Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Nauliza Swali; Wakati wa UTAWALA wa NYERERE --- kulikuwa na Viongozi wa DINI yake wakiongelea CHUKI DHIDI ya DINI NYINGINE kiasi hiki ?
Nyerere hakukandamiza kundi MOJA kwa Manufaa yake; Makundi Mengi ndani ya Nchi yalinyimwa baadhi ya UHURU wao ili tu NCHI iwe na AMANI na UMOJA...
mkuu,wewe unadhani kwanini kambarage aliunda BAKWATA?