Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Ponda aachiwa huru

Mungu ni mwema!!mahakama ziendelee kusimamia haki ,na uhakika tutafika!!
nilisema kuwa haki yake mwenye haki itakuwa juu yake.na narudia tena kama kiwanja kilikuwa wakfu kitarudi tu.maana wakfu haiuzwi.
 
Allahu Akbar,
Allahu Akbar,
Allahu Akbar,

Alhamdullillah! Karibu Shk. Wetu.
 
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.

Acha uchochezi
 
Ngoja utamsikia huyo Ponda muda si mrefu,maana duh mungu kamuumba kila binadamu na mambo yake,Atamwaga mboga jalalani
 
Ni jambo jema hasa wakati Mkwere ameondoka. Ni aibu kwa mkwere ambaye akiwapo kesi hizi za maonevu zikitendeka. Huyu ni muathirika wa siasa za kujipendekeza na kijinga . Ni jambo jema Kwa JPM kumaliza hili na la Uamsho. Ni vema akawatoa hawa kwani nao ni wazi wataachiwa kwa kukosa ushahidi.
Kesi hii na ile ya Uamsho ndio sababu kubwa ya CCM kulikosa jiji la Tanga Dar na Znz. Haya nayo ni majipu ulo achiwa kupasua. Tunahitaji kuanza upya siasa za visasi na chuki mwisho iwe chalinze
 
Naleo hii DPP amewakatia rufaa mahakama kuu ya Zanzibar masheikh wa UAMSHO wafike mahakamani hapo tarehe 10 December kwa ajili ya kusikiliza rufaa waliyokatiwa.

Ni dalili njema kuwa iko dalili ya kutaka kuwaachia ili tukijaaliwa watakapo mkabidhi maalim serikali yake ya Zanzibar asije akapata sifa ya kuwatendea haki.

Nadhani wamechelewa sana kwao kuifanya hii hatua.
 
Aluta continue

Sasa subirin
Serikali yenyewe inampachati kama Muumba wake anavyo mjali mja wake.

Aliyewasha moto ni nano? Na nani atauzima
 
Watanzania msidanganyike na Hila za kinaswara.
Hawa viumbe wabaya sana.

Serikali ni ileile moja iliowafunga waislamu bila kesi na hio hio inajifanya kufanya uungwana.
Hatutaki wasanii. Haki ifanyike bila kujali imani ya mtu la sivyo mzee Pombe watu watamchoka km walivyochokwa wale waliopita.
 
hamuelewi nini hapo? katika hali ya kawaida Sheikh Ponda amekuwa mwiba kwa serikali ya ccm na alikuwa mtu hatari sana kuhusu mustakabali wa ccm kurudi madarakani! ndo maana walimficha lupango mpaka baada ya lengo lao kufikiwa ndo wakamuachia. wamefanya hivyohivyo pia kwa serikali ya Zanzibar kwa kuwaficha akina shekh Faridi wa uamusho. nao uchaguzi wa zenji ukiisha wataachiwa huru bila kosa! (ila kwa zenji ime-backfire!)
wanaiga yale ya Misri maana kila uchaguzi ulipokaribia wale watu makini wa chama cha Muslim Brotherhood walikuwa wakipelekwa lupango na mubaraka na wanaachiwa baada ya uchaguzi! kopi and pesti!

kale bata na familia yako, Magufuli kakuona bado babu seya

Afadhali awe huru .
Atulie sasa na afuate sheria.
Siku nyingine ushahidi " utatosha"

Naamini anaweza kudai fidia sasa....Wamemnyanyasa sana mzee wawatu.....

Ameshaonywa kwa kukaa mahabusu harudii tena

Niliwahi kusema hapa Jukwaani kuwa Ponda baada ya Uchaguzi Mkuu ataachiwa huru.

ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.

Anahusika kwani Mh. JPM hapendi dhuluma na anapenda Haki tu. Ndiyo maana kaachiwa.

Kama anaweza kuthibitisha malicious prosecution anaweza kupata fidia, lakini kwa mtazamo wa awali tu kesi hiyo itakuwa ngumu kuthibitisha mahakamani.

We ole wake acheze na dola ya JP maana haina masihara hatakidogo....najua na yeye analitambua hilo

Ulitupia Uzi mkuu kama wa mafish au coz pale ulinikonga sana na forecast yako.
Hapa kwa Ponda ulitumia vigezo gani mkuu

ikiwa walimshitaki kimagumashi itakuwaje.....???

Magufuli hapendi dhulumati na kulipiza kisasi kama yule mwingine.

JPM yuko buzy na wakwepa kodi!, anajua huyu bwana ni mcha Mungu.

Kweli hii kasi imeleta mabadiliko makubwa sana kwa watumishi wa umma, kila mmoja anajitahidi kufuata taratibu na kutenda haki katika eneo lake ili kujiepusha na balaa. Mambo mengi yalikua yanafanyika kwa kuwafurahisha wakubwa au kwa maslahi ya watu flani, hata msiba wa Mawazo polisi wangezuia na kusingetokea chochote.

Sasa hivi lika mtu anatathmini na kuthaminisha maamuzi yake kabla ya kufanya chochote isije ikamrudia.
 
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.

Wakati mwingineee tumiaaa akili sio maviii hayoo unatoaaa mdomoni
 
Wakati mwingineee tumiaaa akili sio maviii hayoo unatoaaa mdomoni

Baba yako akitoa mavii mdomoni unadhani ni kila mtu. Muulize mama yako, anajua habari zangu baada ya kumkimbia baba yako na mavii yake mdomoni.
 
Baba yako akitoa mavii mdomoni unadhani ni kila mtu. Muulize mama yako, anajua habari zangu baada ya kumkimbia baba yako na mavii yake mdomoni.

Akupe za uso mwengine, utukane wazee wake.
Haya ndio matatizo ya kulelewa bila wazazi. Wewe hata kulaumiwa ni kukuonewa tu.

Laiti ungelelewa ndani ya familia usingeongea haya. Kukulia mitaani ni shidaa.
 
Akupe za uso mwengine, utukane wazee wake.
Haya ndio matatizo ya kulelewa bila wazazi. Wewe hata kulaumiwa ni kukuonewa tu.

Laiti ungelelewa ndani ya familia usingeongea haya. Kukulia mitaani ni shidaa.

Yeye akitukana unaona sawa?
 
Back
Top Bottom