Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Halifa Khamis yupo kazini tena. Labda kwa wasiomjua!
 
Mleta uzi ni Mchochezi zaidi ya Sheikh Khalifa.
Kwa takwimu alizoweka ameendelea kuyapa uzito madai ya Sheikh Khalifa
Kulalamika kwa watu wa dini hii sio ajabu.

Sio Magufuli, sio Ndalichako, sio kikwete kuwa anatumiwa na wakristo n.k
 
Teh teh technically,anapiga miguu yote miwili...

OVA
Binafsi nikionaga thread yake huwa sifungui maana ni kama nyoka mwenye ndimi mbili na vuguvugu so huleta kichefuchefu...
 
Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.

Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.

Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.

Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.

Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.

Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.

Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.

Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?

Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.

Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.

Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.

Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.

Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.
yeye anapima dini kwenye nafasi za ujuzi na
taaluma. atatokea mkabila fulani anataka usawa wa kabila kwenye hizi teuzi za rais. huku mtaani wamangi wanalalamika wamezoea vyeo hawajapewa vya kuwatosha. kuna wengine watasema mikoa au maeneo yao hawajapata vyeo. tusije kurudi tena huko ambapo vyeo ilikua kugawana ulaji badala ya majukumu. huyu sheikh aelimishwe sasa hatugawani tena ulaji ila majukumu.
 
tuliwaambia mkasema nyie wapinzani longo longo, sasa acha tuisome namba wotee!
 
Tuata
Ilo liko wazi kuna ka harufu ka udini na ukabila serikalini....

Hata kama Mimi ni Catholic lakini naona kwa mbali ......

Dini na serikali wapi na wapi? Kwani kuna kiongozi aliyeteiliwa aliyeonyesha upendeleo wa kidini kwenye maamuzi yake? Hata wote wawe wa dini moja mradi wana sifa zinahitajika Mimi sioni tatizo. Acheni uchochezi.
 
Kama kweli anamsingizia hebu mleta uzi leta wewe ushahidi wake ili tujue kwenye sheikh Khalifa kuwa muongo
 
Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.

Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.

Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.

Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.

Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.

Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.

Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.

Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?

Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.

Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.

Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.

Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.

Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.
Wachagga na wamassai toka north pole nao wamesahaulika kwani?
 
Hivi hizi takwimu ziliangalia wale wanaotumia majina yenye asili ya kiislam lakin ni mkristo au anatumia jina lenye asili ya kikristo lakin ni mwislam
 
Hata kama ni hivyo, anajua uwiano uliopo kati ya waislamu na wakristo?

Na Swali la pili,
Anaujua uwiano wa ki taaluma na ki elimu kati ya hizo imani mbili?
 
Philipo,
Suala hili linataka mtu awe na ujuzi wa kutosha kuhusu historia ya Waislam
kwanza kuasisi TANU na mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Inabidi ujiulize kipi kiliwafanya Waislam waongoze mapambano yale na nini
yalikuwa mategemeo yao uhuru ukipatikana?

Ukimaliza hapo uingie kutaka kujua nini ilikuwa ahadi ya Mwalimu Nyerere
kuondoa ubaguzi kwa wale ambao ukoloni uliwaathiri sana mara tu uhuru
ukishapatikana.

Ukishajua ahadi ya Mwalimu Nyerere sasa ujiulize je, ahadi hiyo ilitimizwa?

Ukifika hapa utakuwa katika hali nzuri ya kufanya mjadala wa maana katika
mada hii.
 
Hata kama ni hivyo, anajua uwiano uliopo kati ya waislamu na wakristo?

Na Swali la pili,
Anaujua uwiano wa ki taaluma na ki elimu kati ya hizo imani mbili?
Hata kama kitaaluma mko juu kama mnavyodai ijapo kwa mtazamo wangu sikubali.. lakini embu angalia hilo gepu ilivyokuwa kubwa

Kwa nia mzuri tu Rais anaweza kufanyia kazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom