Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kwenye Thread Yako Makosa Tena Unayarudia Yaani Tusikubali Udini Halafu Unasema Awamu Hii Udini
Huku Unasema Hawa Wametengwa Siyo Vema
Jirekebishe Hakuna Udini Ila Utendaji Tu
 
Nafasi za uteuzi haziangalii dini ya mtu halafu unataka dini ziangaliwe ili wa dini unayotaka wewe waongezwe kwa idadi unayoiwaza; yaani wewe unataka dini iwe mojawapo ya sifa za uteuzi. Sijui unapinga nini na unataka nini! Mbona wewe ndiye mdini? Wakati anayeteua haangalii dini ya mtu wewe kutwa kucha kuhesabu dini za wateuliwa. Mdini kweli wewe.
Halafu mtu mwenye mawazo kama hayo anataka apewe uongozi...tuna kazi mkuu. Hatujamaliza kuisoma namba, wengine wanaamka kudai haki za kushinda na misuli huku mishahara inaingia mfukoni.
 
Hata Mimi nimeshangaa. Hutaki udini halafu unataka anayeteua afate udini. Mmmh.
 
Halafu mtu mwenye mawazo kama hayo anataka apewe uongozi...tuna kazi mkuu. Hatujamaliza kuisoma namba, wengine wanaamka kudai haki za kushinda na misuli huku mishahara inaingia mfukoni.
Acha chuki, hoja ni kwamba kuna udini mkubwa awamu hii, na huu ni ukweli uliowazi!Misuli ni nguo yenye hadhi kuliko bikini anayovaa mama yako
 
JPM KIGEZO CHA (PHD, DR, PROF) KTK TEUZI ,KINAWAACHA NYUMA WAISLAM, WALIACHWA NYUMA ELIMU DUNIA ''Nepotism''

Nafurahishwa sana na uteuzi unaofanywa la Raisi wetu mpendwa , John Pombe Magufuli , lakini kumbuka kuwa hawa waislamu ni jamii kubwa katika nchi yetu ya Tanzania, na wamepitaka katika kipindi kigumu kupata Elimu dunia ; wengi walishaeleza humu jamvini ilibidi wengine wabadili majina kama kina Jenerali Ulimwengu jina halisi ni Twaha : Na hii imewathiri kuwepo wasomi wachache sana katika level za PHD, DOCTOR, PROFESA. Kutokana na ubaguzi wa wakoloni .

Hii aina ya uteuzi uliyokuja nayo wa kuteua watu wengi wenye level za PHD,DOCT, PROF. Usifanye kama aina fulani ya kutenga jamii ya waislam . Check and balance izingatiwe

Tunafuatilia na tunaangalia kwa makini kila siku teuzi zako ;

Ni ushauri tu .

Baada ya utafiti . Aya ndo manunguniko ya watanzania katika Teuzi zako
 
JPM KIGEZO CHA (PHD, DR, PROF) KTK TEUZI ,KINAWAACHA NYUMA WAISLAM, WALIACHWA NYUMA ELIMU DUNIA ''Nepotism''

Nafurahishwa sana na uteuzi unaofanywa la Raisi wetu mpendwa , John Pombe Magufuri , lakini kumbuka kuwa awa waislamu ni jamii kubwa katika nchi yetu ya Tanzania , na wamepitaka katika kipindi kigumu kupata Elimu dunia ; wengi walishaeleza humu jamvini ilibidi wengine wabadili majina kama kina Jenerali Ulimwengu jina halisi ni Twaha : Na hii imewathiri kuwepo wasomi wachache sana katika level za PHD, DOCTOR, PROFESA. Kutokana na ubaguzi wa wakoloni .

Hii aina ya uteuzi uliokuja nao wa kuteua watu wengi wenye level za PHD,DOCT, PROF. Usifanye kama aina fulani ya kutenga jamii ya waislam . Check and balance izingatiwe

Tunafuatilia na tunaangalia kwa makini kila siku teuzi zako ;

Ni ushauri tu .

Baada ya utafiti . Aya ndo manunguniko ya watanzania katika Teuzi zako
Ina maana ata kama awana elimu wataleuliwe tu kisa waislam??.Mfano umpe mtu kazi ya utabibu japo ajasomea kisa muislam??
 
Kuna mambo mengne bhana hayana msingi kabsa kama TAIFA kuyaendekeza....
 
  • Thanks
Reactions: nwn

Manung'uniko ya Watanzania wangapi? Tunahitaji watu wenye upeo na uwezo wa kuendeleza taifa siyo masuala ya dini. Kama dini yao hawataki kusoma, unataka nani awasomee? Nani aliwakataza kusoma? Mbona kina Jakaya wamesoma shule za mission?

Kuna makabila mangapi ambayo hawakujali shule kwa sababu ya mila zao? Hakuna njia za mkato. Waende shule wapte sifa na uwezo, la sivyo watawakilishwa kwa kuwa maendeleo yapatikanapo (kama yengelikuwa yanapatikana), yasingewabagua kulioko kuongozwa na majuha kama enzi ya jk, mwisho wake mauti kwa taifa.

Umeelewa.
 
  • Thanks
Reactions: nwn
Ina maana ata kama awana elimu wataleuliwe tu kisa waislam??.Mfano umpe mtu kazi ya utabibu japo ajasomea kisa muislam??
Nafasi za utabibu sio za uteuzi mkuu; hizo ni za sifa kieleimu.

BAck to mleta uzi; mfano wa kina Jenerali Ulimwengu ni mambo ya zamani sana, yaani watu wa namna hiyo wameisha zeeka sana na mkuu ni kama ana aleji nao, kina Kitilya Mkumbo ni wa miaka ya 70 kipindi amacho hata hizo shule za mesheni zilikua tayari mali ya serikali so Waislamu kwa hilo wajilaumu wenyewe cause elimu ilikua ni ufauru wako wa darasa la saba tu then baada ya hapo ni mwendo mdundo.
 
Mbona wasomi waislamu wapo
CAG ni nani?
Makame Mbarawa ni nani?

Alafu waislamu wenzangu hebu punguzeni inferiority complex, yaani kila siku kulialia eti hatuteuliwi, ivi utakua na sifa na usiteuliwe kivipi?
Kama tumejua hatujasoma sana basi ni wakati wetu kujitahidi kusoma elimu dunia ili tuendane na mfumo wa duniani lakini suala la kulilia huruma ya rais tuteuliwe ni sawa na kuomba kuteuliwa bila vigezo halali.

Sisi tuliwekeza sana kwenye elimu ya Allah(elimu ahera), ila wasomi wapo sio kweli kwamba hawapo
 
Ina maana ata kama awana elimu wataleuliwe tu kisa waislam??.Mfano umpe mtu kazi ya utabibu japo ajasomea kisa muislam??
Vipi mbona mlikuwa mnampigia kelele Dr. Dau kuwa ni mdini, kwani ambao aliwaajiri hawakuwa na sifa??
 
Siyo kweli
Waislamu wasomi na wenye weledi mkubwa ni wengi sana
Kuna Dr Bashiru Ally wa UDSM,prof Abdallah safari na wengine wengi tu
Sijui vigezo anavyotumia mh rais katika teuzi zake lakini waislam wasomi wapo wengi
Na sidhani kama mh rais anazingatia dini katika teuzi zake, maana hii nchi haina dini
 
Ina maana ata kama awana elimu wataleuliwe tu kisa waislam??.Mfano umpe mtu kazi ya utabibu japo ajasomea kisa muislam??
Hiyo sio maana yake. mtoa mada hamaanishi hivyo. ila anamaanisha wateuliwe waislam wenye sifa kama wanavyoteuliwa wakristo. labda useme hakuna waislam wenye sifa ila kwa kuwa wapo. balance iwepo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom