Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
Mh.mizengo kayanza peter pinda vijana wanatekeleza amri yako wapigwe tu,wapigwe tuKWELI SERIKALI IMECHOKA..
 
hii habari kama ni kweli, na ninavyo elewa ushawishi wa Sheikh Ponda katika jamii ya Waislamu, basi huu ni mwanzo wa amani kutoweka. Mungu atulinde
 
Ile tindikali waliomwagiwa wasichana wa Waingereza kule Zanzibar ambao ni followers wa Zion itawa-cost wengi,Never play with Israel,Mossad will hunt you down like dogs

kumbe nako kupo hivyo tena.!!!
 
And now they are trying to silence Kagame vs Kikwete Saga

can you imagine! it can't be easy and at high price of shekhe Ponda like this

Simply because the topics will change to allow rulers at least breath and absorb the saga from a different angle
 
Mimi hii habari sitaki kuamini kama ni kweli

Kama hii habari itakuwa ni kweli ni aibu kubwa kwa serikali yetu na jeshi letu la polisi ambalo kila kukicha linaendelea kujinajisi lenyewe, jeshi la polisi sasa ndio limekuwa wauwaji wakubwa, sijui ndio muondelezo wa maelekezo ya mheshimiwa Pinda.........
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom