Sheikh Ponda amua moja ueleweke!

Sheikh Ponda amua moja ueleweke!

Mkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan

Naomba kufahamishwa, hivi kuwa MCHUNGAJI ni lazima uwe na kanisa? maana kuna Nyanja nyingine wapo wanaojiita MAPROFESA kama Maji marefu, DR. Remmy (rip) wakati hawajasomea kwenye vyuo vinavyo tambulika,hili la WACHUNGAJI na MAASKOFU liko vipi?
 
Pale Mtanzania aliyepewa akili na Mungu akashangaa Ponda kuzungumzia maswala yanayoigusa jamii na kumuona kakengeuka lakini kwa kutumia akili hizohizo anashangilia kumuona Mama Rwakatare akitokwa na povu kuitetea CCM, na hata pale anapomsikia Pengo akijaribu kuwa msemaji wa serikali ni sawa tu ila Ponda...........
Kwani ukiishabikia ccm huruhusiwi kufikiri kwa uhuru mpaka uongozwe na fikra za chama?
 
Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu

Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.

Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.

Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama

Ponda umevalishwa mkenge!

Siasa mpaka 2020!
Mleta mada itakuwa ulikimbia umande, hivi had hujui kuwa hata Martin Luther alikuwa ni askofu lakini ni miongoni mwa watu waliokuluwa wanapigania haki za watu weusi USA...
 
Prof Safari ni wakili wa Mahakama Kuu (hence na mahakama zingine zote) na ana kesi zaidi ya 20 kwa sasa anazisimamia na kabla ya hizo kashasimamia kesi zaidi ya 50. Je, zote ni za wanaCHADEMA? Prof Safari sio wakili wa CHADEMA bali ni wakili wa kujitegemea. Waliopaza sauti zao juu ya dhulma kwa Lissu ni watu wa makundi mbalimbali ikiwemo ya kidini, kijamii na kisiasa kutoka ndani na nje ya nchi. Ponda ni mtanzania kama Lisu. Ponda ni mpenda haki. Kama wewe haupo kwenye hayo makundi mawili (utanzania na kupenda haki) basi nyamaza waache wapenda haki kwa utanzania wao wapaze sauti
 
Mtoa mada hauna hoja, Abdallah Safari kama wakili ana haki ya kumtetea mteja yeyote bila kujali itikadi za kisiasa.

Pili, elewa kuwa MTU yeyote ana haki ya kutoa kauli yoyote yenye maudhui ya kisiasa bila kujali nafasi take ktk jamii na akawa hajavunja sheria.

Tatizo la watu sampuli yako ni kuwa na ile tabia ya kukariri pasipo kuelewa, mnafikiri kiongozi wa kidini yeye 24/7 kazi yake ni kuongea tu neno la Mungu na hata serikali inapofanya kinyume wakae tu kimya. Huo ni ufinyu wa fikra.
 
Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu

Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.

Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.

Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama

Ponda umevalishwa mkenge!

Siasa mpaka 2020!

Kilichokuhudhi ni kitu gani? kama Ponda angemsifia malaika anayependa mashatani ungefurahi hadi mwisho. acheni roho ya mapepo
 
Prof Safari ni wakili wa Mahakama Kuu (hence na mahakama zingine zote) na ana kesi zaidi ya 20 kwa sasa anazisimamia na kabla ya hizo kashasimamia kesi zaidi ya 50. Je, zote ni za wanaCHADEMA? Prof Safari sio wakili wa CHADEMA bali ni wakili wa kujitegemea. Waliopaza sauti zao juu ya dhulma kwa Lissu ni watu wa makundi mbalimbali ikiwemo ya kidini, kijamii na kisiasa kutoka ndani na nje ya nchi. Ponda ni mtanzania kama Lisu. Ponda ni mpenda haki. Kama wewe haupo kwenye hayo makundi mawili (utanzania na kupenda haki) basi nyamaza waache wapenda haki kwa utanzania wao wapaze sauti
 
Attachments

Kwani ponda ana kadi ya cdm... mnataka viongozi wa dini kama walle wa bakwata eti? Wanaosema ukweli wapinzani eti
 
Kitu kikubwa nampendea Magufuli nisababu moja tu....kila mtu hafulukuti wakina JK ,Mkapa,Makamba 1&2, Membe n.k waoga wapo kimya ...hutu tuvijana twa mitandaoni tukajilazimisha kumushabikia tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom