Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 500
- 1,335
😃😃😃😃😃 Wabillah TawfiqAkihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.
Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
View attachment 3317374
WapumbavuAkihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.
Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
View attachment 3317374
Nendeni shule jamani, himizeni na watoto wenu kuthamini elimu.Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.
Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
View attachment 3317374
Wakiristo wao hawana dhambi kila kitu kwa sawaWapumbavu
Nendeni shule jamani, himizeni na watoto wenu kuthamini elimu.
Hivi leo ikiwa wafanyakazi watapitishiwa watoe maoni kuhusu vima afya watakubali waendeshwe kama hivi? Wakiristo sikilizeni hoja kwanzauislamu wa tanzagiza huo, i blessed the day Wamishionari walivyokanyaga ardhi yetu vinginevyo leo hii wote tungekuwa muslims and backward, kule nigeria wanazuia watoto kwenda shuleni, hatari kweli kweli …
ni ubinafsi tu hakuna kingine, yeye akiugua atalipiwa matibabu mpaka nje ya nchi ila anataka waislamu wa chini wabakie backward kukariri kurani, sasa hata bima ya afya anataka kuwanyang’anya …
Ndiyo maana awa hukumu sana madhambi ya wengine ...yani hizi takataka ndiyo mungu aziingize peponi kweli huyo mungu si atakuwa kachanganyikiwa ...Wakiristo wao hawana dhambi kila kitu kwa sawa
Umemsikiliza? Au kwa sababu hoja katoa muislam? Bima ya afya yetu ipo ktk mfumo wa haki?Hawa ndio wanasema mpira ni haramu maustaadhi Ubwabwa hawa na Elimu pia ni haramu kama Nigeria.
Tuliza akili , tulia jenga hojaNdiyo maana awa hukumu sana madhambi ya wengine ...yani hizi takataka ndiyo mungu aziingize peponi kweli huyo mungu si atakuwa kachanganyikiwa ...
Bima gani hiyo ya haki🙄... mahisiharamu wangapi wamekuwa Marais hatujawai kuiona hiyo bima...hili na sisi tusio waislamu itunufaishe maana swala la haki ni kwa wote na manufaa yake ni kwa woteUmemsikiliza? Au kwa sababu hoja katoa muislam? Bima ya afya yetu ipo ktk mfumo wa haki?
Maoni ya Wanazuoni Wengi wa KiislamuHuenda huyo Shehe ni Mganga wa Kienyeji! Anataka wagonjwa waishie kwa Waganga wa Kienyeji.
Una akili kweli wewe?Umemsikiliza? Au kwa sababu hoja katoa muislam? Bima ya afya yetu ipo ktk mfumo wa haki?
Hoja kama hiziTuliza akili , tulia jenga hoja