Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW

akisema hataki Dini wala Siasa ila anakutaka wewe, je utakubali kwenda kushika mwiko na ungo?
 
Yaani ameandika ujinga sana, kwahiyo umeumia sana au? Eti chagua kimoja siasa au dini, kwahiyo wewe huna dini, au umechagua nini kati ya hivyo?
 
Mtimbo,Ponda ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wewe kwa madudu ulioandika hapo muache kabisa huyo mambo mengi yaliyokua yanafanya na Viongozi wa Bakwata kujinufaisha wao na familia zao tuu kwa Mali za Waislamu huyo ndio alikuja kutoa mwanga na mengine mengi tuu...
 
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Mtimbo,
Kuhusu Sheikh Ponda kujihusisha na siasa.
Uhuru wa Tanganyika umepiganiwa kwa kiasi kikubwa na masheikh.

Inawezekana hujui vipi TANU iliundwa na kujengwa hadi uhuru wa
Tanganyika ukapatikana mwaka wa 1961.

Katika Tanganyika African Association (TAA) ambayo ndiyo iliyokuja
kuwa TANU mwaka wa 1954 kulikuwa na kamati inaitwa TAA - Political
Subcommiittee.

Ndani ya hiyo kamati kulikuwa na masheikh wawili.

Sheikh Hassan bin Amir ambae ndiye alikuwa Mufti wa Tanganyika
na Sheikh Said Chaurembo aliyekuwa Liwali katika Mahakama ya
mwanzo Kariakoo, Dar es Salaam.

Wajumbe wengine katika kamati hii walikuwa: Abdul Sykes, Dr.
Vedasto Kyaruzi, Hamza Mwapachu, Stephen Mhando
na John
Rupia
.

Kamati hii iliundwa mwaka wa 1950 na ndiyo iliyokuja kuunda TANU
1954.

TANU ilipoundwa ndani yake kulikuwa na Baraza la Wazee wa TANU na
baraza hili lilikuwa na masheikh wengi sana na maarufu sana ni Sheikh
Muhammad Ramia, Sheikh Issa Nasir, Sheikh Suleiman Takadir,
Sheikh Haidar Mwinyimvua
kuwataja wachache.

Mwekahazina wa kwanza wa TANU alikuwa Sheikh Idd Faiz Mafungo
na huyu ndiye alikuwa mratibu wa safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere
UNO 1955.

Hawa masheikh wote walikuwa wanasiasa na wapigania uhuru.

Ningeweza kukupa mifano lukuki Tanga ambako kulikuwa na masheikh
wengikatika TANU maarufu akiwa Sheikh Abdallah Rashid Sembe na
Lindi kulikuwa na Sheikh Muhammad Yusuf Badi,

Sheikh Hassan bin Amir alikuwa akiuza kadi za TANU msikitini.
Hakuna aliyesimama kuwaambia masheikh hawa wachague dini au siasa.

Hii Wanamajlis ndiyo historia ya nchi yetu.

Mtimbo,
Umegusia kuhusu mali za Waislam na BAKWATA.
Unaweza kusoma hayo hapa chini:
Mohamed Said: HISTORIA YA EAMWS NA JINSI KABIDHI WASII ALIVYOKABIDHI MALI ZA WAISLAM KWA BAKWATA 1968

glkuKdMqQIGJgfCUVksnWtP3cnoHvt01A_ubveEas2ObaKjwgwbwnJLSsy7AC1y--u309stzYE0tM0ZSPeLjk-gG_1fjc11nOWO1acDoswsiu3ALlECYhQRepTh4QaJMNM18fVG4Vw5B0TEm52CGmiTyFgxEKyQBzzwDxh1vsgKrjeIoffzFk_rk5OOvxR1R4Gz4kgwADi100ZUijjqNoCDV4C2p4izNE5OUYPmg74A9ARMqHquEYRe1507UiShg2xXv41w-8CFRkf25X3W1PEf79TjCBvXdpD1LOXGntzYr1XTdZzSuGaDZyvLrU7Pxl-YdV3d86L2TnekWtu-DvAm7FeFrTZVuipmBi7T7Klv2H5Y3ReQZY_9hvztoVdZE4AN4c58GVnEm93LCQOBxoVXVMCRNEd-1KcvVgMoG8JfDr1bfnyV2ZqTSFvkudpuvIFirwB12xK4D-ZSsWg2ER0k3Ik0zrXcNtBgsTx9kP5q5gMDXim04TQs9ho9EyWNuNFDRsQkucVE8Pmgdu4jXUY3ojabqi8VYqqSOBwgYzaPBk5cEx7Fhhg6k1S1Dns4mRutwYJNjDxU3POo8RUxgyzial18qoBycSLK4lmN8739sRlgW77VjbQ=w949-h593-no

zSqGQhBbhJpIsz8WeY9NVT8tu18sgm39YWITFxc-FeQXASZVkUxocxaDjEPQ7Jj_5BuPUaVhN8A-4SFkkF3UmEhbjL2uWefd6_r9aiNq2eCPQR22VZ2ivRACf_j-5OubVAcjoO8jkx96l9fIRbeQiT5Lasp8dPysWtGIcvLt_L4MnPPDVOGHbo1ri0RgKU__QfhlKWIKzRYpRLQctE-aAT6REymeZXMoXgKcLbOiVySV7DvxRk3ZX8C3EqxgwbJkvB0Dv-HhCBtTnfzvDLxGhJfZElQC1vGBR-lbOSDer0hueELLP2zwNH10DyfWBGkkUiUrAgx7dVOxUXIx3jui64mh5nhc1YNxGCcV81v8uIZ4iPiEl3v3ENzQMuWR917QWZOHqC1TLaG3mVcoMLKIqqFfIY5yNLt7uiveVVdYCNM52IgrkFx1X5wiQNB1dygfjGTIvVlhufk-6A4SCP4EQ_jU-F-yht4vdD9GsxZK3l2Www4ie4ZMFfFvWq8ZMJ9UXUwJam3AHhbCvU3Px7xHEhZmSumwM9kn4sRGpOTQPyAoTgKg8UjAIE2_p9nBDJdXT2pUVHv68fnTa4QQbsaQRV_n5VskW9p-pdVeMcO6lJ3YCkzHR2ho=w791-h593-no
 
Ana Uhuru wa kufanya atakalo kwani viongozi wa dini wasiokemea uvunjwaji wa haki wako upande gani siasa au dini?
Alienda kumwona Gobless Lema siyo kumwona mbunge wa Arusha Mjini, CHADEMA. Bila shaka mleta uzi ana hangover ya mgogoro ndani ya CUF
 
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Mods!!! Haya ndo yanachochea udini haya kwanini msiwe na moyo wa kupendana??? Mbona uislam na ukristo ni dini tu hizo lakini sisi ni ndg kabisa

N.b ukiendelea ivo hutakaa ufanikiwe kwa sabab ya udini wakinga ulionao
 
Mshika mawili moja humpokonyoka, mimi ninachowaomba mumtafutie kadi ya chama ili tumfahamu vizuri

Hapa hamjamfahamu vizuri anaipata fresh. Je mkijua kuwa ni mwana-UKAWA si ndiyo itakuwa nongwa.
By the way, hakuna raia hasiyekuwa mwanasiasa. Acheni propaganda mandazi.
 
Kwa hili la Shekhe Ponda kwenda kumuona Lema gerezani Mimi naona ni jambo jema sana tena lenye kumpendeza Mungu na Wanadamu! Binafsi nampongeza sana Kwa hilo na InshaAllah Mwenyezi Mungu at ampatia thawabu kubwa! Tuache chuki haijengi , mwenzio anapofanya jambo jema Na la kiungwana usimtie ila asokuwa nayo! Tujifunze kupendana bila kujali chochote kile! Unapoona binadamu mwenzio mpende Kwa kufanya hivyo unampenda Na Yule aliyemuumba ambae ni Mwenye Enzi Mungu!
 
Ni haki yake. Naamini anajua wanachokifanya. Angalia mulivyoshuhulika.
 
Dini inaenda sambamba na siasa, huwezi kutofautisha dini na siasa kamwe, kwahiyo shekh ponda yupo sahihi kabisa, huo ndiyo uislamu sahihi.
 
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Kavunja sheria gani?
 
Tatizo la vijana wa bavicha ni propaganda ,sheikh ponda amejijengea Tabia ya kwenda kuwaangalia masheikh wenzake na wahanga wa kesi za ugaidi,uwa anakwenda mara kwa mara gereza la keko,ukonga na segerea,
Na huko Arusha kuna sheikh wetu mwanaharakati wa kiislam imam wa msikiti mkubwa wa Arusha mjini anaitwa maarufu imam ambari ambae alikuwa anawahamasisha vijana wa kiislam pale Arusha wafanye mazoezi ya karate msikitini,huyu sheikh amekamatwa yupo hapo maabusu Arusha kwa kesi ya ugaidi kwa maana hiyo sheikh ponda alikwenda pale kuwajulia hali ndugu zake katika iman,sasa hawa bavicha wamepiga nae picha sheikh wetu na kuanza kueneza propaganda humu...
 
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
ebu tutafautishie kati ya siasa na dini. yaani mtu wa dini siasa haimuhusu au
 
lkn hata mtume aliwatembelea adui zake....dini inatufundisha huruma na mapenzi
 
Back
Top Bottom