Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.

tofyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
2,696
2,000
Mawazo na maoni ya mwanachama au mfuasi wa chama siyo ya chama, ila wewe una mawazo ya udini sana. Nachukia sana tukio kama hili la Ponda vinaingizwa vyama kwa nini? Ponda ktk harakati zake aliwahi kushirikian na chama chochote? Ni vizuri kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.

chama huwa kinajengwa na watu.zimebaki siku chache tutaweka kila kitu hadharani kuhusu chama chenu.
 
Bakeza

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
339
250
Leo hii hata Safari wa chadema akipigwa risasi mimi ntakuwa upande wake, kumbuka kuwa Waislaam ni kama kiwiliwili kimoja. Haya mambo ya siasa ni ya kupita tu.

Kuna kila sababu kuwa upinzani una mkono katika hili.

We bibi ni mdini mkubwa, M.A.L.A.Y.A. weeeee. Akipigwa Safari kwa kuwa ni muisilamu mwenzako sawa ila wakipigwa wanachadema wengine poa sio. Nyang'au mkubwa
 
OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,971
2,000
Hivi kwa nini nyie wafuasi wa Chadema mna chuki sana Waislam? Msidhani Wakirsto peke yenu ndiyo mtafanikiwa kutawala nchi kupitia Chadema bila Waislam, acha chuki.

Cc: Ben Saanane,
Kwenye andiko langu umeliona neno lolote chadema au ukristo? haya unayaingiza wewe, hujui imani yangu, hujui chama nachokiunga mkono, point nayosisitiza hapa ni kuwa magaidi wasifumbiwe macho wawe wakristu, waislamu chadema, CUF au NAREA,..Sina chuki na waislamu nina chuki na magaidi!
 
huskryderz

Member
Dec 23, 2011
24
45
m.facebook.com/TAJOA?refid=28&_ft_=qid.5910730000495572446%3Amf_story_key.-2878228964847103542
kuna baadhi vinareport hv, jamani hii nchi ipo wapi saiz na tunaenda wapi!?
 
Facilitator

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,282
2,000
chama huwa kinajengwa na watu.zimebaki siku chache tutaweka kila kitu hadharani kuhusu chama chenu.

anza na financiers wa ponda na basaleh kwanza. njo hapa msikit wa mtambani upewe mbivu mbichi za huyo mnayemuona kinara wenu.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,422
2,000
Kuna watu wa ajabu sana humu jf, suala la kupigwa shekh ponda si la kufurahisha kwa mtu yeyote, hata kama ana makosa si sawa kuchukua sheria mkononi dhidi yake.
Sasa mnaokuja na suala la CHADEMA na UDINI mnahusisha vipi na tukio hili? Ni CHADEMA wamemdhuru au ni DINI flani?
Hata kama tunatumwa kutetea maslahi ya watu flani na kupotosha ukweli yatupasa muda mwingine kutumia ubinadamu.
Yamkini mnakua mmetumwa ili kupotosha mada, watu waache kujadili dhima kuu ya habari na wajadili kile mnachopindisha, siku moja mtakosa wa kupindisha maana habari itawahusu ninyi. Ritz, FaizaFoxy
Wewe mnafiki sana hivi hauonh wafausi wa Chadema wanavyokejeli mpaka wanamuita Ponda gaidi bora wangemuuwa.

Umetuona sisi ambao tunawakataza.

Acha unafiki wewe.
 
Last edited by a moderator:

huskryderz

Member
Dec 23, 2011
24
45
m.facebook.com/TAJOA?refid=28&_ft_=qid.5910730000495572446%3Amf_story_key.-2878228964847103542
kuna baadhi vyombo vinareport hv, jamani hii nchi ipo wapi saiz na tunaenda wapi!?
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,525
2,000
Haya ndiyo madhara ya waislamu kuikumbatia CCM-Bakwata,yatakiwa kupima faida za uwepo wa CCM na hasara zake kwa waislam,Hasara ni kubwa zaidi kuliko hasa ukizingatia CCM kufurahia mgawanyiko wa waislamu kukosa taasisi yenye nguvu na inayounganisha taasisi zote za kiislam tanzania
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,422
2,000
Kwenye andiko langu umeliona neno lolote chadema au ukristo? haya unayaingiza wewe, hujui imani yangu, hujui chama nachokiunga mkono, point nayosisitiza hapa ni kuwa magaidi wasifumbiwe macho wawe wakristu, waislamu chadema, CUF au NAREA,..Sina chuki na waislamu nina chuki na magaidi!
Imani yako nione mara ngapi? Wewe si umesema damu ya Padri Mushi bado ipo moyoni kwako, ndiyo maana unataka Ponda auwawe au akatwe kichwa utadhani wewe utaishi milele.
 
querauk

Member
Oct 13, 2012
54
0
kama kweli anahusika na kumwagiwa tindikali watu kule Zanzibar adhabu hiyo anasitahili. auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,422
2,000
Haya ndiyo madhara ya waislamu kuikumbatia CCM-Bakwata,yatakiwa kupima faida za uwepo wa CCM na hasara zake kwa waislam,Hasara ni kubwa zaidi kuliko hasa ukizingatia CCM kufurahia mgawanyiko wa waislamu kukosa taasisi yenye nguvu na inayounganisha taasisi zote za kiislam tanzania
Acha kupotosha unataka kutuambia CCM hakuna Wakirsto na Chadema hakuna Waislam? Ponda na CCM wapi na wapi.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom