Sheikh Ilunga alazwa India

Status
Not open for further replies.

one activist

Senior Member
Oct 13, 2012
114
14
Yule sheikh maarufu kwa CD zake kadhaa za uchochezi Bw. Hassan Ilunga, yu mgonjwa na amelazwa huko India.Kwa mujibu wa gazeti la An Nuur la tar 31 May.
 
Attachments

  • Ilunga.JPG
    Ilunga.JPG
    35.3 KB · Views: 612
Yule sheikh maarufu kwa CD zake kadhaa za uchochezi Bw. Hassan Ilunga, yu mgonjwa na amelazwa huko India.Kwa mujibu wa gazeti la An Nuur la tar 31 May.

Tunamuombea uzima ili atambue ujinga wa alichotenda.
 
Wakuu na wafadhili wake walioko serikalini ndio wamempeleka India ili hali ya hewa ikitulia wamrudishe aendelee kumwaga sumu ya uchochezi!
 
Dah! Lipumba atakosa kampani ktk kipindi hiki cha ugonjwa, asijali lakini Mungu atamjaalia na atarudi soon kuendeleza shughuli yao
Wakuu na wafadhili wake walioko serikalini ndio wamempeleka India ili hali ya hewa ikitulia wamrudishe aendelee kumwaga sumu ya uchochezi!
 
Mwenye kutoa na kuchukua uhai ndio pekee utake amua mwisho wake ila itakuwa ni furaha yetu ukitujumuisha na mzee wetu kwani bado familia ndugu na jamaa tunamuitaji. M/mungu akupe ponya inshallah.
 
Ujinga upi unaosemea ndugu?

Nauliza Swali; Wakati wa UTAWALA wa NYERERE --- kulikuwa na Viongozi wa DINI yake wakiongelea CHUKI DHIDI ya DINI NYINGINE kiasi hiki ?

Nyerere hakukandamiza kundi MOJA kwa Manufaa yake; Makundi Mengi ndani ya Nchi yalinyimwa baadhi ya UHURU wao ili tu NCHI iwe na AMANI na UMOJA...
 
Ni propaganda tu ili kupima upepo! Huyu mtu wala hayupo India! Sio siri alipaswa kuwa gerezani kitambo. Sasa wafadhili wake wamemficha chini ya mwavuli wa "India" ili upepo upite!
 
Go to hell Ilunga......I really hate you and your followers!!!
 
Nami sidhani kama yuko India!intelijensia ya maandamano ya CDM tu!zaidi ya hapo wanabahaisha tu!kamata dereva boda boda unajitangazia umekamata gaidi!
 
Nani anafadhili matibabu yake?
Itabidi aombe radhi vinginevyo amuulize Shekhe Yahya alivyoambiwaga na mchungaji atubu vinginevyo atakufa yeye kabla ya mwaka,akakataa, anaendelea kuwatabiria wenzake kifo.
 
Yule sheikh maarufu kwa CD zake kadhaa za uchochezi Bw. Hassan Ilunga, yu mgonjwa na amelazwa huko India.Kwa mujibu wa gazeti la An Nuur la tar 31 May.

Msitake kutudanganya hapa. Sheikh Ilunga mbona kajificha hapa Singida na huwa anaishi kwenye nyumba moja jirani na Msikiti mkuu!!!

Msitake kutuaondoa kwenye agenda ya watu wanao pandikiza UDINI inayo chochewa na huyu Sheikh Ubwabwa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom