Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,283
- 33,881
Gamba,Sheikh Mohammed hivi hiki kitabu cha Sivalon cha Kanisa katoliki na siasa za Tanzania kinapatikana wapi?
Hiki kitabu kwa sasa ni kama kimetolewa katika mzunguko baada ya kujulikana kuwa kimeeleza mengi katika njama za kuwakandamiza Waislamu na Uislam wenyewe. Lakini mara moja moja huwaona wauza vitabu nje ya misikikiti wakiuza fotokopi ya kitabu hicho. Wauzaji wa kitabu hicho walikuwa Cathedral Bookshop.