekaa mikoa hiyo nafanya kazi ya Pamba, ngoja nikutajie maeneo ya Magu ambayo hakuna Uislam wala Ukiristo.

Badugu, Kabita, Ngasamo, Mwambanza, Lutale, Nyaluhange, Shigala, Igalukilo, Kitongo, Kabita..

Hii ni Magu tu peke yake sijakutajia vijiji vya Sengerema, Kwimba, Misungwi, Ukerewe.
 
Huu ni ujuha na upompompo,mie sijawahi kuona mahali popote criteria ya kupata kazi ni dini yako, sijawahi bebwa popote kwa kumuamini Kristo, hii ni roho ya mpinga Kristo at work. Pepo Shindwa in Jesus Precious Name
 

Umebadili tena takwimu zako mie nimekujibu naona unapotosha umma na hizo takwimu zako za kienyeji...hayo mengine ya ukorofi utajijua mwenyewe, mie nilikuwa naweka sawa post yako ya uzushi JF sio sehemu ya porojo.
 
Binafsi kipengele cha dini kiwekwe au kisiwekwe sioni tatizo. Ila anae taka kiwekwe lazima atoe sababu za kueleka ili watoa maamuzi wamuelewe vizuri. Humuimu wa kujua idadi ya waislamu na wakristo haupo katika kupanga maendeleo ya nchi usika ususa Tanzania maana si nchi ya kidini.
Waslamu wana weza kujua idadi yao kupitia kwenye maudhurio ya kwenye ibada kama wanavyo fanya wakristo. Kanisani kila ibada maumini wanahesabiwa na kutangaziwa maudhulio yao ktk ibada ijayo kwahyo ni raisi kujua idadi yao. Wale wasio sali hawapo kwenye ukristo wala uislam.
Kwahiyo maamuzi ya kuwepo au kutokuwepo kipengele cha dini binafsi naona sawa tu!
 
Shida hata elites wa kiislam siyo msaada hata kidogo ktk kuwasaidia wenzao. Dunia nzima ni wao tu wenye chokochoko. MUNGU WAO HUYO sidhani kam ni wa VURUGU. Hata wangekuwa ni wao kwa wao (waislam) bado wangetafuta source ya fujo tu ona Yemen, afghanistan, pakistan, bahrein, iran, morocco,etc.
 

hata bwana yesu alichapwa au hujui hivyo
 

hii ndio hatari yakuona bila kutumia akili
 
Tatizo wenzetu hawajiamini,hawataki kukubali kuwa walichelewa kusoma. Na kutokana na hilo hakuwezi kuwa na uwiano wa kidini kwenye ajira.

Wajiandae kupinga kuhesabiwa na kuandaa sensa yakwao.
 
Chonde chonde; msituharibie nchi...!! Haiwezekani kila siku lawama za udini...!! Pleaseee na wakristo pamoja na dini zingine wakianza kuongea hapa na kutoa analysis zao, itakuwa ni fujo tu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…