Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
Habari hii ni kweli au ni uzushi? Kama ni kweli I think for the first tym nitakuwa against Mwema

mkuu hutakiwi kuwa against Mwema, kwa sababu yeye anatekereza kauli ya mh. Pinda ya 'wapigwe tu' kwa Sababu kachoshwa na watu
 
Sijawahi msikiliza Ponda but kama alikuwa na mawaidha kama ya Abd. Rogo aliyeuwawa mombasa ni bora auwawe kuliko kumwacha aeneze chuki
 
ngoja tupeleke TBS kuthibitisha
Kama ni kweli sio habari nzuri na kama sio kweli pia sio habari nzuri

Tunacheza na amani yetu sisi sote lakini itakapopotea sio rahisi kuirejesha tena na wahanga watakuwa wengi kuliko watakaofaidika

Maumivu ya kichwa huanza polepole lakini yakizidi mwili mzima huuma

mmmh
wewe hupo eneo la tukio?
umeona akipigwa risasi?

hii habari sidhani kama imeshathibitishwa
 
"Serikali imechoka wapigwe tu!"
Kwa kauli hii tutasikia mengi.
POLENI

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Aisee hawa polisi vipi.. anyways habari ipo nusunusu nasubiri habari kamili.. get well soon shekh..
 
hivi kwa nini hawa polisi wanamfatilia sana Shehe Ponda kama mtu asiye huru hapa nchini?
hivi kwa nini polisi watumie silaha za moto kutawanya watu?
Kwanini polisi wanafikiri kuwa risasi ni suluhu?
 
Sijawahi msikiliza Ponda but kama alikuwa na mawaidha kama ya Abd. Rogo aliyeuwawa mombasa ni bora auwawe kuliko kumwacha aeneze chuki

usihukumu kama huawahi msikia. hili neno "bora auawe" mbona kali sana!
 
Aisee hawa polisi vipi.. anyways habari ipo nusunusu nasubiri habari kamili.. get well soon shekh..


At last you'll realize ccm is not something to play with.

go ahead because you looks always in great partnership with ccm
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom