Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

mtoa mada huna akili timamu .. mie cjaona jambo baya la kwenda kumuona binadamu mwenzako ..
 
Na ndio maana nimemtaka Shekh ponda achague kitu kimoja
Unamjua sheikh panda au unamdhania tu? Unaijuua kamati inayodeal na waislam waliokamatwa kwa makosa ya kupigania dini? Unaijua nafasi ya sheikh ponda Katika kamati hiyo? Unaijua majukumu ya hii kamati? Au unalopoka tu, kilichotokea Jana lema ni maarufu na ndo maana media zimetangaza
 
Mshika mawili moja humpokonyoka, mimi ninachowaomba mumtafutie kadi ya chama ili tumfahamu vizuri
Sheikh ni Mwanasiasa dili, Chadema na Uislamu wapi na wapi? Sheikh anajua fuko la Edo bado limenona angalia Maalim anavyohaha Zenji hakukaliki
 
Wewe Acha zako hizo. Hata Musa alifanya siasa alipokwenda kuwakomboa wana wa Israeli kutoka misri. Mnachokiogopa ni nini? Soma "the guilty are always afraid " by JHChase
 
Pumbavu, Kwanini hukumwambia hivyo Magufuli alipomtembelea Pengo Muhimbili?
 
Mangu mwema. Imeandikwa katika chuo cha Mithali, nanukuu, "Yeye alipaye mabaya kwa mabaya, mabaya hayataondoka nyumbani kwake" mwisho wa kunukuu. Hivyo Sheikh Ponda si mtu wa hivyo (jino kwa jino), kwa maneno mengine haishi kwa sharia isipokuwa neema (injili)!
 
Natambua kama yeye mwana jamii ila mimi nimempa angalizo la kuchagua kimoja
Kwani siku zote mpanda farasi wawili mwisho hupasuka msamba
Hilo ni suala la jamii siyo farasi wawili,hawa wanao walipa kwa kuandika hizi threads ndio wanaokosea,Angekuwa kawatembelea majambazi fulani hilo usingekuwa na tatizo nalo.
 
Nilikuwa na mjomba yangu alikufa kwa ulevi wa Gongo alikuwa anaitwa Mtimbo cjui ndo huyu mleta mada
 
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako
Kwanza usipotoshe katik uislamu hakuna mchungaji kondoo wala mbuzi. Umuombe radhi Sheikh Ponda.
Pili unakerwa na jitihada anazofanya Shikh Ponda kulrta upendo na mtengemano basi apongezwe kwa kuibadili sura ya siasa Tanzania
Tatu, kama kweli unakerwa na Kuchanganya siasa na dini ungekerwa pia na tabia ya TEC na uzushi wanaosambaza kila kukicha za kuonesha udini na walivyoitawala siasa za nchi. Au kanisa ndio lina hati miliki ya kila jambo Tanzania?
 
Charity begins at home!
Kati ya Lema na wale mashekh wa Zanzibar wanaoshikiliwa na mahabusu hadi leo yupi alistahili kufarijiwa kwanza!?

Kwa mfano huo tu utaona Ponda ni mwanasiasa anaetumia dini
Mtimbo ponda kaenda mara nyingi kuwaangalia wafungwa labda hujui kwakuwa haindikwi magezitini,mimi nasali nae kichangani magomen yupo verry concerned na wafungwa wote walio magerezani km dini inavyotufundisha.
 
Moderators with all respect please! Hii mada inajitegemea acheni kuinganisha.

Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Sisi wakristo huwa hatuna mtizamo huo wa visasi!

Sheikh Ponda kajitambua na akupuuze kama kama wapuuzi wengine!
 
Na ndio maana nimemtaka Shekh ponda achague kitu kimoja
Maneno haya ulimwambia na GWAJIMA alipoenda SHEIKH AMRI ABEID 2015? Bungeni kuna MCH. MSIGWA, vipi MAMA LWAKATARE uliwahi kumshauri?
 
Moderators with all respect please! Hii mada inajitegemea acheni kuinganisha.

Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW

Nanukuu kwa nguli wa Fizikia Albert Einstein.

Shirikisha akili vema uandae rejeo usiharibu kwa kutoandaa akili vema ukafika mbali.

Mkuu sheikh Ponda ni mtanzania ni kiongozi wa kiroho ni dhambi gani ametenda kumtembelea mtu gerezani kumpa matumaini?

Ni kosa gani kwa sheria za jmt unadhani amekiuka?

Una chuki na Lema?

Kwa Imani yako ni dhambi kumtembelea mtu kumpa faraja?

Una chuki na sheikh ponda?

Unatumika vibaya ama kama ni uwezo wako wa kufikiri jitathimini upya.
 
Back
Top Bottom