Shehe Yahya mwongo

Shehe Yahya mwongo

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Posts
1,771
Reaction score
804
Haka kazee kachawi ni kaongo sana. Kaliidanganya dunia eti kufikia februari mwaka huu Jk na Dr Slaa wangekuwa wamepatana. Wapiii..........!!!
 
haaaaaaaaaaaaaaaa wewe ndio unajua leo?:juggle:
 
Kama kweli mtabiri aende akanywe dawa kwa babu loliondo km hajayeyuka kama majivu!
 
:lol::lol:
Haka kazee kachawi ni kaongo sana. Kaliidanganya dunia eti kufikia februari mwaka huu Jk na Dr Slaa wangekuwa wamepatana. Wapiii..........!!!

Ni rafiki yake na kakobe na mwingira huyu:lol::lol:
 
Mwizi mkubwa huyo To hell :hatari: :hatari: :hatari:
 
Kukaa kumsikiliza yule mzee bora uende loliondo kupiga kikombe
 
Back
Top Bottom