Sheikh Ponda akamatwa Dar!

'utawala na utawale
serikali isituchekee tunapofanya makosa'-Askofu Mokiwa
 
issue siyo kukamatwa huyu dogo ni kwamba watanzani tumejifunza mengi kutokana na utawala wa mwislamu. anaingia akiwa mtu safi lakini wenyewe wanakuja na kusema sasa ni wakati wetu wakimaanisha waislamu wapendelewe zaidi.wanafanya kila vurugu wanachiwa huru hukohuko polisi kisa IGP ni mwislamu!!! dawa ni kuto kumchagua RAIS MWISLAMU TENA KAMA TUNAITAKIA MEMA NCHI YEU.
 

Mh. Mzee Mwanakijiji......tumekuwa mara nyingi tukipigia kilele mambo ambayo tuliyaona hayataleta mustakabali mwema kwa nchi yetu..........viogozi wetu kwa sababu zao waliamua kukaa kimya .......sasa yameanza kukomaa.........kuondoa amani ni jambo rahisi sana...hata mtu mmoja tu anaweza.........lakini kurudisha amani ni kazi ngumu sana na inayochukua muda mrefu sana.... ndiyo mabadiliko yoyote yana gharama......na gharama ni kiasi... hivi hatuwezi kufanya mabadiliko kwa gharama ya chini kabisa???............".Dhambi kubwa duniani ni tamaa na choyo" -- JS Malecela WM (mstaafu)
 

Mwana,
Kwa sehemu nakubali mtiririko wa hoja zako, na hasa kwa vile umelitumia vizuri sana neno unafiki.
Mara nyingi mimi hufikiri kuwa unafiki ni kapu (kwa neno moja) ambalo ndani yake kuna aina nyingi/tofauti za uovu.

Kwa sehemu pia sikubaliani wewe na kumshambulia Mkandara moja kwa moja. Unless una ushahidi mathubuti.

Ni wazi udini kwa sasa hapa nchini ni tatizo kubwa. Ni vema tutafakari na kufanya kazi ya ziada tatizo hili lisije kuwa baya zaidi kwani waliolianzishwa hawaitakii mema Tanzania ya leo wala ya kesho.
 

Lukolo naomba nitangaze kwako na kwa msomaji yeyote mwingine wa uzi huu kwamba mimi ni Mkristo wa madhehebu ya Protestant.

Kuna nchi za Kiislam kama Turkey ambako kuuna wasomi katika imani nii ujinga wa Iran hakuna pale. Nimeisema Turkey lakini zipo sehemu nyingine duniani ambako unaweza kuona religious tolerance. Dini hii ya Uislam inazo kanuni nyingi sana ambazo ndizo hizo hizo zipo katika Ukristo. Deviation inaletwa na njaa kutokana na wahubiri kutafuta sifa ili wapewe fedha za ufadhili na watu wenye agenda za kisiasa kwa kuitumia dini. Iran ina agenda za kisiasa katika kufinance uharamia wa kidini.

Bila agenda za kisiasa, dini ya Kiislam ingekuwa tu kama sect mojawapo ya kikristo inavyotofautiana na nyingine lakini waumini katika hizo sect wakaishi kwa amani kila mmoja akiamwamini Mungu kivyake. Wa Iran wanajua nani katika nchi hii ana akili finyu wamtumie kwa mgongo wa dini, na matokeo ndo haya tunayoyaona.

Siungi mkono hoja ya kuhukumu dini nzima ya Uislam kama tatizo. Tatizo ni mis-use ya dini hiyo. Kwa hiyo kazi ya vyama vya siasa, au hata walio katika uongozi wa nchi ni kuwa makini na waumini. Tuchague watu wenye uelewa mpana katika mambo haya katika mengi ambayo wanatakiwa kuyajua.

Hizi IQ za kuku ndio issue hapa.
 
Ingewezekana tunge ban all this imported religions ili tubaki na usafi wa Utanzania na Uafrika wetu...
 

Mkuu nimekuelewa vizuri sana...najua umesoma bandiko langu lote, ukawaida niliouzumzia mimi sio ulioutafsiri wewe.na sijasema kuchukuliwa kawaida basi ndio idharauliwe hapana. Lengo langu ni hapo nilipobold mkifanikiwa kufuta hiyo imani ambayo haipo vizazi vijavyo haviji kugombana wala kubishania kitu ambacho hakiwezekani....hata ukijaribu kufuatilia vurugu zinahusiana na uchomaji Qurani utakuta muislamu ndio mwanzilishi au mshadadiaji.ndio maana mwisho wa tukio mwisilamu huwa ndio anapaniki sababu hupata majibu tofauti na alivyoaminishwa kuwa mbishani wake anaweza kugeuka kuwa kichaa au mjusi...La mhimu kila mtu aheshimu imani ya mwenzake bila kujali mkristu.mwislam au mpagani.!
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo kikojozi wa quran tukufu naye alikuwa sahihi??? kama wapo waliopenda tukio lile??? tukio la kukojolea quran unaonyesha hauna uvumilivu.
 
Leo nimeangalia kwenye mitandao mbali mbali kuona kama kuna gazeti limeandika kuwa Ponda amekamatwa, lakini sikuona mahali popote. Kuna ambaye anayeweza kunielekeza kwenye habari hizo, tofauti na hii iliyoletwa hapa jamvini?
 
Naona wale 120 walioko selo wamemtaja yule jamaa mchochezi sana yule bora akanyee debe

Mark my words!! Ponda hawezi kunyea debe as long as Kikwete is president of this poor country!!
 
Amani ya kweli ni ile inayowapa wananchi wote haki sawa. Na kufanya jitihada wale waliokuwa nyuma, nao kuwakaribia wenzao. Pasipo na hivyo wale waliokuwa nyuma ni rahisi kuona wanadhulumiwa

Kwa hiyo unataka kusema wote walionyuma wamedhulumiwa???? wamasai na wamakonde kwa mfano kuwa nyuma kielimu kuliko wachaga na wahaya nao ni nani kawadhulumu????

Kama waislamu hawatawekeza kwenye elimu dunia ambayo ni dira ya maisha yetu yote kamwe hawatasonga mbele.

Tangu uhuru kanisa ndilo lilikuwa na shule kuliko serikali kama sio mwalimu kutaifisha mlitaka kupendelewa vipi waislamu?

Hakuna mahali popote dunia ambapo Rais wa nchi aliwahi kunyang'anya shule za dini yake ili watu wa dini nyingine wasome isipokuwa NYERERE TU.
 
Wasipomwachia mpaka ijumaa, maandamano mpaka gereza alilowekwa wanamtoa na wanaondoka zao, i give yu my word serikali itasema imeepusha madhara
 

Watu kama wewe ndio wabaya zaidi hata huyo Sheikh Ponda, Huwezi kuridhika tuu na kuwa fitna kashikwa na anachukuliwa hatua, Nini zaidi unachotaka. Mnafiki wa kidini wewe
 

Nadhani hitimisho lako si sahihi sana......mara nyingi suluhisho za matatizo haya ni aidha kuweka uongozi wa uwiano au kugawana nchi...na hiyo huishia kwenye vita juu ugawaji ya rasilima...na bado nchi hii si ya waislam na wakristo pekee.....kwa hiyo si rahisi hivyo kama.... unavyofikiria
 

And why muslims tu bhana? Kule nigeria ni wao wanachinja wenzao, alshabab, alqaeda, taliban, janjaweed na hezbolah yote haya ni ya waislam! Why are they so easy to be used in a wrong way? Why huyo mungu wao wanampiganiaga badala ya mungu kuwapigania wao? Sometimes i do get confused na upeo au IQ ya waumini hao! No offence to muslims ila jameni i thnk uislamu ungefutwaga duniani amani irudi. Tangu enzi za nabii Samwel mpaka leo wanasumbua? Why them?
 

agenda gani,,,,kama unaijua si uitaje?????
 
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..

Mkandara si kwamba hajui kinachoendelea . Anajua fika hata makosa ya Ponda anayajua. Anachokifanya ni kufunga ubongo wake wa great thinker na kufungua wa kidini. Dini ni upofu unaomfanya hata Prof asijiulize kwanini ni muislamu, kwanini ni mkristu au mpagani. Kwa mambo mengine anajiuliza kila kitu ikfika kwa dini kafyata. Sasa kwa taarifa yako tu nikuambie kati ya dini hizi mbili.ukristo, uislamu. Kuna dini.moja ya shetani na dini.ya pili ni ya Mungu. Manake ni kuwa wale maprophesa, Madaktari, wasomi, wanasayansi ya jamii, wsgalme, marais na wale wote waliojaliwa hekima lakini wako kwenye dini ya shetani huku.wskiamini wsko kwenye dini ya Mungu ni wajinga na wapumbavu. Tafakari.
 



Your frustration is understandable chief. Ha ha ha ha! Ila ujue wakati Mwinging a majority voice inaweza ikafunika a very sobber minority. Na mi naamini hii case ya kina alshabab, alqaeda, taliban, janjaweed na hezbolah inawezekana kabisa ikawa case ya wehu wengi ambao wanafunika sauti ya watu sober katika kundi hilo. Hiyo sauti kali ya kina alshabab, alqaeda, taliban, janjaweed na hezbolah haimaiishi kuwa kila mmoja katika kundi anawaza hivyo.

Na hii ndo maana naogopa sana kutupa blanket statements za hukumu kuwa Waislamu wooote ni wabaya. Tunachoitaji ni ku identify wehu na kuwafix. Kwa mfano katika kesi ya Tanzania tatizo ni Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…