Nchi hii imetawaliwa na waislamu miaka 20, katika hiyo miaka walifanya nini ili kiwe mfano na wengine waige?syo hiyo miaka ambayo nchi iliibiwa hadi udongo wake?Always huwa nastaajabu sana wagalatia wanavyojinasibisha na usomi nchi hii maskin wa mawazo kabisa wakifananisha na waislam
Hivyo walichosoma ni nin hasa zaid zaid ya kusomea wizi tu na ubadhrifu wa mali za umaa?
Lets say its true wasomi wa kanisa wamesoma watueleze sasa miaka hamsin ya uhuru sasa elimu yao imeisaidia nin nchi hii?
Zaid zaid ya kuwa vibaka tuh huko serikalin