Sheikh Ponda aachiwa kwa dhamana

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameachiwa kwa dhamana leo Julai 20 baada ya kushikiliwa na Polisi kuhojiwa kuhusu waraka wa Mwongozo wa Uchaguzi Tanzania Oktoba 2020.

Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa alisema wanamuhoji kwa waraka uliotolewa hivi karibuni na Taasisi yake ambao viongozi wote wa Taasisi hiyo waliukana.

Soma: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi
 
Habari zimethibitishwa:

Jeshi la polisi hatimae LEO IMEMWACHIA KWA DHAMANA Katibu wa Shura ya maimamu Sheikh Ponda Issa Ponda 💪🏽

Free at last! Sheikh Ponda has been released on police bail #Tanzania

Thank you all kwa kupaza sauti Tusiache kupigania Haki ✊🏾
#FreeSheikhPonda https://t.co/kjxAEm4SYe
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Huyu ndiyo Shelh Mkuu
 
Back
Top Bottom