chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?
Huyu jamaa kaachiwa kwasababu hakukutwa na hatia,kisheria lazima alipwe fidia---
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?
Lowassa na Uislamu vimeingiaje humu ?! Tumjadili Sheikh Ponda na shida zake!! Imani yake isiwe tishio kwa wananchi wengine
Naamini anaweza kudai fidia sasa....Wamemnyanyasa sana mzee wawatu.....
Alhamdullah haki itabaki kuwa haki tu na masheikh waliobaki wakina Mselem pia kuomba inshaAllah wawe huru
Itakuwa magumashi.ikiwa walimshitaki kimagumashi itakuwaje.....???
Lowassa na Uislamu vimeingiaje humu ?! Tumjadili Sheikh Ponda na shida zake!! Imani yake isiwe tishio kwa wananchi wengine
Kina mama km nyie hata ukiona bata mweupe unakimbia ukidhani ni Usama.
Teh teh teh.
Kachukue mbuzi ukune nazi ya mchuzi anty
Na mtu km wewe kuwepo uraiani ni kuzidisha maambukizo ya ukimwi na magonjwa ya Zinaa.
Viumbe wa aina yako inatakiwa wachomwe zile sindano za mbwa kichaa wasitembee tena.
Mtoto wa zinaa kuropoka ni jadi zenu.
Aunty J waislamu hatupigi magoti.
Hio baishara ya kigalatia. Ndio maana magoti yenu magumu ka spare tyre ya bajaji.
Teh teh teh teh.
kwa hiyo?niliwahi kusema hapa jukwaani kuwa ponda baada ya uchaguzi mkuu ataachiwa huru.
Sawa wee ASTAGAKAFIRWAALAAH..
Ni hivi... sie kheri tunapiga magoti, ila nyie MNAPIGA CHINI KICHWA NA KUNYENYUA MNDUKU JUU style haramu sana hii, huku hadi paji la uso-limekuwa jeusiiiiii, NDIO MAANA BONGO ZENU hakuna, sbb kichwa mnafanya kama nyundo kugongea chini... 😂😂😂
Mkome kunyenyua dirty hole hewani... astagakafirwaallaah...😂
yeye ampiganii mtu, ila anapigania imani yake na mola wake ambao kwa asili sii wanafiki.afadhali ametoka shekhe wetu,, ila sasaiv angetulia tu kwanza,, maana anaowapigania baadhi ni wanafiki
Makatonta wote walitamani huyu muungwana Afungwe miaka km 40 hivi. Ati Gaidi.
Nyang'au wahedi.
Gaidi huwa anapigania haki za Wanyonge?
Yaani Ugalatia ni laana ya ajabu sana