Huyu shekhe manyampala wameshampakata huko jela,atulie sasa,aache ufala wa kutumiwa vibaya,next time atapigwa risasi.
ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.
Babu seya amsubiri yule mgombea mwingine.
Halafu magufuli anahusika nini na hukumu ya Leo?
Anahusika kwani Mh. JPM hapendi dhuluma na anapenda Haki tu. Ndiyo maana kaachiwa.
Honestly, kama mahakama imemkuta hana hatia, hapakuwa na justification yoyote kumweka mahabusu miezi yote hiyo. Anastahili, na aidai serikali fidia.Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?
Malicious prosecution ndo inakuaje
Mungu yuko upande wake. Ile risasi Morogoro ililengwa kummaliza.ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.
Salama ndugu
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.
kale bata na familia yako, Magufuli kakuona bado babu seya