Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Mtu asidanganye itafika pahala nasi tutaingiza vifua vyetu, make nikikumbuka kwenye Biblia vitabu vya mwanzo, wakati wakienda kwenye nchi ya ahadi, nguvu ilitumika hayakuwa maombi tu, uvumilivu ukishindikana tutaingiza timu na kwakuwa misikiti hujengwa na fedha kutoka uarabuni tukiichoma sijui mtashinda na kulala wapi, wakristo haichukui muda jengo linasimama tu.
 
Hili ni swali la kinafiki. Wewe hujui Ponda kafanya nini? Acha unafiki wewe!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa nini serikali yetu tukufu haijaona sababu na umuhimu wa kumpa kazi Ramadhani Ighondu na kikosi kazi chake kumshughulikia Ponda Issa Ponda kama ilivyofanya kwa Dr. Steven Ulimboka?!

Au Ponda haonekani kama ni kero na tishio kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu kwa sababu sio mwanachama wa CHADEMA?!!!!
 
Basi siyo kosa lenu. Na hapo kwenye RED mbona wapo wengi
kule Uarabuni na maeneo yote ambayo Waarabu wamekaa au
kutawala?...

hata tanzania wapo wenye majina ya kiislam lakini ni mashoga ila bado uislam haujaruhusu ushoga na atakayefanya hivo na hakutubu mpaka anaingia kaburini basi adhabu kali ya moto ataipata, nyie ushost umeruhusiwa kanisani sio kosa la mtu mmoja mmoja so kwa kifupi nyinyi ni MASHOST
 
Mimi Nafikiri na yule kiongozi wa Kisiasa aliyetamka haya '' TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.HATUMTAMBUI RAIS NA NGUVU YA UMMA ITAITOA SERIKALI MADARAKANI ''

Na huyu nane akamatwe kama Shahe Ponda kwa kosa la uchochezi?
 
Dua la kuku...
 
Sisi waislam naamini hatuna akili ya elimu Dunia.
 
sasa upele umemkuta mkunaji, unachezea dola wewe...,Huyu jamaa ni proffessional trouble maker na chanzo cha migogoro na uchochezi, sasa acha ale jeuri yake.
 
mchicha ulianza kama mbuyu,,ooh sorry mbuyu ulianza kama mchicha!!!!!!!!!!tunahitaji maombi ya bidii sana sana si kwa nchi yetu tuu bali kwa mtu mmoja mmoja ili tuwe na hofu ya MUNGU.
 
mganga wa kienyeji qoran inasemaje juu ya upendo na kusamehe

Nakushukuru kwa swali lako. Kwanza kabisa ningependa kusema hivi.

Napenda kukuhakishia, uislamu na waislamu hawana chuki na ukristo na wakristo. Wala hatufundishwi kufanya hivyo. Napenda nikuahidi, mimi nataka kuanza mafunzo maalum kusisitizia kutokua na uhasama na wasio kua waislamu.

Baadhi ya viongozi wa makanisa, huwafundisha kwa siri sana waumini wao kuuchukia uislamu. Ndio maana vijana wengi wa kikristo hua na chuki kisirisiri dhidi ya uislamu.

Hufundishwa kuutakana na kuukashifu uislamu wakati sisi tunafundishwa kuto kumtakana nabii issa (yesu kristo), wala vitabu vya mwenyezi mungu zaburi, taurati na injili.

Uislamu unatufundisha kuishi na wasiokua waislamu kwa wema, kushirikiana katika mambo yanayo mpendeza mungu, na kuwalinda kwa mali zetu na nafsi wanapokua sisi ndio wenye dhamana ya kufanya hivyo.

Kwa hiyo waislamu wanaweza kupigana jihadi kuwalinda wasio kua waislamu ikibidi kufanya hivyo. Maana ni jukumu la waislamu kuhakisha kua kiumbe yoyote wa mungu hadhulumiwi haki yake.

Tatizo ni viongozi wachache wa kikristo ambao hutumia madhabau kujinufaisha na kupanda mbegu za chuki katia jamii hizi mbili.
Hua sisi tunasisitiza kuwaambia majirani zetu kua, yesu sio mungu, mungu sio watatu na wala yesu sio mwana wa mungu (ki-biolojia).

Hua tunalithibitisha hilo kwa maandiko yale yale yalioko ndani ya biblia.

Waislamu wote wanajua utukufu wa qur-an tukufu. Kwa hiyo yoyote atake ifanyia kitendo cha dharau, hata watoto wanaweza kumhukumu.
 
Kwa kuongezea tu ningependa ndugu zangu wakristu wafahamu kwamba ndani ya Uislaam watu wote duniani wanaitwa UMMAT MUHAMMAD yaani umma wa mtume Muhammad (S.W.A) - sisi ni jamii moja ndani ya Uislaam... Hivyo hao Masheikh Uchwara wanaofundisha ama kueneza Udini muwakemee sana maana hawajui walisemalo..
 
mganga wa kienyeji katishie ukoo wako!! Pathetic! Kama amekosa aadhibiwe kama mwanadamu yeyote yule, na kama hana hatia aachiwe! Period! Usitake kutisha tisha watu!

cacico, acha hasira kwanza. Habari za siku.

Sheria za nchi lazima ziheshimiwe, ila zisiwe mahakama ya fisi na washtakiwa ni mbuzi. Kasome kitabu cha animal farm by george orwell, kitakusidia.
 
Sio lengo letu kuwatisha. Bali tunapenda kuwaarifu, dhulma dhidi ya waislamu sasa basi. Hilo tu. Kama mtapigana na sisi kutetea dhulma dhidi yetu. So be it.

Ingawa napenda kukuarifu, uislamu na waislamu hauna ugomvi na wakirsto. Sisi tunapambana na wale wanao ubugudhi na kuushambulia uislamu na waislamu. Bila kujali dini yake hata akijiita muislamu kama mufti wa bakwata sheikh shaabani simba. Lazima angoke, atake asitake.

Yule sio mkristo. Ni muislamu mnafiki. Huyu ni adui mkubwa kuliko adui mwengine yoyote.
 
kwanza kabisa napenda kukuhakishia, uislamu na waislamu hawana chuki na ukristo na wakristo. Wala hatufundishwi kufanya hivyo. Napenda nikuahidi, mimi nataka kuanza mafunzo maalum kusisitizia kutokua na uhasama na wasio kua waislamu.

Baadhi ya viongozi wa makanisa, huwafundisha kwa siri sana waumini wao kuuchukia uislamu. Ndio maana vijana wengi wa kikristo hua na chuki kisirisiri dhidi ya uislamu.

Hufundishwa kuutakana na kuukashifu uislamu wakati sisi tunafundishwa kuto kumtakana nabii issa (yesu kristo), wala vitabu vya mwenyezi mungu zaburi, taurati na injili.

Hua sisi tunasisitiza kuwaambia majirani zetu kua, yesu sio mungu, mungu sio watatu na wala yesu sio mwana wa mungu (ki-biolojia).

Hua tunalithibitisha hilo kwa maandiko yale yale yalioko ndani ya biblia.

Waislamu wote wanajua utukufu wa qur-an tukufu. Kwa hiyo yoyote atake ifanyia kitendo cha dharau, hata watoto wanaweza kumhukumu.
 
huyu anashi nchi gani? Iran!
With this kind of brain, what can you do with it?
Safari hii jiandaeni kushikilia kanzu zenu, tumechoka!

wewe unafikiri waislamu ni wale wanao vaa kanzu tu. Anyway, mtoto yake nepi. Haya mambo yaache kama yalivyo. Wee endelea kucheza mchezo wa baba na mama.
 
hata sadam hussein na osama walikuwa na mikwara kama hii, sembuse hichi kiponda!!

ponda is just one muslim doing his duty at his best. Afadhali ya huyu ponda kuliko hao watako ibuka badala yake.

Kama ili wachukua NATO na marafiki zake kumsaka na kudai kumuua Osama bin Laden ten years, vipi kama kina Osama wakiwa 10 tu? Na huyu ni Ponda mmoja, ambae hata mimi nikishika hatamu uwezo wangu ni mara 100 dhidi yake. Sijui itakuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…