Sheikh Ponda anyimwa Dhamana, kisa Waraka. Hivi Kuandika Waraka kwa Sheria za Tanzania ni Kosa?

Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,785
2,000
Anahisi taasisi za kiserikali ni madrassa fala sana yule....
Mjinga yule hudhani dola inamuogopa, hawezi kukamatwa kwa kuwa yeye ni shehe, & nyuma yake ana mamia ya waislamu (serikali ita waogopa waislamu)....very foolish mind set
 

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,214
2,000
Nashauri selikali imshughukikie huyo mtu bila kumuangalia usoni. Yani anataka uteuzi wa kuangalia dini na siyo taaluma?


Quite the contrary.

Waraka unatuasa tusichague chama au kiongozi kutoka chama chenye sifa, historia au taathira ya kidini ama kikabila.

Ambavyo sio siri, tunajua ni CUF (kina sifa kuwa cha Kiislam) CHADEMA (kinalalamikiwa kuwa na taathira ya Uchagga) , ACT Wazalendo ( kinasemwa kimetohoa Uislam wa CUF)...

Kwa hiyo binafsi nimemsifu Sheikh Ponda, ambae ana sifa mbaya ya kuonekana ni extremist cleric, mwanadini mdini, au islamist agitator, mchochezi wa Kiislam, sikutegemea Ponda, of all the people, avipige vita vyama kama CUF na ACT Wazalendo...

Ndio maana namuunga mkono kwa hili..
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,085
2,000
Mwache akae huko alikuwa anaandika waraka kama nani? Serikali ina habari zaidi ya huo waraka muda utasema, kama kuna Vimburukenge vinafikiri Serikali imelala totoro ni wakati wa kupanga upya mikakati yao ya kipumbavu. Hatuhitaji mambo ya Kibiti kujirudia, tupo pazuri kuangalia keki ya Taifa kila Mtanzania ni lazima aifaidi sio mlevi wa konyagi peke yake na genge lake la wahuni ambao wanafikiri Tanzania iliota kama uyoga.
 

schoolboy

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
1,366
2,000
Muda mwimgine kushikiliwa na kuwekwa sero kunaweza kuwa na faida na kulinda usalama wako
 

Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,944
2,000
Mwache akae huko alikuwa anaandika waraka kama nani? Serikali ina habari zaidi ya huo waraka muda utasema, kama kuna Vimburukenge vinafikiri Serikali imelala totoro ni wakati wa kupanga upya mikakati yao ya kipumbavu. Hatuhitaji mambo ya Kibiti kujirudia, tupo pazuri kuangalia keki ya Taifa kila Mtanzania ni lazima aifaidi sio mlevi wa konyagi peke yake na genge lake la wahuni ambao wanafikiri Tanzania iliota kama uyoga.
Uonevu sema sababu Hana chapa
 

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,349
2,000
Mbona wengi wanaongelea masuala ya udini na hawakamatwi ,wakina gwajima waliongea sana kisa tu CAG kuteuliwa muislamu ,M/mungu atawanyoosha wanaojifanya miungu watu Inshaa Allah
 

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,282
2,000
Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?
Hata wabunge waliambiwa... "...ukishamtoa huko ndani sisi tutamshughulikia huku nje!!"
Haya yanayoendelea ni mbegu tuliyopanda hivyo inapaliliwa tusubiri mavuno!!
Eeeh Mungu Mwenyezi tunusuru waja wako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom