PreGE2025 Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

PreGE2025 Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
MATAKO YA MUNGU SASA YANAFUNULIWA NA YANAJIONESHA KUWA NI MATAKO KAMA MATAKO MENGINE WAMEAMUA KUWAJIBU TIMU MSALABA KWA SAPRAIZI.kwenye Dunia hii hapana kuamini. Mtu aisee.
 
Huyo huwa anaalikwa katika mikutano ya vyama vya siasa hasa vya upinzani lakini sidhani kama ni mpenda kuwa mwanachama wa chama chochote.

Mwaka 2020 alizunguuka nchi nzima kumnadi Lissu kwenye kampeni za urais.

Mleta mada umeweka picha tu bila ushahidi.
Ili kuifunika chadema yule aliyetoka hospitali juzi Kwa kupigwa kitu kizito na huyu alitoroka na kuwaacha polisi kwenye jengo la kabisa.Lazima igizo libadilike liwe kama hivi.
 
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.

===

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.

Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda atatangaza uamuzi huo mbele ya viongozi waandamizi wa chama hicho katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanyikia makao makuu yake, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Tayari ACT-Wazalendo imetoa matangazo ya kuonesha kuna ‘mwamba’ ambaye atajiunga nao. Kumekuwa na maswali mengi ni kiongozi gani huyo?

Sheikh Ponda anatarajia kujiunga pamoja na watu wengine wanaomuunga mkono na huenda akawa miongoni mwa wale watakaoomba ridhaa ya kuwania ubunge katika moja ya majimbo jijini Dar es Salaam.

Chanzo Mwananchi
Sasa hivi milio itaanza asichanganye Siasa na Dini Wakati waumini ni wanasiasa,kama wanataka hivyo bas wanasiasa wote wasiwe waamini,Siasa ndiyo iwe dini Yao
 
Japokua mm sio muislamu lakini nikisikia huyu Shekhe anaswalisha somewhere ntaenda tu... ningependa ajiunge Chadema lakini nitaendelea kumkubali hivyo hivyo... Mimi nikiona mtu anatetea haki najikuta nampenda bure tu...
 
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.

===

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.

Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda atatangaza uamuzi huo mbele ya viongozi waandamizi wa chama hicho katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanyikia makao makuu yake, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Tayari ACT-Wazalendo imetoa matangazo ya kuonesha kuna ‘mwamba’ ambaye atajiunga nao. Kumekuwa na maswali mengi ni kiongozi gani huyo?

Sheikh Ponda anatarajia kujiunga pamoja na watu wengine wanaomuunga mkono na huenda akawa miongoni mwa wale watakaoomba ridhaa ya kuwania ubunge katika moja ya majimbo jijini Dar es Salaam.

Chanzo Mwananchi
Kuna wakati ilisemekana ni mrundi
 
CCM WAKIENDA HUKU CHADEMA NCHALE WAKIRUDI ACT NCHALE
 
kwa sheikh ponda hiko ni chama cha nyumbani.

pili, atakuwa amejiunga A C T kwa vile ni chama cha kijamaa, kwa vile uislamu ni ujamaa na yeye ni sheikh wa kiislamu.

Tatu CCM ni Chama cha kijamaa lakini hakuna mahusiano mazuri.

Nne, Angejiunga Chadema lakini Chadema ni chama kamili cha kibepari, sera zake za uhuru uliopitiliza ikiwemo haki za kuoana kwa jinsia moja zingeiletea ukakasi nafasi ya sheikh ponda katika jamii. Hawezi kupigania haki za mashoga na wasagaji.

Tano Chadema ni mtoto aliedumaa, angalau A C T inaanza kutizamiwa kwa mbali kuwa chama kikuu cha upinzani hapo badae.
 
Unaliwa nini mndukun umesoma katiba ya chadema kuna sehem wanasapot hayo mambo mse,,,ng ww
hahahahahaah sasa mbona unakasirika ! huwezi kuelewa hilo kwa kusoma katiba ya chadema. chadema iko hold na liberal ideology........kasome liberalism ni kitu gani halafu ukuje hapa.
 
Back
Top Bottom