Shehe Mohammed Issa acha kumkashfu Shehe Hamza!

Kwann umileta hapa? Unaogopa nin kumaliza kwenyr vikao vya ndani huko mskitin kwenu?

Ni kosa sana ulivyofanya
 
Kwa kuwa mlishachukulia kawaida kuuana sisi hatuna budi kusema Adui wa Uislam ni waislamu wenyewe.
Hakuna kawaida kwenye kuuana isipokuwa binadamu hatujifunzi na mara nyingi tunapenda kutafsiri mambo kama tunavyotaka na ndiyo maana miaka 20 iliyopita wakristu wa ireland walikuwa wakiuana kama vile wa hindu na waislam huko asia. Kama mungu amekataza hata kutoa mimba ya kiumbe cha wiki 2 kweli itakuwa ni halali kuua mtu mzima?
 
Mohamed Issa ni mmoja wa viongozi wa madhehebu ya sunni!

Kamtukana Shehe Hamza kwa sababu alikwenda kuhubiri kanisani na kusifia utukufu wa Yesu Kristo!
Wewe mtu kiazi sana aisee.
 
Hakuna kawaida kwenye kuuana isipokuwa binadamu hatujifunzi na mara nyingi tunapenda kutafsiri mambo kama tunavyotaka na ndiyo maana miaka 20 iliyopita wakristu wa ireland walikuwa wakiuana kama vile wa hindu na waislam huko asia. Kama mungu amekataza hata kutoa mimba ya kiumbe cha wiki 2 kweli itakuwa ni halali kuua mtu mzima?

Angalia sana kwa wenzenu huko mashariki ya kati na Afrika kaskazini mnachinjana waislamu kwa waislamu,na unahalalisha uuaji huo kwa mambo yaliyopita,Naona huo ndiyo utaratibu wa dini yenu kuuana kama wanyama.
 
Huyu mzee kachoka kumtukana nyerere Sasa kaanza kuwatukana waislam wenzake
 
Angalia sana kwa wenzenu huko mashariki ya kati na Afrika kaskazini mnachinjana waislamu kwa waislamu,na unahalalisha uuaji huo kwa mambo yaliyopita,Naona huo ndiyo utaratibu wa dini yenu kuuana kama wanyama.
Hebu soma historia yako vizuri na utagundua 'huko' kuchinjana kulianza wapi na akina nani!!! someni ndugu zangu acheni kukurupuka bila kufanya utafiti. haya yanayotokea hivi sana yamekuwepo miaka mingi kwa jamii zetu kutokana na upofu wa mawazo. India wahindu wanawachoma visu waislamu na pakistani wanawaua wa hindu. Ulaya ilikuwa hivyo hivyo.
 
Kwa sababu enzi hizo babu zetu walivaa ngozi na sisi tuvae ngozi??Mawazo mgando hayo.huwezi kuhalalisha uovu uliopita kwa kutenda kosa au kuua watu kwa sababu tu hayo walifanya mababu zetu.
 
Na huyo aliyekwenda kuomba msamaha kwake .

Mbona yeye anakwenda kwa mashia?
 
Kwa jazba kubwa umesikika ukimkashfu Shehe Hamza kwamba anawapotosha waislam!

Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!

Kumbuka wote tunajifunza kutokana na maandiko! Wewe Issa hukuwepo wakati wa Mtume Mohammed hivyo kama wengine wote na wewe unasoma maandiko tuliyoyakuta! Usilazimishe wote tuwe na uelewa sawa na wewe!

HAMZA ISSA ALIYEKUWA AKIHUBIRI KUPITIA JUKWAA LA KANISA AKIRI KUWA ALIKOSEA KATIKA ULINGANIAJI WAKE .

[ Source Sadick TV]

Hayo yametokea leo katika ofisi za sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam sheikh Alhadi Mussa Saalum, ambapo mazungumzo kati ya Hamza lssa na Baadhi ya Masheikh wakiwemo sheikh wa Mkoa, sheikh Ally Baswaleh sheikh Abdurrahman na sheikh Abdillah Massawe.
Mazungumzo Hayo yalichukua takriban massa 2 na hatimaye ndugu hamza lssa kukiri na kuomba radhi waisilamu juu ya ulinganiaji wake.
 
Kwa sababu enzi hizo babu zetu walivaa ngozi na sisi tuvae ngozi??Mawazo mgando hayo.huwezi kuhalalisha uovu uliopita kwa kutenda kosa au kuua watu kwa sababu tu hayo walifanya mababu zetu.
MIAKA 10-15 ILIYOPITA IRELAND ILIKUWAJE KWENYE SUALA LA WAKATOLIKI NA WA PROTESTANT????? ilikuwa vita hasa kati ya serikali na IRA mimi niko pale pale someni ndugu zangu, fanyeni utafiti kwani sasa hivi kila kitu kipo kiganjani uvivu wa nini??? Hata waislamu wameshushiwa sura ya IQRA mahsusi kwa ajili ya elimu.
 
Ustaadh, kwa aina hii ya uchangiaji wako wa mada inaonyesha kuna tatizo kwenye aina yako ya maisha. Tafuta wenye hekma wakupe mawaidha.
Nipependa hekima yako. Hongera sana
 
Hapo ndipo dini za kuletwa na wakoloni zinaponishinda.. sasa inakuaje Shekhe amkashfu Shekhe mwenzake? au mchungaji amseme mchungaji mwenzake? Kwanini walimu wakose hekima na kujidhalilisha kwa waumini wao matokeo yake huwa ni kuleta matabaka na utengano
 
Kwa jazba kubwa umesikika ukimkashfu Shehe Hamza kwamba anawapotosha waislam!

Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!

Kumbuka wote tunajifunza kutokana na maandiko! Wewe Issa hukuwepo wakati wa Mtume Mohammed hivyo kama wengine wote na wewe unasoma maandiko tuliyoyakuta! Usilazimishe wote tuwe na uelewa sawa na wewe!
Usimponde shehe mohamedi ,huyo shehe wenu hamza ,amekoaea,ila njaa zake ndio iliyomfanya ageuze mambo,na kama hajatubia ktk hili aliyeitemsha Qur'an na kuilinda na amlipe anacho ataiki ktk hili
 
Adui wa waislamu ni waislamu wenyewe maana wao kuchalaruana ni kawaida huoni huko mashariki ya kati na huko Afrika kaskazini wao kwa wao wanauana!!!
Umesema kweli lakini hayo yatapita mwisho Uislamu utatamaki. Insha Allah
 
Kwa jazba kubwa umesikika ukimkashfu Shehe Hamza kwamba anawapotosha waislam!

Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!

Kumbuka wote tunajifunza kutokana na maandiko! Wewe Issa hukuwepo wakati wa Mtume Mohammed hivyo kama wengine wote na wewe unasoma maandiko tuliyoyakuta! Usilazimishe wote tuwe na uelewa sawa na wewe!
Hebu weka hapa maneno aliyoyasema ili tuchangie vizuri
 
Back
Top Bottom