Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
Kuna watu wa ajabu sana humu jf, suala la kupigwa shekh ponda si la kufurahisha kwa mtu yeyote, hata kama ana makosa si sawa kuchukua sheria mkononi dhidi yake.
Sasa mnaokuja na suala la CHADEMA na UDINI mnahusisha vipi na tukio hili? Ni CHADEMA wamemdhuru au ni DINI flani?
Hata kama tunatumwa kutetea maslahi ya watu flani na kupotosha ukweli yatupasa muda mwingine kutumia ubinadamu.
Yamkini mnakua mmetumwa ili kupotosha mada, watu waache kujadili dhima kuu ya habari na wajadili kile mnachopindisha, siku moja mtakosa wa kupindisha maana habari itawahusu ninyi. Ritz, FaizaFoxy

Mbona mapovu mengi huku Hoja huna.
 
Last edited by a moderator:
Naenda kulala mtu asinitafute,hamnipati teeeeeena

Poleni sana kwa tukio la kusikitisha la kupigwa kwa Ponda,ila naomba tuwe na subira ili Polisi watueleze chanzo au sababu ya shekhe kupigwa risasi what is behind the scene

Tuache kugenerolise vitu tuwaachie Polisi wafanye kazi na waje na majibu ya kuwaridhisha wananchi kwamba ni nini na kwa sababu gani kilitokea,kwa kuongea meengi wakati haujui kinachoendelea haitusaidii,tuwe na subira katika kipindi hiki ili Serikali sikivu ije na majibu mujarabu kwa maswali yaliyoko vichwani mwa wananchi

Tatizo Watanzania watuhumiwa sisi,mapolisi sisi,mahakimu sisi,kila mtu mjuaji anajua kuongea,wambea,majungu na kila aina ya ujinga,Hebu tuwe na subira serikali imetangaza inamtafuta bado tuna muda tuaelewa sababu ya haya yote,kuandika ujinga mwingi siajabu hata humu jf hawasomi ni kumpigia mbuzi gitaa wakati hakusikii

Tuonane baadae Baby FaizaFoxy tupumzike turudi baadae ila nitakutafuta really i like you,you are a strong lady
 
==>> FFU lazima serikali iwanunulie SMG ZENYE DARUBINI....NEVER MISS A TARGET....

....NO ONE CAN COMPETE WITH GOVERNMENT..no one...hata Mungu anatambua serikali...

...Mtu mmoja atuchafulie nchi....?? shoot...it*s an order shooooot....ya kichwa...!!?? alaaaa...!! mwenye uchungu tukutane mahakamani au kuzika....!!
 
Leo hii hata Safari wa chadema akipigwa risasi mimi ntakuwa upande wake, kumbuka kuwa Waislaam ni kama kiwiliwili kimoja. Haya mambo ya siasa ni ya kupita tu.

Kuna kila sababu kuwa upinzani una mkono katika hili.
Hujawahi kuwa upande wa Ponda wewe acha kujibalaguza hapa... Siku zote Ponda amekuwa akiipinga serikali na dhuluma zake dhidi ya wanyonge... Wewe siku zote umekuwa ukiunga mkono matendo dhalimu ya serikali...
 
Huu ndio utaratibu wa dini. alikufa mtume s.a.w lakini mpaka leo bado uislam ndo kwanza unashamiri uislam sio ponda wala shekh yeyote katika dunia.. bali Allah pekee..vita katka Quran imeruhusiwa bila shaka tena kwa aya clear sasa subirini wakt utafika tu tanzania kugeuka somalia hilo ni dogo sana kiiman kama uonevu huu utaendelea.. cha msingi mwenye haki yake apewe hapo tutaenda sawa vngnevyo UISLAM haukubali dhulma hata kidogo...Allah aalam
 
ponda ni kiongozi wa dini kama walivyo akina malasusa,kilaini,pengo,kakobe,wa upako etc...kiongozi kama huyo huendi kumkamata katikati ya mkutano wa maombi,injili au muhadhara.

Hatujawahi ona hata mzee wa kanisa akitendewa hivyo na vyombo vya usalama,kuna njia nyingi za kumweka chini ya ulinzi ponda kama alikua kavunja sheria bila kuzua taharuki.
Kwa jinsi ilivyotekea jana lengo lilikua ni kumuua na sio kumkamata.
Swali,NANI AMEMTUMA SHILOGILE KUUWA VIONGOZI WA KIISLAMU?
Nani anafaidika na kuuliwa kwa ponda?
SHILOGILE ANASALI DHEHEBU AU DINI GANI?.
Ulishawahi kuona CD za kuchochea fujo kutoka kwa hao uliowataja? Ponda ni gaidi kubali usikubali
 
Ritz hivi wewe ni mtu wa aina gani, ukiambiwa dhibitisha hawa wanao unga mkono ni wafuasi wa CDM utaweza kweli? we kijina mzalendo kweli unawatenga wa Tanzania ki dini? we ni mtu wa ajabu na hufai hata kuigwa.

Baadala ya kuondoa watu mashaka na tuwe na subira wakati tunaendelea kutafuta ukweli we unakuja ku hukumu hapa!!
Onyesha hekima yako hata kidogo mkuu!, sio kila kitu ni siasa.
 
Last edited by a moderator:
Acha kupotosha unataka kutuambia CCM hakuna Wakirsto na Chadema hakuna Waislam? Ponda na CCM wapi na wapi.

Kasome tena ajasema Ponda na CCM, Amesema Waislam wanafki na CCM.

Inajulikana wazi daima Ponda hajawahi kuikubali CCM maana kwa Jinsi CCM inavyotutenda waislam chini ya Bakwata ni Aibu na Mjinga tu atakaye shindwa kungamua kuwa CCM ni Janga.
 
Lakini kumbuka hawa hawa ambao wanamkashifu na kudhihaki Sheikh Ponda, hawa hawa utawakuta kwenye harakati za Chadema.

Kumbuka haya mambo huwa yanageuka ndiyo maana kuna watu wanawasoma humu michango yao, bahati nzuri humu tunajuana kwa IDs zenu na misimamo yetu.

Siku ya kiwafika Chadema ukiona watu wanakashfu na kutoa kejeri wala usishangae.

Mimi binafsi hauwezi kunikuta kwenye uzi nashangilia mtu kupigwa na polisi achilia mbali kupigwa risasi, kumbuka suala hili ni la kiimani zaidi siyo la kisiasa.

Nimeku CC labda wewe ukiwaeleza watakuelewa.

tusaidie basi ukaongee na Shilogile au mtume Madevu Mchemba maana nasikia nyie ndo wanadhimu wa majeshi yetu, leo mmekosea target mnajidai mna uchungu
 
kumpiga risasi si haki hata kama ni mchochezi,mahakama ina kazi gani? ,jela si zipo!.ithibitike beyond doubt kwamba amechochea uovu na sheria ichukue mkondo wake.
 
Hujawahi kuwa upande wa Ponda wewe acha kujibalaguza hapa... Siku zote Ponda amekuwa akiipinga serikali na dhuluma zake dhidi ya wanyonge... Wewe siku zote umekuwa ukiunga mkono matendo dhalimu ya serikali...

Ndugu weka Rekodi sawa, Amekuwa akipinga Serekali ya MACCM.
 
Mnachochea chuki zisizo na sababu. Sio watu wa dini fulani wala wa chama fulani waliompiga Ponda risasi. Ni Polisi kwa kuwa walikuwa wanataka kumkamata na akawa anawatoroka. Kumbuka huyu alikuwa anatafutwa tangu akiwa Zanzbar wiki iliyopita. Kwamba ni Polisi haina ubishi kwa kuwa hata mabomu ya machozi walipiga wao. Track record yao inaonesha kuwa katika matukio kama haya wanatumia risasi za moto. Wana haki ya kupiga risasi au hawana hii ni issue nyingine, lakini ukweli ni kuwa ni wao. Wana haki kisheria kutumia risasi za moto. Kwani unadhani wanabeba bunduki zile kwa maonesho? Mahali pa kuzitumia wanazitumia kweli. Aliyepigwa risasi ni binadamu bila kujali dini yake. Kila mmoja alikuwa anatakiwa kusikitishwa na hilo. Kwamba ni madawa ya kulevya si kweli. Polisi ndo wanajua ukweli kwani ndo waliopiga risasi. Acheni kupotosha ukweli na kujaribu kuleta uchonganishi!
 
Ponda ndio nani hadi polisi impige risasi,mbona watu wanapenda kutafuta umaarufu kupitia dola!
 
Imani yako nione mara ngapi? Wewe si umesema damu ya Padri Mushi bado ipo moyoni kwako, ndiyo maana unataka Ponda auwawe au akatwe kichwa utadhani wewe utaishi milele.

Kwa hiyo hata wewe kama muislamu kuuawa kwa Padre Mushi hakukugusa kwa vyovyote? mimi kama raia mwema nalaani mauaji ya padre Mushi it is not necessary niwe mkristu! mbona uwezo wako wa kufikiri ni finyu kihivo?
 
===>> ★☆☆★ Kumbe FaizaFoxy anaichonganisha SERIKALI NA WAISLAMU....kumbe....

...Jeshi la polisi linafanya kazi yake kisheria...kwann hakujisalimisha ALIPOONA AMEFUATWA...?? Sbb anajua yeye ni mhalifu....angejisalimisha wale polisi wasingempiga risasi...!!!
....Ukiwa mjinga kama Ponda kuishi shida kabisa...utashindana na DOLA ww Ponda kweli...!!??

Mkuu,

Ina maana kesha tutoka?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom