Michael Anthon
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 219
- 110
Ataliamsha dude yule si unajuaga anapendaga kiki!Swali hiki umeishamuuliza Gwajima.....?
Ataliamsha dude yule si unajuaga anapendaga kiki!Swali hiki umeishamuuliza Gwajima.....?
Kipara...Aksante sana mkongwe mohamedi saidi kwa mchango wako hoja yangu ipo hapa ndio maana nimesema wasije wakampa kesi ya udini kwa maana ya kuambiwa ni gaidi,ila achukuliwe kama mwanasiasa maana ukiwa mwanasiasa upo huru kusema chochote, ukiwa sheikh na ukauvaa usiasa muda wowote unaweza kuwa katika orodha ya magaidi!
Daah, hilo sikuambii, usije ukamfuata na Nissan nyeupeOk sawa mkuu Msingwa anasali wapi?
Mleta mada nipunguani kweli kweli yaliompata lisu nayeye aliwahikupatwa viongozi wengine wakidini huenda wanafaidika nahali hivyo yeye kamaraia na kiongozi wataasisi yadini hayupo tayari kuona uhai wamtu unakatishwa ndio maana serekali huwatumia viongozi wadini kuhubiri amani lakini amani inaweza kuvurgwa hata naserekali pia lakini watu wengi huokopa kuiambia serekali ndio wanajitokeza viongozi kama shekh ponda nakusema ukweli sasa wewe ulivyo kilaza uelewi hivyo nadhani umefundishwa kusema ndioooooSheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Sio wanajifanya, ni wajinga kwelikweli tena IQ ya kifarangaProf. Safari kwa kuwa ni mwanachama wa CHADEMA, kwa hiyo haruhusiwi kufanya kazi yake ya uwakili? Tuna watu ambao wanadhani kujifanya wajinga ni sifa.
Alikuwa Padre (Padri)Slaa hakuwahi kuwa askofu
Alikuwa PadriSlaa hakuwahi kuwa askofu