Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Kuna kipi cha kujadili mkuu 'Chief'.Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?
Watu kama hawa mpaka wafe ndio jamii inawapa sifa , this man is underated.Huyu Mwamba Namkubali sana ni kichwa hasa kweli sio muoga wala sio mnafiki. Naamini watu wanaoteseka kwa kuisaka haki duniani watakuwa na utulivu mbinguni.
Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?
Umefikiri Kwa ufinyu Sana,, soma waraka wake vizuri,,,Anazo hoja za msingi na inavyo onekana sio zake BINAFSI na za kikundi kikubwa ingetumika akili Ku deal nae na sio. mabavu!... sasa Jeshi la POLISI linapanda chuki ,,likiamini linaweka HOFU Kwa wahusika!..lakini pia kaomba Tume huru ,,na katiba mpya,,kwangu Mimi ,Nikiweka udini pembeni ANAZO HOJA za msingi,,ajibiwe Kwa hoja Sio mabunduki,,AMANI ITAONDOLEWA NA WENYE ZAMANA YA KUITUNZA,,,Kumbuka maandishi hutengeneza imani na imani ikilenga utengano huzaa vita na machukizo kwa wale wenye ile imani kuchukia imani nyingine,nchi yetu haina hayo na ni sumu kubwa. Huyo msimtetee, serikali ama sheria inajua sana kupita mfikiriavyo ninyi,na kama wamempeleleza na kugundua madhara ya kiusalama kwake ana bahati mimi sijawa jaji na ningekua jaji angekua na bahati iwapo nisingeamua kesi yake,ningemgonga mvua kama 300..kwa nini nasema hivyo,akizua vita vya kidini chukulia wewe ndo mwenye dini hiyo na vita wakawa wanashinda wale wale wa dini nyingine,wakakufikia na wewe unaetia imani hiyo ukiwa na watoto wako unaowapenda sana na mkeo,na wale wa imani nyingine wakaanza kukumaliza mmoja baada ya mwingine ktk familia yako mbele ya macho yako kama kipindi cha Rwanda na mauaji ya kimbari,unaweza ona nikwambiacho ni cha kipuuzi ila utaona ni upuuzi kwa kua hayajakufika, acheni sheria iamue kulingana na kosa lake,acheni midomo na ushenzi.
Mmmmmmhmn ila kama sasa analeta hiyo picha hapo atakuwa anamakosa kwasababu hapo nikuwajengea raia picha ya udini of which inaweza kuwa sio motive behind hizo teuzi.Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?
Hebu tupe ufafanuzi wa haki anazozitafuta ambazo wengine tunapata shida kuzitambua au kuzielewaHuyu Mwamba Namkubali sana ni kichwa hasa kweli sio muoga wala sio mnafiki. Naamini watu wanaoteseka kwa kuisaka haki duniani watakuwa na utulivu mbinguni.
Hivi mnadhani katiba mpya ndo itafanya nchi kua ya maziwa na asali?inaweza kua katiba mpya na mwisho wa siku ukajuta tu! lazima tutumie hekima na si kila asikiacho mtu akilini mwake,ninaamini hata wanaomzuia wana cha msingi zaidi na si wajingaUmefikiri Kwa ufinyu Sana,, soma waraka wake vizuri,,,Anazo hoja za msingi na inavyo onekana sio zake BINAFSI na za kikundi kikubwa ingetumika akili Ku deal nae na sio. mabavu!... sasa Jeshi la POLISI linapanda chuki ,,likiamini linaweka HOFU Kwa wahusika!..lakini pia kaomba Tume huru ,,na katiba mpya,,kwangu Mimi ,Nikiweka udini pembeni ANAZO HOJA za msingi,,ajibiwe Kwa hoja Sio mabunduki,,AMANI ITAONDOLEWA NA WENYE ZAMANA YA KUITUNZA,,,
Katika hali ya kawaida kama anatetea masilahi ya dini hatakiwi kuleta hivyo vitu katika public media kumbuka hili taifa sio la katiba ya kidini so obviously utaleta picha mbaya.Umefikiri Kwa ufinyu Sana,, soma waraka wake vizuri,,,Anazo hoja za msingi na inavyo onekana sio zake BINAFSI na za kikundi kikubwa ingetumika akili Ku deal nae na sio. mabavu!... sasa Jeshi la POLISI linapanda chuki ,,likiamini linaweka HOFU Kwa wahusika!..lakini pia kaomba Tume huru ,,na katiba mpya,,kwangu Mimi ,Nikiweka udini pembeni ANAZO HOJA za msingi,,ajibiwe Kwa hoja Sio mabunduki,,AMANI ITAONDOLEWA NA WENYE ZAMANA YA KUITUNZA,,,
Ujinga ni kuamini wapo katika mateso kwasababu ya dini wakati maisha haya tunapitia sote.... Wote tunapata shida. Ingekuwa kila siku raia wanaoajiriwa kigezo kimojawapo nii dini mimi ningeungana mkono na huyu sheikh ila shida ni akishakula magimbi na uji wa ulezi anaanza kutuletea mashikolo magembe....Hivi mnadhani katiba mpya ndo itafanya nchi kua ya maziwa na asali?inaweza kua katiba mpya na mwisho wa siku ukajuta tu! lazima tutumie hekima na si kila asikiacho mtu akilini mwake,ninaamini hata wanaomzuia wana cha msingi zaidi na si wajinga
Unafikiri kukasirika au kujaa na ghadhabu kunaweza kubadirisha uhalisia? Unaweza dhani unajua na hujui,huoni huo ninaina ya upuuziUjinga ni kuamini wapo katika mateso kwasababu ya dini wakati maisha haya tunapitia sote.... Wote tunapata shida. Ingekuwa kila siku raia wanaoajiriwa kigezo kimojawapo nii dini mimi ningeungana mkono na huyu sheikh ila shida ni akishakula magimbi na uji wa ulezi anaanza kutuletea mashikolo magembe....
Sawa Mkuu,, Ila huo waraka Una hoja nyingi nzito,, mbali na issue za Dini,,, kuna issue ya katiba mpya,,Kuna issue ya Time huru,,Haya Kama unaona mbali ni muhimu sana,, Ila pia Nazungumzia habari za kutekana tekana tena kakupa mifano Hai!..Katika hali ya kawaida kama anatetea masilahi ya dini hatakiwi kuleta hivyo vitu katika public media kumbuka hili taifa sio la katiba ya kidini so obviously utaleta picha mbaya.
Yeye kama anachangamoto za kidini anatakiwa akaziaddress kwa namna nyingine katika platforms zingine huko kama kwenye mihadhara na shughuli za kiimani ila sio kwenye platform za kitaifa.
Kujadili maswala ya kidini kwenye taifa kama Tanzania ni sawa kama kuwajadili maX wako na wa mke wako katika mazungumzo vitu ambavyo mlifanya nao...... Mtakorofishana.