Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
==>> FFU lazima serikali iwanunulie SMG ZENYE DARUBINI....NEVER MISS A TARGET....

....NO ONE CAN COMPETE WITH GOVERNMENT..no one...hata Mungu anatambua serikali...

...Mtu mmoja atuchafulie nchi....?? shoot...it*s an order shooooot....ya kichwa...!!?? alaaaa...!! mwenye uchungu tukutane mahakamani au kuzika....!!
Una dosari katika kichwa chako.Tambua leo kwa Ponda kesho kwa mwingine.
 
==>> RPC mkate mshahara kwa Sniper kukosa target ya karibu hivyo....!!

===>> Ponda hawezi sbbisha nchi isitulie....mzako wa nguvu ufanyike Moro nzima...haraka sana...!!

==>> Who the hell is he...??
 
Ritz hivi wewe ni mtu wa aina gani, ukiambiwa dhibitisha hawa wanao unga mkono ni wafuasi wa CDM utaweza kweli? we kijina mzalendo kweli unawatenga wa Tanzania ki dini? we ni mtu wa ajabu na hufai hata kuigwa.

Baadala ya kuondoa watu mashaka na tuwe na subira wakati tunaendelea kutafuta ukweli we unakuja ku hukumu hapa!!
Onyesha hekima yako hata kidogo mkuu!, sio kila kitu ni siasa.
Hujue JF kuna hansard za kila members ninaposema kitu nina uhakika nacho unataka ni kuletee ushahidi wa nani sema.
 
Last edited by a moderator:
==>> FFU lazima serikali iwanunulie SMG ZENYE DARUBINI....NEVER MISS A TARGET....

....NO ONE CAN COMPETE WITH GOVERNMENT..no one...hata Mungu anatambua serikali...

...Mtu mmoja atuchafulie nchi....?? shoot...it*s an order shooooot....ya kichwa...!!?? alaaaa...!! mwenye uchungu tukutane mahakamani au kuzika....!!

Unamaanisha FFU wanatakiwa wawe na shabaha kama ya wale jamaa waliomdungua PADRI mushi masawe ?!
 
Huu mchezo anaoucheza ponda lazima umgarimu siku moja,naona kama mchezo wa kuigiza vile kama kweli ponda kapigwa risasi kwa nini haijulikani alipo kwani kupigwa risasi na kutibiwa ni sili? Hapo kuna maigizo makubwa sana.
 
Wewe kutwa ni kumtetea Ustadhi Jakaya Khalifan Kikwete sasa kawapa kubwa. Tulia wanaume wasake magaidi

Hakuna Mtanganyika asiyefahamu kua CCM na Serikali yooote wana BIFU na huyo Ponda,...
Serikali ya Mapinduzi ZNZ ilishatoa waraka wa kumsaka huyo jamaa,akihusishwa na Kuwaunga mkono Uhamsho..
Pia Ponda ndiye yuko Front line kupambana na Mtoto wa Serikali (BAKWATA) Chombo kinacho lalamikiwa na Waislam kuwa kinakandamiza Haki yao...
Sasa hapo sio suala la Siasa,bali ni Vita kati ya Suni na Shia..
Shia (BAKWATA) wanasaidiwa na Serikali(CCM) kusambaratisha kundi hilo la Suni linaloongozwa na Kamanda wao Ponda.... hivyo tutegemee Mpambano mkali hapa Suni vs Shia.,..
 
Kwa hiyo hata wewe kama muislamu kuuawa kwa Padre Mushi hakukugusa kwa vyovyote? mimi kama raia mwema nalaani mauaji ya padre Mushi it is not necessary niwe mkristu! mbona uwezo wako wa kufikiri ni finyu kihivo?
Kuna uhusiano gani kati ya kuuwa padri mushi na kupigwa risasi Sheikh Ponda? Mpaka useme wamekosea wangemuwa au kamkata kichwa.
 
Sasa kama una ushaidi si unajua mahali pa ku upeleka na na amini unaiamini serekali yako, kwa nini unaukalia tuu! laa sivyo sema uiamini serekali hasa dola...
 
Wana JF jambo hili linasikitisha sana tumezoea kuishi kwa amani Tanzania. Watanzania tufunguke sasa tuelewe nini kinafuata. Je hali ya ponda inaendeleaje kwa sasa kuna mwenye updates zozote?
 
Damu ya mtu mbaya sana, mauaji ya Polisi (Chini ya Kikwete) hayasemeki, kuna waziri amewahi kutamka bungeni kwamba mauaji ya polisi ni halali, bila kusahau kauli ya Waziri Mkubwa.

Utekelezaji unaelekea kuanza kuwaguzi watetezi wakuu wa hizi kauli. Though jamaa wanaendelea kutetea kwamba sio polisi waliompiga tu Ponda (kimoyomoyo wanaujua ukweli).
 
Acha kupotosha unataka kutuambia CCM hakuna Wakirsto na Chadema hakuna Waislam? Ponda na CCM wapi na wapi.

si huwa mnasema chadema chama cha wakristo na ni chama cha wachaga kumbe mnajua kabisa kuwa mnapotosha..ccm ni janga
 
Kwa hiyo hata wewe kama muislamu kuuawa kwa Padre Mushi hakukugusa kwa vyovyote? mimi kama raia mwema nalaani mauaji ya padre Mushi it is not necessary niwe mkristu! mbona uwezo wako wa kufikiri ni finyu kihivo?
Acheni kutuletea habari zenu za udini wakuu ponda ni yeye ni makosa kumuunganisha na uislamu kama akifanya kosa ni yeye,kama akifungwa ni yeye siyo waislamu.
 
Tangu hii thread imeanzishwa hakuna hata mmoja aliweka hapa kwa usahihi wapi alipo ponda?, amefariki?kama amejeruhiwa kwa kiwango gani??
 
Mkuu,

Ina maana kesha tutoka?


☆☆★★Ponda anatafuta kifo long ago...!!

==>> Rais Mstaafu Mkapa...alimkosakosa pale Mwembechai...Ponda alikimbia hadi sandals, kanzu na kibaraka shia katupa kuleee...akawa anataka kuvuka mipaka kwenda Kongo...akakamatwa..Mkapa akamweleza kiutu uzima NTAKUMALIZA...akatuliaa tuliii....yakapita....

===>> Sasa awamu hii ya JK kaanza....
..kuchoma makanisa Mbagala...Zanzibar..maandamano ya Waislam Dar nzima yeye Ponda alikuwa kiongozi...fujo Dar ilikuwa kila mahala hadi Jeshi JWTZ likaingilia ..etc....
akakamatwa....akawekwa mahabusu....I HOPE JK pia alimweleza ACHA UJINGA PONDA....akapata dhamana akatoka....

...Akaenda Znz...kaanzisha tena fujo na kuanza kusakwa na polisi Znz...

===>> Haya tena HE IS AGAINST ALL ODDS....he is connected to worst ACID ATTACK of two London girls in Znz juzi...balaa hilo tena...imagine...!!!

...Mara kaibukia Moro...kapigwa Risasi...sijui kapona au kafa....



...So huyu Ponda anatafuta KIFO LONG AGO na wala kifo hakimtafuti.... kila siku ni Ponda tu...Ponda tu....SASA NI KUMPONDA PONDA...

===>> we are tired of this stupid man....killing him is only way....

....SHOOOOOT....!!!
 
Kasome tena ajasema Ponda na CCM, Amesema Waislam wanafki na CCM.

Inajulikana wazi daima Ponda hajawahi kuikubali CCM maana kwa Jinsi CCM inavyotutenda waislam chini ya Bakwata ni Aibu na Mjinga tu atakaye shindwa kungamua kuwa CCM ni Janga.
Wewe ndiyo kasome vizuri kwa chuki zako dhidi ya Waislam, hilo neno Waislam wanafiki umeliandika wewe.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom