Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

Wakati ponda akiwa segerea alikuwa chumba kimoja na lwakatare na lwakatare akiwahi kwenda kumtembelea ponda. Na mpka akafikia kusema kuwa ponda ni mtu mwema kabisa. Jiulize lwakatare yule mbunge wa Bukoba ni nani? Ponda anajua tafasiri ya ndoto ndo maana anajua jamaa anaonewa kaenda kumjulia hali
 
Natambua kama yeye mwana jamii ila mimi nimempa angalizo la kuchagua kimoja
Kwani siku zote mpanda farasi wawili mwisho hupasuka msamba
Ficha upumbavu wako. Mungu anasema nilikuwa mfungwa ukaja nikutembelea, nilikuwa uchi ukanivisha nguo, nilikuwa na njaa ukanishibisha. Mungu hapendi ujinga kama huo wa kwako kiongozi wa dini ni kiongozi wa jamii pia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mshika mawili moja humpokonyoka, mimi ninachowaomba mumtafutie kadi ya chama ili tumfahamu vizuri

Kuna uwezekano mkubwa kuwa huna hata uelewa wa hiki ulichokiwasilisha....!!

Nimesoma andiko, nimesoma michango ya wana forum na kugundua kuwa umeshindwa kutetea hoja yako kwa sbb hiyo hapo juu!!

Je, si kwamba wewe una tatizo binafsi na Godbless Lema labda na sasa unapitia kwa mlango wa huyu bwana "kuchanganya dini na siasa?"

Sema tatizo ulilonalo, achana na hili!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole Sana mleta mada, sijui Kama wewe ndo umeumia au unawakirisha maumivu ya mtu mwingine! Vumilia......
Kipindi yupo Gerezani sikuona ukija hapa Na kutambua mchango wake, ila Leo ndo unaleta Unafiki wako hapa..!
 
Na ndio maana nimemtaka Shekh ponda achague kitu kimoja
Mtimbo unawabaguwa WaTz hiyo ni dhambi ambayo itakutafuna mpaka kaburini mwako.

Yanayompata Lema leo yeyote anayeyashabikia ana mapungufu ya hekima no matter your are CCM or UKAWA

Tz ni yetu sote tutendeane mema bila kujali hizi ghasia za vyama
 
Yani fala linajipambanua kwa kuandika pumba ndeefu. Shwain
 
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW

Kwa mtu makini hatatofautisha siasa na dini wala chochote kingine. Kwa kifupi siasa ni kila kitu. Dini yaweza kuwa njia nzuri ya kufanya siasa!! Big up Ponda!! usikatishwe tamaa na social maggots!

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

No serikali kutimiza kazi yake ya kawaida haiwezi kuwa kigezo cha kunyamazisha wanaharakati. Haki huwa inavunjwa wakati ikitekelezwa Beware Ponda yuko makini.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Wewe si muumini wa dini yoyote ile ama sivyo usingeanza kulinganisha aliyofanyiwa Ponda na anavyotakiwa kufanya sasa. Wewe ni mtu wa visasi na kiburi kama mtawala uliyempeleka magogoni kwa kuiba kura.
Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Wewe ni mzee wa visasi kama wakubwa zako! Huo ushetani unaojaribu kumjengea Ponda huko hayuko peleka magogoni kwa yule aliyesema eti mkono ambao haukupokelewa kwenye salam hautatoa haki!! Rubbish
Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.
Wewe ni shetani!! huchangamani na wastaarabu kama Ponda

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Wewe ni kilaza haswa na huwezi kumdanganya PONDA kwa huu utumbo!! Dini na Siasa ni kitu kimoja kwa ajili ya maisha ya mwanadamu!! Ponda Go Ahead!! we are in this together
Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.
Again you are failure with your damn evil plans!! And please do not underrate Ponda with your myopic thinking or simply evil.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

Mohamed was a politician and so Jesus they were all uprising fighting for the marginalised. It is only the boot lickers of oppressors who will use such a stupid conviction.

AAWW[/QUOTE]
 
Wewe nimbaguzi sana yani unapenda ccm ndio watembelewe hila wengine nitatizo.mbona mkuu wakaya alimtembelea mzee wa upako nayo niudini?
 
Charity begins at home!
Kati ya Lema na wale mashekh wa Zanzibar wanaoshikiliwa na mahabusu hadi leo yupi alistahili kufarijiwa kwanza!?

Kwa mfano huo tu utaona Ponda ni mwanasiasa anaetumia dini
Sheikh kawaona masheikh wenzake wa uamsho na jana alienda kuwaona akina imam hambal

Akamuona na bwana lema wala si jambo baya kwa kanuni za dini ya kiislamu
 
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Hujui hata dini maana yake nini, siasa na dini nitofauti usilipe kisasi unashauri kutokujua unaona ISIS ndy uyafurahiayo
 
Naomba nami nisaidiwe,

Inakuwaje viongozi wa kisiasa (Serikali) wanapowaomba viongozi wa dini wawahamasishe waumini wao kutunza amani ya nchi.
Hapo ni dini na siasa au viongozi wa dini wanavua dini kwanza wanauvaa uanasiasa kuwaendea waumini wao kuwahamasisha walinde amani ya nchi?

Na hawa waumini wenyewe vipi wanapohamasishwa wanakuwa hawana dini kwa wakati huo, wamebakiwa na siasa tu?

Ni vyema mtoa mada ukanisaidia kidogo.

Maana, naona hoja ya mtoa mada na wenzake kama imetapikwa tu haina tena hadhi ya kuliwa.
 
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Sasa umeandika nini mbona unataka kuleta udini hapa?kwani dhambi kumtembelea Lema?next time usituletee uzi wa hovyo kama huu.
 
Na ndio maana nimemtaka Shekh ponda achague kitu kimoja

Sikuwahi kujua kama wewe jamaa ni kyuuuma kiasi hiki. Madaraka ndo yanakufanaya uteletee siasa zako za kipuuzi. Unalinda madaraka kwa kuwapangia watu wamtembelee nani. Sengerema mkubwa wewe.
 
Kwani umewahi kumuona ponda akisalisha? Au akiongoza sala
Ponda ni mwanaharakati wa haki za raia wa kiislam. Mtambue hivyo
 
Huwa najiuliza unakuwaje member JF na uwezo wako wa ku-reason ni mdogo namna hii
 
Back
Top Bottom