Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,727
- 14,610
- Thread starter
- #41
Unamzungumzia nani vile?kweli watu ni wavivu mno wa kusoma!na wakisoma bado tu ni wagumu mno kuelewa!!NIME COPY kutoka kwenye facebook wall ya UAMSHO! Sasa umeelewa kidogo?Naamini maisha yako ndio yale ya Mtanzania wa kawaida nakushauri kaa chini uangalie familia yako, hoyo Farid hakusaidii chochote, hujamchagua kwa kura huo uongozi kajipa mwenyewe na atafanya atakalo, kiongozi wako ni Dr Shein na Maalim Seif unapaswa uwatii hao na sio huyo bwana ndevu samahani kukuambia hili ni vile nina hasira kwani munaua raia mwenzenu kwa kujifanya munamtetea huyo Farid ambaye naamini fujo zikikolea leo Zanzaibar anapanda ndege na kwenda Oman, askari muliyemuua aliapa kwatetea wananchi kwa gharama yoyote, huyo Faridi una uhakika gani kwamba anawajali na hafanyi huo uchochezi kwa manufaa anayojua yeye..........tunza familia yako iwe na maisha bora sio unakuja kutuambia upumbavu humu.