Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
BREAKING NEWS.........
VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.
Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa lolote.
Viongozi hao ni Amir Farid Hadi Ahmed,Amir Msellem Ali Mselem,sh Azzan,sh Mussa Juma na sh Hassan Bakar.
Jeshi la Polisi lilimwita Amir Farid kumchukua maelezo lakini hukuweza kwenda peke yake aliyambatana na Viongozi wenziwe.
Lakushangaza Jeshi la Polisi linavunja sheria wenyewe kwani nikinyume cha sheria walimchukua maelezo Amir Farid bila yakutaka na kumruhusu wakili wake kuweko sh Salum Taufiq.
Baada ya kumaliza kumchukua maelezo wakaamua kuwazuwia viongozi wote walokwenda bila ya kutoa sababu maalum au kutoa kosa ambalo lilowafanya wawatie ndani viongozi hao.
Inavoonekanwa Jeshi la Polisi linataka kuanza kufanya njama za kutaka kuwabandikia kesi ambazo hazina kichwa wala miguu tayari kuna tetesi kuwa wanataka kuwapa kesi ya mauaji ya askari wao aliyepigwa mapanga juzi.
Tunawambia tena jeshi la Polisi kuwa wao ndio wa mwanzo wanaovunja sheria na kuanzisha fujo kesi yoyote watakayowapa viongozi wetu ambayo itawadhalilisha wajue wataharibu Amani ya nchi hii.
Kwani hata dhamana wamekataa kutoa wanataka kuwafikisha mahakamani viongozi hao siku ya Jumatatu na kutaka kuwabandikia kesi ya mauaji ili wakose dhamana na wawadhalilishe viongozi wasipate kutolewa tena.
Tunawatahadharisha Jeshi la Polisi Amani ya nchi hii wao ndio wanaichezea kumteka wamteke na kesi wa mpe siku zote walikuwa wanae wao huyo Askari wao alimuua sangapi?
Wao ndio wanaowabuudhi wananchi kuwapiga ovyo katika maeneo tofauti wakishirikiana na KMKM na KVZ halafu sasa wanataka kuwambia viongozi wetu ndio walioanzisha fujo.
Ila wananchi nyote munaombwa muwe watulivu na mutunze amani kwa sasa huku Mawakili wetu wakishulikia kesi hiyo pamoja na Viongozi wengine.
Ila tunaombwa pia tufike kwa wingi Mahakani siku ya Jumatatu watakapoasomewa mashataka yao,mpaka sasa hatujajua watapangiwa Mahakama ipi.
.
Kama vyombo vya usalama visingewakamata kwa mahojiano zaidi wananchi wapenda amani tungevishangaa. Maelezo yaliyotolewa na huyu sheikh kwamba alitekwa hayajitoshelezi na yana kila viashiria kuwa ni ulaghai uliotungwa. Na ikithibitika kuwa zile zilikuwa ni njama na sii kweli kwamba alitekwa basi kifo cha polisi aliyeuawa kwa vurugu za kuaminiwa katekwa kinamhusu asilani.
.
Mbona sijasikia Sheikh Farid Kangolewa meno na kucha, yeye karudi bila jeraha au huko Zanzibar hakuna Mabwepande nn?
Nyinyi ni wajinga tu hamuelewi nini kinaendelea hapa na munachangia kitu musichokijua.
Yeah! Thats good idea.Ban it out completely for life all over Rep of Tanzania.
Ule mkutano uliopangwa kufanyika Mbuyuni leo saa 10 utakuwapo au umeahirishwa?
Kama ni hivyo, basi facebook ya JAMIKI ndo waongo. Nimeona tangazo hilohilo huko. Na pia Mkutano wa Mbuyuni umeahirishwa.Kweli Binmussa. Mbona Fareed yuko kwake katulia. Nashangaa na hizo habari za kuzuiliwa na Polisi na kutaka kupelekwa mahakamani. Jambo usilolijua usiku wa kiza. Hapa JF kumezuka mtindo wa baadhi ya watu kuleta habari za uongo, na kupandikiza chuki.
kwa nini hawa uamsho wasianzishe chama cha siasa kikasajiliwe kwa Tendwa?
Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
BREAKING NEWS.........
VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.
Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa lolote.
Viongozi hao ni Amir Farid Hadi Ahmed,Amir Msellem Ali Mselem,sh Azzan,sh Mussa Juma na sh Hassan Bakar.
Jeshi la Polisi lilimwita Amir Farid kumchukua maelezo lakini hukuweza kwenda peke yake aliyambatana na Viongozi wenziwe.
Lakushangaza Jeshi la Polisi linavunja sheria wenyewe kwani nikinyume cha sheria walimchukua maelezo Amir Farid bila yakutaka na kumruhusu wakili wake kuweko sh Salum Taufiq.
Baada ya kumaliza kumchukua maelezo wakaamua kuwazuwia viongozi wote walokwenda bila ya kutoa sababu maalum au kutoa kosa ambalo lilowafanya wawatie ndani viongozi hao.
Inavoonekanwa Jeshi la Polisi linataka kuanza kufanya njama za kutaka kuwabandikia kesi ambazo hazina kichwa wala miguu tayari kuna tetesi kuwa wanataka kuwapa kesi ya mauaji ya askari wao aliyepigwa mapanga juzi.
Tunawambia tena jeshi la Polisi kuwa wao ndio wa mwanzo wanaovunja sheria na kuanzisha fujo kesi yoyote watakayowapa viongozi wetu ambayo itawadhalilisha wajue wataharibu Amani ya nchi hii.
Kwani hata dhamana wamekataa kutoa wanataka kuwafikisha mahakamani viongozi hao siku ya Jumatatu na kutaka kuwabandikia kesi ya mauaji ili wakose dhamana na wawadhalilishe viongozi wasipate kutolewa tena.
Tunawatahadharisha Jeshi la Polisi Amani ya nchi hii wao ndio wanaichezea kumteka wamteke na kesi wa mpe siku zote walikuwa wanae wao huyo Askari wao alimuua sangapi?
Wao ndio wanaowabuudhi wananchi kuwapiga ovyo katika maeneo tofauti wakishirikiana na KMKM na KVZ halafu sasa wanataka kuwambia viongozi wetu ndio walioanzisha fujo.
Ila wananchi nyote munaombwa muwe watulivu na mutunze amani kwa sasa huku Mawakili wetu wakishulikia kesi hiyo pamoja na Viongozi wengine.
Ila tunaombwa pia tufike kwa wingi Mahakani siku ya Jumatatu watakapoasomewa mashataka yao,mpaka sasa hatujajua watapangiwa Mahakama ipi.
Tuachiwe Tupumuwee......Hao ndiyo Uhamisho bana!!kila kitu wanaonewa wao!!this time naona tuwaonee jumla,

JK wa kwanza aliitengeneza TZ,
JK wa pili anaiharibu/kaiharibu TZ
Sheikh Farid ni shoga,alikuwa kwa bwana yake pale mkunazini kwa sheikh ukuni fakhi